wajue wanaoisimamisha HIP HOP bongo

Cyprian shayo

Member
Sep 25, 2011
17
0
'usiache ulichohitaji maishan, gafla ukafuata ulicho taman' (ielewe mitaa)by fid q. Mchaga alalimacho kwenye salary daima(chapchap or pure namba) by one the incredible. Ase hawa ndo mcz wanayo isimamisha hiphop bongo
 
amani kwa Kaka Voda Milionea...
Wastue wanao waache poda wale mmea...
Jipange.

Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe
 
Unapapasa vitu kijana!
Sikiliza music na ujifunze zaidi, kuna mengi unahitaji kujua!
 
Huyo ni langa!!!!nimepitia thread ntarudi!

Usikurupuke.
Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe na kipande hicho amekiimba ktk wimbo unaoitwa ''JIPANGE''.

ulidhani hapa ni Facebook ama?
Mdogo wangu hapa ni Jamiiforums
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom