Wakaanga Chips na Kuku Maarufu jijini Dar es salaam

angetege

Member
Feb 26, 2009
12
3
Hubu tupia Jina na mahali alipo mkaanga chips na kuku maarufu jijini Dar es salaam.
1.Facebook -Msasani
2.American chips - Kinondoni
3.
4.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Next time you just come and ask where is nice Church or Mosque situated place ! Also Jf members they help you a roadmap !
 
Hubu tupia Jina na mahali alipo mkaanga chips na kuku maarufu jijini Dar es salaam.
1.Facebook -Msasani
2.American chips - Kinondoni
3.
4.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

5.Masangati-Temeke
 
Hubu tupia Jina na mahali alipo mkaanga chips na kuku maarufu jijini Dar es salaam.
1.Facebook -Msasani
2.American chips - Kinondoni
3.
4.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kwenye bold haiko Msasani..iko Morocco..mayb ziwe mbili

3..amijei..k"nyama
4..Edo namanga
5..Ali baba..Morocco
6..Barafaa (Kuku)..ilala
 
Huyo Barafaa ni kiboko!

Huyu ni mkongwe anachoma nyama since 70" tangu alikua akichoma Babu, akaja Baba sasa wako wajukuu, wanapatika Ilala mtaa wa Moshi na Mwanza pembeni ya Habibu Punja primary sch.
 
1. Facebook-Kinondoni Morocco

2. Eddy Baba- Kinondoni kanisani

3. Kwa Mpemba- Kinondoni Kanisani

4. Kwa Man- Boko Basihaya

5. American Chips- Kinondoni Fm.
 
Mtakuja kulishwa na visivyoliwa maana kuku wanauzwa mpaka saa kumi za usiku khaaaaaaa......
 
Barafaa alikua zamani tangu mie mdogo sikuizi wala sio tamu tena,Ami J naziona tamu na kariakoo pia kuna sehemu ukila unajisikia hasaaaaaaaaaaa.
 
Huyo Barafaa ni kiboko!
barafaa alitakaga niachike mimi!! sitasahau! kaka anapika balaa, na ni toka miaka hiyooooooooooooo, nilikuwa nafuataga utumbo wa kuku kwake wakati nna mimba ya twins, ol the way from sinza everyday! acha kabisaaaaaaaa!
 
kwenye bold haiko Msasani..iko Morocco..mayb ziwe mbili

3..amijei..k"nyama
4..Edo namanga
5..Ali baba..Morocco
6..Barafaa (Kuku)..ilala

aisee tunashukuru kwa information zenu maana wapenda chips kuku tuko wengi na mi hua natafutaga mahali wana the best of the bestest...hiyo ya morocco iko sehemu gani?
 
barafaa alitakaga niachike mimi!! sitasahau! kaka anapika balaa, na ni toka miaka hiyooooooooooooo, nilikuwa nafuataga utumbo wa kuku kwake wakati nna mimba ya twins, ol the way from sinza everyday! acha kabisaaaaaaaa!

:biggrin1: wanasemaga wapika kuku kuna vitu wanaweka kuhakikisha wateja hawaondoki pale sa sijui ka ni kweli
 
Back
Top Bottom