Wakaka, Waume..

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
wedding anniversary, Birthdays, etc..

Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?

Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??

Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
 
wedding anniversary, Birthdays, etc..

Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?

Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia??

Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.

Tunakumbuka sana ila majukumu na hali ya maisha tight(kipato).
Kukumbuka kubebwa,kuogeshwa kwenye karai,kufungwa nepi na kupakwa poda.
 
Tunakumbuka sana ila majukumu na hali ya maisha tight(kipato).
Kukumbuka kubebwa,kuogeshwa kwenye karai,kufungwa nepi na kupakwa poda.

Kwa hiyo mnakumbuka ila mna "act" hamkumbuki..
Ndo unachosema hapa au nimekusoma vibaya mkuu??
 
Nahusika kwenye bday hapo
Siku hiyo huwa naikumbuka na kumfanyia event my luv wangu
Kwa kweli huwa anafurahi japo huwa sielewi kwanini wadada mnaendekeza sana hii mambo
Anyway,kwa ajili ya furaha yake nitafanya yote
OTIS
 
Naikumbuka sana wedding anniversary yangu na huwa tunaifanyia suprise ya kiaina na hata birthday yake
Ila AD mambo ya maisha na kipato yanatufanya siku hiyo itupite kama hatuioni aise
Maana siku yenyewe unajikuta mfuko umetoboka utajikalisha ofcn ukirudi amelala unajichekesha na kumpa hongera na kiss kidogo siku inakuwa imekatika
 
Afrodenzi,jamani kautamaduni na asili pia jamani wakati mwingine tunapitiwa.Sasa kama mnyamwezi mimi wa porini huko Miono Sikonge hata kama nipo Manhattan,bado kaasili kapo,te te te te.Hapana wakati mwingine ni maisha yanasumbua au wakati mwingine kutokujali.Lakini kama ni mpenzi/mume kapitiwa take him to task na muulize why this,inawezekana huko Sikonge kufanya anniversary/Birthday ni luxury huwezi jua
 
AD mambo ya maisha bana
Haya mambo kweli tunakumbuka ila hali ya uchumi. Nikifikiria kakikapu ka maua hakapungui 50 nikifikiria kacake kadogo hakapungui 20 kadi hapo ni kama 5000 bado sijaweka labda kachupa ka wine ambako hakapungui tena 30 duh na ni siku moja tuu mfuko haufiki aise
Tunakumbuka sana ila siku hiyo tunajifanya busy mbaya. Unamkumbuka tuu kwa sms na kumpigia na kupma hongera
 
nashukuru kusikia kuna wanao kumbuka. Hongera.
Vitu vingine vinaonekana vidogo lakini vinajenga mambo
makubwa sana kwenye mahusiano. Na pia yanaleta furaha na raha
fulani ya maisha ... Ndio maana anafurahi ....

Je wewe huwa unakumbuka vipi ? umeweka reminder kwenye cellphone au ??
 
wedding anniversary, Birthdays, etc..

Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?

Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??

Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Kwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..
 
AD naomba kuchakachua siredi
TF una kesi ya kujibu mahakamani kutokana na shtaka lako so jiandae mapema sana
 
Mi bthdy sitaki uwa ninajisahulisha ilimradi najijua nina miaka kadhaa lengo sitaki kumkumbusha MUNGU kwa mbwembwe uwa napga magoti na kusema wewe ndiwe muumba wangu nitakuabudu milele.nikija kuowa kumbukumbu itakuwepo ya sherehe kuishi na mtu mwingine kazi kwel kwel so lazima kukumbushana.
 
Naikumbuka sana wedding anniversary yangu na huwa tunaifanyia suprise ya kiaina na hata birthday yake
Ila AD mambo ya maisha na kipato yanatufanya siku hiyo itupite kama hatuioni aise
Maana siku yenyewe unajikuta mfuko umetoboka utajikalisha ofcn ukirudi amelala unajichekesha na kumpa hongera na kiss kidogo siku inakuwa imekatika

Hongera kwa kukumbuka mkuu..
naona wengi mnasema mifuko imetoboka..
Si lazima uwe na million au kitu kama hicho...
Pipi gololi inatosha kabisa "jokes" .....
ila ya kuonyesha umekumbuka ina muhimu sana kuliko
hata zawadi.. hiyo sentensi ya mwisho funga kazi.....
 
Mi huwa nakumbuka za watu ila ya kwangu huwa sikumbuki na hakuna mtu ambaye huwa ananikumbusha na nikikumbuka huwa ni baada ya cku mbili au tatu baada ya tarehe yenyewe.
 
Afrodenzi,jamani kautamaduni na asili pia jamani wakati mwingine tunapitiwa.Sasa kama mnyamwezi mimi wa porini huko Miono Sikonge hata kama nipo Manhattan,bado kaasili kapo,te te te te.Hapana wakati mwingine ni maisha yanasumbua au wakati mwingine kutokujali.Lakini kama ni mpenzi/mume kapitiwa take him to task na muulize why this,inawezekana huko Sikonge kufanya anniversary/Birthday ni luxury huwezi jua

hahahahaahahah haya bana ..

ila swali linabaki hapa ni nini tu cha kufanya ili muwe mnakumbuka
kila mara bila kukumbusha kila hiyo siku ikifika???
maana saa nyingine inaleta hasira kila mwaka "Honey unajua leo ni siku gani"?
halafu anaanza ku guess, birthday ya mtoto, ummmmhh birthday ya mama mkwe?
ooohhhhh our wedding anniversary .. halafu anamalizia "I knew that"........
 
Mahakama kuu na kesi yenyewe ni ya kudanganya matukio. Ulipaswa uwe somewhere ila ukaenda kwingine na hukuonekana.
Je huwa unakumbuka birthday ya mchumba au mpaka ukumbushwe kwa kengele
Utanitetea bana...nitakupa ten percent....mimi kwenye birthday ni kiboko huwa nakumbuka miezi miwili kabla
 
AD mambo ya maisha bana
Haya mambo kweli tunakumbuka ila hali ya uchumi. Nikifikiria kakikapu ka maua hakapungui 50 nikifikiria kacake kadogo hakapungui 20 kadi hapo ni kama 5000 bado sijaweka labda kachupa ka wine ambako hakapungui tena 30 duh na ni siku moja tuu mfuko haufiki aise
Tunakumbuka sana ila siku hiyo tunajifanya busy mbaya. Unamkumbuka tuu kwa sms na kumpigia na kupma hongera

Kwa hiyo kwa ujumla mnakumbuka sana..
ila mnajifanya hamkumbuki sababu ya fedha..

Hiyo ya txt na kumpigia inapendeza sana..

Je unaonaje kama ukichukua siku nzima off na ku spent muda na yeye??
hiyo haihitaji fedha..
 
Back
Top Bottom