Wajuzi hebu tusaidiane kwa hili

Gilala

Member
Apr 8, 2012
24
0
Nimekuwa nikisikia watu wakisema, kuwa mtu mwenye mimba hasa changa hatakiwi kunywa dawa chungu mf:ALOE VERA,MWAROBAINI nk. yaweza kusababisha mimba kuharibika.
Hii imetokea kwa jirani yangu mkewe alikuwa na mimba ya miez3 ikaharibika, lakin baadae ikaja gundulika kuwa alilamba aloe vera kutokana na kichefu chefu kumpelekea kutaman kulamba vitu vichungu.

Ombi langu naomba maelezo ya kina kuhusu hii ALOE VERA ambayo tumekuwa tukiitumia kama dawa kwa magonjwa mbali mbali. Inakuweje kugeuka tena na kuwa sumu kwa mtu mwenye mimba?
 
Issue ni moja, ukiwa mjamzito usitumie kitu chochote pasipo kushauriana na dr wako.
Kwa upande mwingine ni muhimu kuwa muangalifu na dozi ya dawa m'badala manake hapo ndipo mziki wote ulipo.
 
Its true,kua aloevera pamoja na muarobaini ni tiba nzuri kwa magonjwa mengi,bt inalimitation zake,yaani haitakiwi itumiwe kwa wingi na isiwe mara kwa mara maana hzo dawa ni kali sana!mfano aloevera ikitumiwa kwa uwingi huunguza ini!pia hairuhusiwi hata kidogo kutumiwa na mjamzito!so its beta kwa mjamzito kutogusa dawa yoyote pasipo ushauri wa mtaalamu.
 
Back
Top Bottom