Wakaka wa JF...

Pauline kuna roho inaniambia wewe ni
images

Ghafla Nguli umekuwa Jabali......makubwa ya 2011
 
Ila wajamen mwindaji mimi, pozi la First Lady linanikosha sana! kila nikiiangalia Avatar yake nakuwa hoi!
 
Tunapenda kuvuta attention za men lakini wengi hatujajiunga kwa ajili hiyo.
Tuache mambo mengine yatokee bila kulazimisha.
Nawapenda wakaka wa jf sio wasumbufu.
 
Back
Top Bottom