Wajuzi tusaidieni kwa hili!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Nina SanDisk........inapicha naziona kwenye kamera lakini nikiweka kwenye card reader hazionekani...nimeenda kwenye hidden folder nimeweka sawa lakini bado hazionekani hivyo wanabody naomba msaada!!
 
possible inawezekana format ya hizo picha sio za kawaida ndo mana haziwi detected au zimefichwa maksudi nakushauri ukiifungua tumia software andavanced za picha mfano PICASA niliwah pata tatizo kama hilo thats how nlivosolve
 
utakuta zimewekwa kama system files. kwasababu naona una utaalam wa kuweza show hidden files, sitakubore kwa kueleza wapi utaweza kuiona. hapounapo tick show hiden files, scroll chini mpaka palipoandikwa *Hide Protected Operating system files (Recommended) untick then uone.
utapewa warning ni windows isemayo
2praetk.jpg
click yes

make sure options ya hidden files ni unticked. unatakiwa uwe na kitu kama hichi
33nj22h.jpg

click apply then anagalia picha zako. kama bado huzioni, una kirusi ambacho kinafanya hidden files zisionekane. kujua kama ni so, nenda kwa desktop create new folder alafu kwa properties zake apply *hidden*. ukiclick ok, inatakiwa isipotee. ikipotea.. kirusi..........
 
Mkuu nimefanya hivyo lakini wapi!!
 
Yeah nimefanya hivyo lakini folder ipo...hata hivyo nina kaspaersky...
kah, hii nayo inanitoa jasho :biggrin:

sio kirusi.. mmc inasoma vizuri kama unaona space iliyopo. mkuu hebu nipe nusu saa I think it over, nikirudi niwe na approach mpya
kaaah
 
kah, hii nayo inanitoa jasho :biggrin:

sio kirusi.. mmc inasoma vizuri kama unaona space iliyopo. mkuu hebu nipe nusu saa I think it over, nikirudi niwe na approach mpya
kaaah
i appriciate!
 
Time to do it the old way.Fungua program ya ku-burn. Nero works just fine.

Chagua aidha cd au dvd kulingana na ukubwa wa kadi yako.
Then copy the whole card to the Nero project.
Kwa kuwa umecopy folder lote, ukilifungua utaona hizo picha, probably looking hidden.
Cut and paste kwenye root folder ya cd au dvd. Then right click na ucheck option ya ku-unhide kwenye properties kama sijakosea.
Then burn your project as an image file, either nrg or iso.
Afterwards hakiki kama zinaonekana, format kadi kutumia device yake (camera or phone).
Then copy paste to the card, and let us know what happened.And by the way unatumia OS gani Shevchenko?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom