Tangu Trump ashinde urais wa Marekani nimeona akihusishwa sana na tunu za kikatoliki na hata yeye kusema wazi ataziendeleza. Pia ameonekana kusifia kazi kubwa inayofanywa na taasisi za kikatoliki na kusema atawalinda dhidi ya wote wanaozipiga vita!
Tunu au values ambazo Trump na Republican wanasimama kwazo ni pamoja na kukataa ndoa za jinsia moja, kukataa utoaji mimba, n.k.
Kwa hiyo republicans wanaonekana kuishi kufuatana na tunu za kikatoliki ambazo ni traditional and conservative.
Democrats wao wanatetea yote hayo, utoaji mimba n.k. na wanaonekana zaidi kuishi kufuatana protestant au pentecostal values ambazo ni more liberal.
Ndio sasa nimekuwa najiuliza hivi vyama vimegawanyika katika mtizamo wa religious traditions?
Mwanzo nilidhani majority of Americans are pentecostals. Na influence ya Catholicism ni ndogo sana.
Wajuvi mtupe mwanga kwa hili!
Theology, Philosophy and Science
Tunu zilivyochambuliwa kwa kina za Republicans na Democrats by Dinesh De Souza
Source: Theology, Philosophy and Science