Wajumbe 3 UVCCM Arusha kuhojiwa na ITV, TBC 1

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Waja JF,

Wajumbe watatu wa UVCCM arusha wakiongozwa na Aliye kuwa M/Kiti wa UVCCM (wilaya ya arusha mjini) zamani bwana Bananga na Mjumbe wa UVCCM arusha Mjini na Mjumbe wa UVCCM Arumeru, Majira haya wana hojiwa na vyombo hivyo vya habari kuhusiana na mambo au changamoto zima la viongozi wengi wa UVCCM sana sana kwa Arusha kujitoa CCM na kuhamia CHADEMA.

Wajumbe hao kwa pamoja wana heshimu maamuzi ya aliyekuwa M/Kiti wa UVCCM J.Millya kuhamia CHADEMA na wapetoa mapendekezo tu kwa Millya ndoto zake zote aziendeleze kwa wananchi kama alivyo kuwa amekusudia kufanya.

Bananga alikiri kuwa kuna haja ya kujiangalia UVCCM na kujitathimini kulikoni viongozi wengi wa juu UVCCM wanakihama chama hicho na ni wapiganaji haswa.

Ila inaonekana kuna mtafaruku ndani ya UVCCM kwani kuna jambo Bananga aliligusia kuhusu Mrisho Gambo ambae nae ni mwiba ndani ya UVCCM hapa Arusha.

kwa bahati mbaya sikuweze malizia mahojiano yao ingawa kulikuwa na tetesi ya tuhuma za pesa kutafunwa.

Habari kamili saa mbili usiku

My Take;

UVCCM inapaswa ibadilike wawe wakweli na wasiwe pale UVCCM kwa minaajiri ya kuwabeba watu fulani na kujipendekeza kwa wakubwa fulani au kwa maslahi yao kibinafsi wawatumikie wananchi na kuiweka Utaifa mbele kuliko Chama na chama chao kitambue UTAIFA/UZALENDO ni nini.
 
Hivi UVCCM ni nini? Siielewi hii kitu!

Nisaidieni kujua maana!
 
Kuna tetesi ya hawa kuhami CHADEMA subilini next week hamto amini UVCCM watapalaganyika wote Arusha Nzima na sio Arusha mjini tuu.

CHADEMA KUITEKA ARUSHA ndani ya miezi michahce ijayo tena kwa kasi kubwa mno
 
Mkuu wametangaza nia ya kujivua magamba maana hilo ndiyo la msingi hapo katika mahojiano yote.
 
Uvccm kuna njaa kali
hakuna fursa,,,,,na hakuna nafasi kwa wasomi,,,,chamani kumejaa wazee wanao tazama vijana wapya kama,,//threat,,,,,siasa za kutazama huyu ni mtoto wa nani za kujuana na kubebana,,,,kuna wenyewe,,,hakuna mtazamo mpya,,,,,,nawapo changamoto wana ccm arusha,,,wamtafute mama yake mzazi chatanda,,,,alipo na anafanya nini na kwa nini.....then mtamjua chatanda kikamilifu na nguvu gani alizonazo ....hii ni tanzania,,,,,,,,ninapo tafakari nachoka,,,,,,,,,,,,,lagos ,,,,
 
Mkuu wametangaza nia ya kujivua magamba maana hilo ndiyo la msingi hapo katika mahojiano yote.

Subilini J3 mtasikia kivumbi kikubwa Arusha EL anawakati mgumu sana hili ni pigo kwa JK pia na kama hana habari ajue sasa UVCCM Arusha na mikoani inakwisha maana CCM ndio huwa wanategemea sana UVCCM sasa Vijana wana hamia kwa vijana wao Pinda sasa Peoples Power ndio itaendelea kutokukupa usingizi.

ni bora pinda ujivu huo PM

EL Hana wasiwasi kaishka ccm hakhama chama kmekufa anasubr muda yule ni mzee hatar kwa mikakat hajawah kufeli mkakat

Subilini J3 mtasikia kivumbi kikubwa Arusha EL anawakati mgumu sana hili ni pigo kwa JK pia na kama hana habari ajue sasa UVCCM Arusha na mikoani inakwisha maana CCM ndio huwa wanategemea sana UVCCM sasa Vijana wana hamia kwa vijana wao Pinda sasa Peoples Power ndio itaendelea kutokukupa usingizi.

ni bora pinda ujivu huo PM

[/QUOTE]
 
Waja JF,

Wajumbe watatu wa UVCCM arusha wakiongozwa na Aliye kuwa M/Kiti wa UVCCM (wilaya ya arusha mjini) zamani bwana Bananga na Mjumbe wa UVCCM arusha Mjini na Mjumbe wa UVCCM Arumeru, Majira haya wana hojiwa na vyombo hivyo vya habari kuhusiana na mambo au changamoto zima la viongozi wengi wa UVCCM sana sana kwa Arusha kujitoa CCM na kuhamia CHADEMA.

Wajumbe hao kwa pamoja wana heshimu maamuzi ya aliyekuwa M/Kiti wa UVCCM J.Millya kuhamia CHADEMA na wapetoa mapendekezo tu kwa Millya ndoto zake zote aziendeleze kwa wananchi kama alivyo kuwa amekusudia kufanya.

Bananga alikiri kuwa kuna haja ya kujiangalia UVCCM na kujitathimini kulikoni viongozi wengi wa juu UVCCM wanakihama chama hicho na ni wapiganaji haswa.

Ila inaonekana kuna mtafaruku ndani ya UVCCM kwani kuna jambo Bananga aliligusia kuhusu Mrisho Gambo ambae nae ni mwiba ndani ya UVCCM hapa Arusha.

kwa bahati mbaya sikuweze malizia mahojiano yao ingawa kulikuwa na tetesi ya tuhuma za pesa kutafunwa.

Habari kamili saa mbili usiku

My Take;

UVCCM inapaswa ibadilike wawe wakweli na wasiwe pale UVCCM kwa minaajiri ya kuwabeba watu fulani na kujipendekeza kwa wakubwa fulani au kwa maslahi yao kibinafsi wawatumikie wananchi na kuiweka Utaifa mbele kuliko Chama na chama chao kitambue UTAIFA/UZALENDO ni nini.

tumekupata millya
 
Back
Top Bottom