Wakaazi wa Iringa hatujui matumizi ya vivuko vya watembea kwa miguu.

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Bila shaka madreva wa Iringa na wengine mliowahi kupita tu mjini hapa mtakubaliana na mimi kuwa watembea kwa miguu tunavitumia vibaya vivuko vyetu, utakuta wa wanapita taratiibu wengine hadi wanaanza kusalimiana katikati ya zebra. Watu wa usalama barabarani jaribu kutuelimisha vinginevyo kutatokea watu kugongwa na madreva wasiokuwa na subira..
 
mahusiano mapenzi na urafiki..... hii forum kumbe ina mchanganyiko wa mambo, binafsi sioni uhusiano wa mada hii na forum hii!!!!
 
Bila shaka madreva wa Iringa na wengine mliowahi kupita tu mjini hapa mtakubaliana na mimi kuwa watembea kwa miguu tunavitumia vibaya vivuko vyetu, utakuta wa wanapita taratiibu wengine hadi wanaanza kusalimiana katikati ya zebra. Watu wa usalama barabarani jaribu kutuelimisha vinginevyo kutatokea watu kugongwa na madreva wasiokuwa na subira..
Iringa mnajua kula nyama za mbwa. teh! wahehe, wanyalukolo stil primitives!
 
Back
Top Bottom