Justus Esiri -Veteran, since 70s kwenye industry, kapiga shule, siasa n.k Again alisomea uhandisi akagraduate na kupiga chini fani akaanza issue zingine,
humjui huyu hujaangalia mvie za Nigeria!
Kuna mzee moja hivi wa vichekesh sijui anaitwa nani namkubali kichizi kuna movie moja aliact tabia za kiafrica ndani ya London naipenda na Taxi driver ni baadhi ya movie za Kinigeria nilizowaho kutazama
Olu Jacobs, mzee anayehisiwa anaongea fluent englis kuliko wote, kwenye fani
hawa nao ni ma-handsome sijui ndo mambo ya mapowder ?
Kafanya kaziTheatre Arts London 70s, ana bachelor of Theatre Arts...nafarijika sana kuangalia movies zake...ana gestures ambazo huwa sizioni kwa wengine, except kwa Harrison Ford.
full podaz hapo.