wajuzi naomba majibu yenu

Hardman

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
672
395
kuna hili suala la uanzishwaji wa banks,what is the implication of this tanzania kuna mashirika ya bank mengi to mention afew crdb,nmb cba,boa,dtb,ecobank,benki ya posta,efatha,na mengine mengi ambayo sijayataja,sasa naomba ufafanuzi hii ina maana gani uchumi unapanda au kuna michezo michafu hizo banks zinatuchezea
 
Back
Top Bottom