si afadhali ya hawa chadema walitaka kutuletea makamu wa rais wa darasa la saba sasa wanaweza kuwakosoa ccm kweli? Angekua anaenda nje ya nchi na mkalimani kama marehemu kawawa? Au angeongeaje na mabalozi wakimtembelea?
actually kihiyo ni mtu anayefoji cheti, hawa mpaka sasa tuhuma zao ni kwamba wana elimu ndogo, kwa hiyo sifa ya ukihiyo hawana, watafutie jina lingine.
Wewe sio MPENDANCHI bali ni MPENDAUCHI.
Viongozi huzaliwa ndugu yangu. Ndio maana nchi kubwa kama UK zimekuwa zikiongozwa na watu wasio na elimu ambayo wewe unadhani ndio kigezo cha kuongoza vizuri. UMEPOTOKA KWELIKWELI.
Uongozi hutawaliwa na HEKIMA na BUSARA na sio Elimu. HEKIMA haina chuo. Kiongozi ni mtu anayejiweka yeye katika nafsi za watu wengine kabla ya kuchukua uamuzi wowote. Hujiuliza maswali ya Hekma na busara kabla ya kuamua jambo kwa maslahi ya watu wengine.
Tuna maprofesa na madakatari Lukuki hapa nchini. Lakini lakini bahati mbaya wanatum,ia Elimu yao bila HEKIMA. Wasomi wengi ni MCHWA TU.
Hivyo si sahihi kudhani shule ndefu ndiyo msingi wa uongozi bora. NOOOOOOO. Ni HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA. mfalme Suleiman alipoulizwa na Mungu ni kupe nini kati ya mali na HEKIMA. Jibu ilikuwa ni HEKIMA. Viongozi wa sasa ambao most of them wanakuwa wasomi wangeuliwzwa swali hilo hata baada ya kusoma vitabu vitakatifu wangejibu NIPE MALI maana wengi wao huabudu mali.
Tunaweza kuwapima kwa kazi zao, walichofanya na ambacho hawajafanya? Badala ya hii kasumba ya ukoloni mamboleo ya kuhusudu vyeti bila kujali performance ya mtu ?
Kuna watu wengine wana akili sana wanaona kwenda shule kupoteza muda tu.
Hivi John Mnyika kaenda Chuo gani zaidi ya Form Six? Lakini ushawahi kumsikia John Mnyika aki articulate vitu? Ushawahi kusoma policy analysis za Mnyika? He has all the markings of a policy wonk, hana hata degree moja na I doubt kama ana cheti chochote zaidi ya Form Six, lakini ka invest muda wake katika social causes, kapata elimu dunia kubwa ambayo hata Harvard huwezi kuipata.
Ukinipa mtu kama huyu mimi naona ana elimu kubwa sana kumshinda Chenge aliyeenda Harvard lakini yuko horribly out of touch with wananchi.
Hebu muangalie Mnyika anavyo articulate mambo eloquently, with poise and confidence, sasa unataka kuniambia mtu kama huyu kwa mujibu wa list hiyo ya juu hajaelimika?
WAJUE WABUNGE WALIO NA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI, hawa hapa,!!!!!
1. Jeremiah Solomon Sumari Nne/ IV Arumeru Mashariki, Arusha
Halafu hiyo headingi yako, "vihiyo....."
Unaelewa ni watanzania wangapi wenye elimu ya msingi na sekondari?? Kwa hiyo kwa mwono wako 80% ya Wa Tz ni vihiyo??
wacha kutukana Watanzania ndugu
WAJUE WABUNGE WALIO NA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI, hawa hapa,!!!!!
Elimu ya msingi ( CCM )
1. Deo Kasenyenda Sanga ( JAH PEOPLE) -Njombe kaskazini, Iringa
2. Lameck Okambo Airo - Rorya Mara
3. Luckson ndaga Mwanjale - kujiendeleza-Mbeya vijijini ( Sijui kamaliza msingi au? )
4. hussein Nassor Amar - Nyang'wale , Mwanza
5. stephen Ngonyani - Korogwe Vijijini, Tanga
6. Lussinde Livingstone J. - Mtera, Dodoma
7. Aeshi Khalfan Hilaly - Sumbawanga mjini, Rukwa
Elimu ya Sekondari. Kidato cha Nne
1. Jeremiah Solomon Sumari Nne/ IV Arumeru Mashariki, Arusha
2. Michael Lekule Laizer Nne/ IV Longido, Arusha
3. Hassasn Mohamed Mgimwa Nne/ IV Mufindi Kaskazini, Iringa
4. Assumpter Nshuju Mshama Nne/ IV Nkenge, Kagera
5. Kifu Gulam H. Shabani Nne/IV Kigoma Kusini, Kigoma
6. Jitu Vrajil Soni Nne/IV Babati Vijijini, Manyara
7. Aziz Mohamed ABOOD Nne / IV Morogoro mjini, Morogoro
8. SHABIBY Ahmed Mabukhut Nne/ IV Gairo, Morogoro
9. Innocent Kalogeris Nne/ IV Morogoro kuisini, Morogoro
10.Abdulsalaam uleiman Sas Nne/ IV Mikumi, Morogoro
11. Abdul Rajabu Mteketa Nne/ IV Kilombero, Morogoro
12. Murji Hasnain Mohamedi Nne/ IV Mtwara Mjini, Mtwara
13. Dunstan daniel Mkapa Nne/ IV Nanyumbu, Mtwara
14. Richard Mganga Ndasa Tatu/ III Sumve, Mwanza
15. Mtutura Abdallah Mtutura Nne/I V Tunduru kusini, Ruvuma
16. Ismail Aden Rage Nne/ IV Tabora, Tabora
17. Said Juma Nkumba Nne/ IV Sikonge, Tabora
18. Sumar Shaffin Mamlo Nne/ IV Tabora kaskazini, Tabora
19. Henry Daffa Shekifu Nne/ IV Lushoto, Tanga
20. Brig. Gen Hassan Ngwilizi Nne/ IV Mlalo, Tanga
21. Idd Mohamed Azzan Nne/ IV Kinondoni, Dar es Salaam
22. Mussa Azzan Zungu Chuo cha anga..!!!?? Ilala, Dar-es-Salaam
23. Mtemvu Abbas Zuberi Nne/IV Temeke, Dar-es-Salaam
24. Faith M. Mitambo Nne/ IV Liwale, Lindi
25. Mohamedi Abdulazizi Nne/ IV Lindi Mjini, Lindi - Hakupita
26. Abdulkarim E. Shaha Nne/ IV Mafia, Pwani
27. Malocha Aloyce Ignace Nne/ IV Kwela, Rukwa
28. Ally Mohd Kessy Nne/ IV Nkasi kaskazini, Rukwa
29. Deusderius Mipata Nne/ IV Nkasi kusini, Rukwa
30. Nchambi Seleman Massoud Nne/ IV Kishapu, Shinyanga
31. James Daudi Lembeli Nne/ IV Kahama, Shinyanga
32. Ahmed Ally Salum Nne / IV Solwa, Shinyanga
33. Christopher Ole Sendeka Nne/IV Simanjiro, Manyara
34. Kisena Robert simon Nne/ IV Maswa Magharibi, Shinyanga
35. Sebastian simon Kapufi Sita / VI Mpanda kati, Rukwa
36. Bwanausi dismas Jerome Sita/ VI Lulindi, Mtwara
37. Dickson Modestus Kilufi Sita/ VI Mbarali, Mbeya
Hao wenye nyekundu wote ni wahitimu wa Seminary ya Kipalapala
Mkuu sikubaliani na wewe. j sumari ni naibu waziri wa fedha anawezakua frm iv kweli?
Mgimwa alikua Bosi mkubwa BOT na ana PhD kutoka chuo cha BOT Mwanza. CV yake nimeiona.
Rage kitaluma ni mhasibu na inasemekana ana CPA sasa hiyo frm Iv imetoka wapi mkuu?
Anayo ya UDSM huyo aliyesema ana elimu ya form six tu kakosea!Nilimsikia mtu anasema alikuwa rais UDSM, sina history yake lakini but its good to know. Wadau hivi ni kweli Mnyika hana degree?
Na hapo je?WAJUE WABUNGE WALIO NA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI, hawa hapa,!!!!!
Elimu ya msingi ( CCM )
1. Deo Kasenyenda Sanga ( JAH PEOPLE) -Njombe kaskazini, Iringa
2. Lameck Okambo Airo - Rorya Mara
3. Luckson ndaga Mwanjale - kujiendeleza-Mbeya vijijini ( Sijui kamaliza msingi au? )
4. hussein Nassor Amar - Nyang'wale , Mwanza
5. stephen Ngonyani - Korogwe Vijijini, Tanga
6. Lussinde Livingstone J. - Mtera, Dodoma
7. Aeshi Khalfan Hilaly - Sumbawanga mjini, Rukwa
Elimu ya Sekondari. Kidato cha Nne
1. Jeremiah Solomon Sumari Nne/ IV Arumeru Mashariki, Arusha
2. Michael Lekule Laizer Nne/ IV Longido, Arusha
3. Hassasn Mohamed Mgimwa Nne/ IV Mufindi Kaskazini, Iringa
4. Assumpter Nshuju Mshama Nne/ IV Nkenge, Kagera
5. Kifu Gulam H. Shabani Nne/IV Kigoma Kusini, Kigoma
6. Jitu Vrajil Soni Nne/IV Babati Vijijini, Manyara
7. Aziz Mohamed ABOOD Nne / IV Morogoro mjini, Morogoro
8. SHABIBY Ahmed Mabukhut Nne/ IV Gairo, Morogoro
9. Innocent Kalogeris Nne/ IV Morogoro kuisini, Morogoro
10.Abdulsalaam uleiman Sas Nne/ IV Mikumi, Morogoro
11. Abdul Rajabu Mteketa Nne/ IV Kilombero, Morogoro
12. Murji Hasnain Mohamedi Nne/ IV Mtwara Mjini, Mtwara
13. Dunstan daniel Mkapa Nne/ IV Nanyumbu, Mtwara
14. Richard Mganga Ndasa Tatu/ III Sumve, Mwanza
15. Mtutura Abdallah Mtutura Nne/I V Tunduru kusini, Ruvuma
16. Ismail Aden Rage Nne/ IV Tabora, Tabora
17. Said Juma Nkumba Nne/ IV Sikonge, Tabora
18. Sumar Shaffin Mamlo Nne/ IV Tabora kaskazini, Tabora
19. Henry Daffa Shekifu Nne/ IV Lushoto, Tanga
20. Brig. Gen Hassan Ngwilizi Nne/ IV Mlalo, Tanga
21. Idd Mohamed Azzan Nne/ IV Kinondoni, Dar es Salaam
22. Mussa Azzan Zungu Chuo cha anga..!!!?? Ilala, Dar-es-Salaam
23. Mtemvu Abbas Zuberi Nne/IV Temeke, Dar-es-Salaam
24. Faith M. Mitambo Nne/ IV Liwale, Lindi
25. Mohamedi Abdulazizi Nne/ IV Lindi Mjini, Lindi - Hakupita
26. Abdulkarim E. Shaha Nne/ IV Mafia, Pwani
27. Malocha Aloyce Ignace Nne/ IV Kwela, Rukwa
28. Ally Mohd Kessy Nne/ IV Nkasi kaskazini, Rukwa
29. Deusderius Mipata Nne/ IV Nkasi kusini, Rukwa
30. Nchambi Seleman Massoud Nne/ IV Kishapu, Shinyanga
31. James Daudi Lembeli Nne/ IV Kahama, Shinyanga
32. Ahmed Ally Salum Nne / IV Solwa, Shinyanga
33. Christopher Ole Sendeka Nne/IV Simanjiro, Manyara
34. Kisena Robert simon Nne/ IV Maswa Magharibi, Shinyanga
35. Sebastian simon Kapufi Sita / VI Mpanda kati, Rukwa
36. Bwanausi dismas Jerome Sita/ VI Lulindi, Mtwara
37. Dickson Modestus Kilufi Sita/ VI Mbarali, Mbeya
38. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
Asili ya hiyo slang ni hiyo, but immediately hilo has been used kumaanisha mtu mwenye elimu hafifu (maamuma) lakini akijikweza ktk social pyramid.Actually Kihiyo ni mtu anayefoji cheti, hawa mpaka sasa tuhuma zao ni kwamba wana elimu ndogo, kwa hiyo sifa ya uKihiyo hawana, watafutie jina lingine.
Kama asilimia 16.7% ya Wabunge ni darasa la saba na form IV basi hii ni nchi ya ajabu kweli kweli. Ndio maana walikuwa wakiambiwa elimu compulsory itakuwa form IV walibisha . Umaskini mtupu. Agrrrrr.