Wajue kina kaka wa Kinigeria wanaotikisa ktk ulimwengu wa movie-Nollwood

Mwanaume wa pouda anakera sana kwakweli....ndio wale vichomi wa jana ulikuwa unawazungumzia nini FL1?

hapana wale niliokuwa nawazungumzia ni wale wako tayari kuacha family zao kwa starehe ya muda ..DR ICU
 
A Masters Degree holder in International Law and Diplomacy from the University of Lagos

Huyu ananogesha sana movie za Nigeria, sura yake, macho na mdomo anaqualify kabisa kwenye uigizaji hasa akiigiza ana hofu, playboy,kusalitiwa n.k

This is Tony Umez, baba wa watoto watatu ndani ya ndoa ya miaka 12.
UMEZ.jpg

umez2.gif

default.jpg

I repeat I am writing this so that we Tanzania graduate we should change our mind, kazi sio ofisini tu kama tulivyolelewa na kuambiwa na wazazi wetu, I know many waigizaji ambao leo ni wasomi we can do thia na kuitangaza nchi yetu na utamaduni wetu kupitia uigizaji, cheki elimu ya jamaa na vitu anavyofanya,
 
Huyu Tony akiigizaga uzuzu ni kama zuzu kweli, kwa kweli hawa watu wanajua kuigiza.
 
Desmond Eliott na Richard Mofe Damijo nawakubali

I secodn you ...Nimekutana na Desmond na Van Vicker walivyokuwa huku in person this month they are so down to earth.....Desmond is crazy and fun to be around!...Van Vicker is owesome man!.....kwenye picha mbaya in person OMG! he is sooooo cute.....
 
pat atta nammind sana, angekuwa bongo!

aha ha! ha! pole dada yangu ndiyo masiha, ila Bongo kama yeye wako wengi sana,

nikisema mimi zaidi yake hutaamini, japo nimeshaoa! anyway muangalie tena katika matukio mbali mbali

I really admire his role in movies, ila anaonekana hataki sana kujiingiza kwenye movie industry kwa miguu yote

yeye ni mwanamuziki, na role model wake ni Bob Marley

page.jpg
 
A Masters Degree holder in International Law and Diplomacy from the University of Lagos

Huyu ananogesha sana movie za Nigeria, sura yake, macho na mdomo anaqualify kabisa kwenye uigizaji hasa akiigiza ana hofu, playboy,kusalitiwa n.k

This is Tony Umez, baba wa watoto watatu ndani ya ndoa ya miaka 12.
UMEZ.jpg

umez2.gif

default.jpg

I repeat I am writing this so that we Tanzania graduate we should change our mind, kazi sio ofisini tu kama tulivyolelewa na kuambiwa na wazazi wetu, I know many waigizaji ambao leo ni wasomi we can do thia na kuitangaza nchi yetu na utamaduni wetu kupitia uigizaji, cheki elimu ya jamaa na vitu anavyofanya,

Ni kweli mkuu, naamini pia kuwa fani hii ikivamiwa na wasomi itasonga mbele sana tofauti na sasa.

Lakini huyu Tony Umez mimi bwana akiigiza mahali kama mtu wa hovyo anakuwa wa ovyo kweli!! mimi hadi namchukia kabisa...anajua sana kuvaa uhalisia.
 
LOL! That is real acting! you become addicted to movies because of characters!
 
UKITAKA KUJUA REAL ENGLISH YA MTAANI YA NIGERIA huyu jamaa atakufundisha!-AMAECHI,

amaechi.jpg

amaechi1.jpg

muonagor1a.JPG
 
attachment.php

Wazee mimi huyu nampenda sana hasa kwenye ile movie yake ya mr . Ibu kuna mmoja aliigiza umofia in london naye ni moto wa kuotea mbali.
 
Ahsante firstlady1 kwa pics... hasa hii ya Ramsey na familia,nilidhani my wife wake ni akina Beyonce vile kumbe yuko simple tuuuu! nimeamini mke ni issue nyingine... hawa tunaouza nao sura maeneo yetu yale utulivu 0 kabisa...
 
Back
Top Bottom