Wajumbe wa UN kutoka mataifa ya Ulaya wanakimbia kikao - Ahmed Najad anawapaka live!

hUYO NI MOJA YA VIONGOZI WACHACHE WALIOBAKI WENYE MSIMAMO MKALI DHIDI YA UFEDHULI WA MATAIFA YA MAGHARIBI
 
Tatizo la waarabu majigambo mengi, lakini kwenye vitendo hamna kitu. Gadaffi, Saadam etc wako wapi?

Mhh sasa waarabu wanahusika vipi na hotuba ya Ahmadinejad? kama unadhani Wairani ni Waarabu unakosea hawa jamaa ni Waajami au Wafursi.
 
jamaaa huyu kiboko na taifa lao la Iran lina msimamo kweli. wairani waliamka mapema walimpompindua Shah na kumtimua kama mbwa koko
 
Nimesoma hotuba yake kwa kweli magharibi wanatufanya tuwe maskini, hakika wafrika cjui 2fanyaje mana marais wetu pia wengi ni local president walahi 2natawaliwa tu bado roho inaniuma cna
 
Acheni kujidanganya kama yeye ni kidume si akawatwange hao marekani haoni aibu kulalamika na kulaumu? Hivi kulalamika na kulaumu ni ushujaa?sadam..Gadaf , walilalamika sana lakini wako wapi? Western wakichoka kuonya huamua kufanya wanachokiamini na yeye si afanye anachokiamini yaani kuwatwanga western?Vinu vya Nyuklia vya kutengenezewa na urusi ndo vinamvimbisha kichwa huyo mwanaharamu.Wakati Marekani bajeti ya kijeshi ni trilioni 700 yeye ni bajeti ya nchi kwa miaka 5 mfululizo.Ukweli ni kuwa Ahmad nijan anatwanga maji kwenye kinu uvumilivu ukiwaisha western watachana kama karatasi.Maskini wairani mapinduzi waliyo yataka sio waliopata and that's why alipo chakachua wakaandamana.
 
hapana ndugu njia bora nikujibu kwa speech sio kukimbia sasa kama anajanganya alafu unakimbia inamaanisha huna ukweli wa kujitetea.mimi naona hapo ndio wanapo onesha kuwa dunia ipo chini yao.
Ukiwa na ushabiki uliopitiliza au chuki kubwa juu ya mambo fulani usipojiangalia unakuwa kituko! Fumbua macho uone ndugu yangu, suala la kutoka nje ya mikutano kuonyesha kutokukubaliana ni kawaida sana, linatokea ktk mabunge ya nchi kibao na mikutano mbalimbali ya kimataifa. Sikuwahi kusikia kuwa viongozi wanaenda UN 'kuotea' hotuba za wengine ili wazijibu!! Haya twambieni mkwe.re wetu alijibiwa na nani au yeye alimjibu nani. Maana na yeye nilimuona anajikanyaga huko.
 
Juzi ndege ya US isiyokua na rubani imerusha mabomu nchini somalia na kuua watu 11.Wasomali wenyewe wanajifia kwa njaa marekani bado anaua tuu
 
Ukiwa na ushabiki uliopitiliza au chuki kubwa juu ya mambo fulani usipojiangalia unakuwa kituko! Fumbua macho uone ndugu yangu, suala la kutoka nje ya mikutano kuonyesha kutokukubaliana ni kawaida sana, linatokea ktk mabunge ya nchi kibao na mikutano mbalimbali ya kimataifa. Sikuwahi kusikia kuwa viongozi wanaenda UN 'kuotea' hotuba za wengine ili wazijibu!! Haya twambieni mkwe.re wetu alijibiwa na nani au yeye alimjibu nani. Maana na yeye nilimuona anajikanyaga huko.

ndugu numefurahi kuona unataka kuelewa point zangu suala la ****** mimu sijuwi lkn kuhusu aliyoyasema rais wa iran sioni kama wewe unaweza kupinga kwa kutoa ushahidi kuwa ni uwongo.
 
ndugu numefurahi kuona unataka kuelewa point zangu suala la ****** mimu sijuwi lkn kuhusu aliyoyasema rais wa iran sioni kama wewe unaweza kupinga kwa kutoa ushahidi kuwa ni uwongo.
Ndugu soma vizuri post zangu, hakuna mahali nimetaja uongo au ukweli wa rais
wa Iran. Nimehoji watu wanaojaribu kudanganya hapa kuwa waliotoka nje walimkimbia kwa sababu ya kuwaambia ukweli! Kutoka nje/kususia hotuba ni njia ya kawaida ya kuonyesha kutokukubaliana na muhusika. Siungi mkono serikali nyingi za ulaya na za mashariki ya kati pia kwa sababu wote hao ni WANAFIKI. Sasa, kwa sababu tu siwaungi mkono nikipotosha kuwa kutoka nje ni kukimbia, huo nao si utakuwa ni unafiki na uongo?! Nikijidai kuwa sijui kuwa viongozi wanaenda UN kila mtu akiwa ameandaa nondo zake si nitakuwa mnafiki kama hao ninaowalaumu?! Hivi huko UN viongozi wanapata nafasi ya kuhutubia mara ngapi hadi tuseme kuwa wangekaa ili wajibizane?! UNAPOFUMBIA MACHO 'UNAFIKI MDOGOMDOGO' USIMLAUMU YULE UNAYEDHANI ANAFANYA UNAFIKI 'MKUBWA'...
 
Kaka ni kweli wazungu wapenda kusikilizwa wao tuu. Niko nafanya kazi nao na kuna myahudi mmoja h=niko nae huwa namwambia huwa nyie ni coward mnakimbia matatizo badala ya kuyaingia na kuyafanyia analyisis na kujiwekea mipaka mikubwa mpaka mnashtukiwa na kuanza kupigwa mabomu.
 
Mkuu, WAZUNGU WOTE walikimbia ukumbini??????
Ni kawaida kuwa kama anayehutubia hukubaliani naye njia iliyozoeleka ni kuondoka ili kuonyesha kutokukubaliana.. Na hiyo haiitwi kukimbia.

Mbona CHADEMA walivyotoka bungeni watu wakawa wanapiga kelele
 
Kaka ni kweli wazungu wapenda kusikilizwa wao tuu. Niko nafanya kazi nao na kuna myahudi mmoja h=niko nae huwa namwambia huwa nyie ni coward mnakimbia matatizo badala ya kuyaingia na kuyafanyia analyisis na kujiwekea mipaka mikubwa mpaka mnashtukiwa na kuanza kupigwa mabomu.

Kutoka ukumbini UN sio kukimbia matatizo maana kule sio ukumbi wa mdahalo, kule kila mtu anaongea anachotaka kuongea na si lazima usikilize. ukikuta mtu anaongea uchizi unaruhusiwa kutoka lakini hurusiwi kuinterrupt. Kwahiyo Wazungu hawajamkimbia Nejad bali wamemdharau.
 
Kaka ni kweli wazungu wapenda kusikilizwa wao tuu. Niko nafanya kazi nao na kuna myahudi mmoja h=niko nae huwa namwambia huwa nyie ni coward mnakimbia matatizo badala ya kuyaingia na kuyafanyia analyisis na kujiwekea mipaka mikubwa mpaka mnashtukiwa na kuanza kupigwa mabomu.
Mkuu, nashindwa nikipe jina gani hiki ulichopost hapa!! Ikiwa wazungu wanakimbia matatizo ni watu gani duniani wanaokabiliana na matatizo yao na wamepata achievements kiasi gani??? Nilidhani sehemu kubwa ya dunia inawafuata haohao wawatatulie matatizo yao...
 
Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma

Siku nyingine uweke video hapa! Ok!
[video=youtube_share;myxV8OjL--0]http://youtu.be/myxV8OjL--0[/video]
 
Back
Top Bottom