wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili

Na mimi nishaweka principle zangu, kubwa ni mwanamke akinipiga mzinga tu ajiandae kumegwa na kuachwa..

Maana kuna madem kibao unakutana nao leo tu jioni anakutext amekwama, jino kwa jino nowdays, madem wanajifanya wajanja na guys tumekuwa wajanjuz
daah hili gemu sijui litakuwaje
 
Na mimi nishaweka principle zangu, kubwa ni mwanamke akinipiga mzinga tu ajiandae kumegwa na kuachwa..

Maana kuna madem kibao unakutana nao leo tu jioni anakutext amekwama, jino kwa jino nowdays, madem wanajifanya wajanja na guys tumekuwa wajanjuz

Hahaaa mkuu, umenikumbusha siku ya Pasaka usiku mida ya saa 7 naenda zangu club kuna mademu tukawapa rifti mpaka Club walikua kama watano mmoja nikampakata mbele maana ghari ilikua haitoshi, mtoto alikua bomba nikampiga sound akaingia kwenye line, eti jana ananiambia simu yake imeibiwa na ilikua Nokia C3, anaomba nimuongezee japo pesa nusu ili anununue nyingine....
Hawa mademu bana wazinguaji ile mbaya
 
kuna ingine sinza bwana kuna kibuzi changu huwa kinanipeleka kula mapaja ya mbuzi pale ni balaa

Smile na wewe na hicho kibuzi unachokichuna huoni kama unajitukan mwenyewe hebu soma mwenyewe namba 3 hapo chini

3 kupiga mizinga
Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......
Keep it for u a self
 
kwani mbuzi nakula mwenyewe si tunakula wote tukitoana stress za dunia hii
huo sio mzinga
 
Hahaaa mkuu, umenikumbusha siku ya Pasaka usiku mida ya saa 7 naenda zangu club kuna mademu tukawapa rifti mpaka Club walikua kama watano mmoja nikampakata mbele maana ghari ilikua haitoshi, mtoto alikua bomba nikampiga sound akaingia kwenye line, eti jana ananiambia simu yake imeibiwa na ilikua Nokia C3, anaomba nimuongezee japo pesa nusu ili anununue nyingine....
Hawa mademu bana wazinguaji ile mbaya

Hapo sijaona shida.
Ujue kakolea na wewe na kama kakuomba kwa mara ya kwanza beba jukumu ili kutatua shida yake tatizo ni pale atakapoanza kuleta shda ya 2 na 3 as if wewe ndo ATM
Labda kaka ulipatwa na nyege za kumpakata tu.
If u love nenda mfukoni then msome kwa wht next...
 
Well noted ngoja nimsome, vizuri baada ya kumpa hela ya simu
 
kwani mbuzi nakula mwenyewe si tunakula wote tukitoana stress za dunia hii
huo sio mzinga

Stress zipi za Dunia mpaka mzitoe mkila mapaja ya Mbuzi? mbona mnaweza kuzitoa stress mkiwa beach mnapunga upepo na Juice za Azam Cola?
 
Jaman ee ktk yote yawezekana kabisa yanakera,but once mkipendana hakuna litakalokuwa chungu kwenu,pia wapenz wanao aminiana hawana mambo yakijinga kama hayo mm ninajuwa mkipendana mnakuwa as twins.
 
stress zipi za dunia mpaka mzitoe mkila mapaja ya mbuzi? Mbona mnaweza kuzitoa stress mkiwa beach mnapunga upepo na juice za azam cola?
kote sawa tu mbona bora kusiwepo na maclaim ya kipuuzi
 
NA NYIE JE?
1. hivi kuna mlalamishi kama mwanamke,mara kichwa kinauma,mara tumbo...kumbe anataka attention tu.
2.Si bora kuvuta sigara,siku hizi wanawake kibao wanapiga msuba.
3.kupiga mizinga? kha nikuonyeshe 'inbox' yangu uone mnavyonipiga mizinga,...naomba hela ya saluni...vocha...
4. Dharau? wala usiende mbali angalia tu humu jf mamemba wanawake wanavyotudharau,lol! mara oh sisi wavulana.....jamani haki kweli?
5.Wanawake ni waongo jamani...nakwenda saluni kumbe yuko na bishanga buibui gest haus.
6.Kuongea,nenda saluni yoyte mjini usikie wanawake wanavyopiga tararira,kuna anayewashinda kwa umbea nyie?
7.Are we demanding,na nyie mnaotuomba hela mpaka tunaishia kuiba na kufungwa? wanawake wangapi wako jela kwa wizi?
8.Ubahili? kuna mwanaume anajua mshahara wa mkewe au kujua huwa anautumiaje?
......umesema utarudi kuendelea.....bishanga nasema ishia huko huko!

Binafsi hizi tabia hasa hizi red hapo juu zimenisaidia sana kusitiki na mke wangu tu! Mambo ya kupigwa mizinga na wanawake sitaki kabisa kusikia!!!
 
we smile ivi nani amekufundisha hayo mambo? kama hujaolewa jiandae kuto olewa otherwise uwe unaongea tuu humu lakini uc apply hayo mambo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom