wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

Nawakubali Wanigeria kwa ubunifu. Watanzania tuko wapi? Bado hatujachelewa lakini
 
ni kweli bwana inasikitisha,sasa ukishaichubua ngozi kwa kemikali na uzee pia haukawii sbb unaiharibu vibaya!
mi ni maji ya kunde lkn sio siri natamani sana kuwa mweusi kabisa kama hivi genevieve inavutia sana.
sasa ukute dada kajikoboa halafu katembea juani halafu katinga bonge la muwigi utachoka!
kuna rafiki yangu mwafrika (sio mTZ) yeye ni mweupe basi kila mara tukikutana na mweusi anasema huyu angekuwa mweupe........, au nguo hii angevaa mweupe.........., huwa ananiudhi sana. sio kwa sababu mimi ni mweusi ila sababu anavyoona weusi ndo wabaya hapa duniani. kuna siku nikamwambia nadhani ungefurahi sana ungezaliwa mzungu, maana hata kuwa mweupe (black) inakupa shida sana, alimind lakini ndo ukweli
 
Kuna mmoja anaitwa Stella Damascus sijui, na mdada mwingine kila siku huwa anapangiwa part za kilokole simjamkariri jina! Wawekeni hapa.

Masaki Kesho utapata Profile yake
Kuna mama mmoja pia huwa anajiita Mama G genaral hii ngoma nzito
Picha zote zitakuja kesho
 
She is good na anaiweza sana position ya kikanisa, hapa bongo sijui ni nani anaiweza hiyo position kiasi hicho. Please tell me
 
kuna rafiki yangu mwafrika (sio mTZ) yeye ni mweupe basi kila mara tukikutana na mweusi anasema huyu angekuwa mweupe........, au nguo hii angevaa mweupe.........., huwa ananiudhi sana. sio kwa sababu mimi ni mweusi ila sababu anavyoona weusi ndo wabaya hapa duniani. kuna siku nikamwambia nadhani ungefurahi sana ungezaliwa mzungu, maana hata kuwa mweupe (black) inakupa shida sana, alimind lakini ndo ukweli

haha huyo nae kwani amekuwa mungu jamani watu wengine wanapenda kuboa wenzao
 
Masaki Kesho utapata Profile yake
Kuna mama mmoja pia huwa anajiita Mama G genaral hii ngoma nzito
Picha zote zitakuja kesho

Yule mlokole mlokole ndiye huyo kwenye picha, anaitwa nani? Tupeni profile yake.
 
Attachments

  • NGOZI.jpg
    NGOZI.jpg
    371.4 KB · Views: 40
kuna rafiki yangu mwafrika (sio mTZ) yeye ni mweupe basi kila mara tukikutana na mweusi anasema huyu angekuwa mweupe........, au nguo hii angevaa mweupe.........., huwa ananiudhi sana. sio kwa sababu mimi ni mweusi ila sababu anavyoona weusi ndo wabaya hapa duniani. kuna siku nikamwambia nadhani ungefurahi sana ungezaliwa mzungu, maana hata kuwa mweupe (black) inakupa shida sana, alimind lakini ndo ukweli
ana matatio ya kisaikolojia!hata wamarekani weusi wapo niliona siku kwa tyra banks show,hawajipendi eti kisa ni weusi,kinachouma ukiwacheki ni wazuri ajabu lkn wanasema eti wakijitazama ktk kioo hawaoni kama ni wazuri,wengine wanachubua hadi watoto wadogo mpendwa!
too sad!
 
tetetete Cheusimangala unaweza kuta mie ndo omotola ..hiki Kiswahili ni Lugha ya kujifunza tu ..ila ni mrembo sisi ukizaaa vitoto vitatu unachoka Kongoroka kwisha habari yako

Nitajimake hata nikifikisa 60 kwa kudara za mungu:)

no wonder u r my bestlady
hata anivesari yangu ya miaka hamsini ya ndoa utakuwa matroni tena.....
 
haha huyo nae kwani amekuwa mungu jamani watu wengine wanapenda kuboa wenzao
Yaani kama ningekuwa siipendi rangu yangu naona ningenyanyasika sana. kwa bahati nzuri akianza kusagia watu weusi anakuta mimi nina amani tu
 
ana matatio ya kisaikolojia!hata wamarekani weusi wapo niliona siku kwa tyra banks show,hawajipendi eti kisa ni weusi,kinachouma ukiwacheki ni wazuri ajabu lkn wanasema eti wakijitazama ktk kioo hawaoni kama ni wazuri,wengine wanachubua hadi watoto wadogo mpendwa!
too sad!
sasa hiyo kazi, hado watoto! wanajuaje mbele ya safari hao watoto wakipenda rangi yao ya asili itakuwaje? huku ni kumkosoa Mungu. Kuna binamu yangu alikuwa mweusi kushinda mimi wakati tunakuwa, siku hizi mweupe sasa huwa namtaniaga mwenzangu kulikoni, mbona umenipita rangi? basi anaona aibu tu
 
Ngoja kesho zamu ya wale mahandsome wa kinigeria kuna dada mmoja hapa JF huwa anachanganyikiwa akimuona nani ..anajijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom