Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,285
7,143
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?






IRINGA STENDI YA MKOA​

au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​
 
Huyo changudoa tu - Hamna cha Uhuru wala nini..

Unavaa Gagulo unatoka mchana kweupe?
 
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii






IRINGA STENDI YA MKOA​
Hiyo nguo sio ya kuvaa na kutembea nayo barabarani unategemea nini, mjifunze kila nguo ina sehemu yake ya kuvaa
 
Akome kupita anawadobosha watu wengine wana ukame wa miaka 3 ndio maana mnaona vichaa wanazaa walio wapa mimba hawajulikani. Huyu angepita K.Koo au Karume wahuni wangejiexpress
 
Hiyo nguo sio ya kuvaa na kutembea nayo barabarani unategemea nini, mjifunze kila nguo ina sehemu yake ya kuvaa

Kwani hapo unaona maumbile ya ndani? Mbona wazungu wanavaa vikaptula chupi flani unawakuta mtaani wakijiacha sembuse hii
 
Watu wote wote wanamzomea kwa jinsi alivyovaa halafu wewe unaona sawa. Kama vipi hebu na wewe vaa kinguo kama hicho uone kama utaweza hata kutoka nje.
 
Akome kupita anawadobosha watu wengine wana ukame wa miaka 3 ndo maana mnaona vichaa wanazaa walio wapa mimba hawajulikani. Huyu angepita k.koo au karume wahuni wangejiexpress
Ukame ni matatizo yako na domo lako

kwa hiyo ukimbaka utajitetea mahakamani kuwa una maukame ya miaka mitatu?

Ebu tupeni uhuru tuvae tutakavyo.Mbona nyie hatuwabughudhi mnapo vaa kiajabu?
 
Tatizo lipo hapo Mertyina: what to wear and where to wear!

Kijijini kwetu siwezi kuvaa leggings na top dress, watanishangaa na kunilaani lakini daslamu wala hakuna anayekushangaa.

Yeye akawavalie wanyalu lesi lesi hizo alifikiri nini?.

Wakati mwingine tunajidhalilisha wenyewe tu.
 
Tena ana bahati yuko Iringa angekuwa Kariakoo si ajabu wangembaka mchana kweupe
 
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii





Kina dada hamna mpango kabisa.Mavazi yana mahali pake, vazi la kulalia mwavaa barabarani. Utakuta dada kavaa sketi fupi, anapanda daladala, kasheshe akikaa katika kiti, mapaja nje! Utakuta mwenyewe anahangaika kuyafunika, ulivalia nini?
 
Back
Top Bottom