Mbona wakati mwingine wanaact kama hausigelis na wanaonekana bomba tu? ni miili yao tu bana.Kwenye sifa hebu tuwape sifa zao.Mkuu hata hawa hapa kwetu mbona wanatudanganya sana na make up zao hasa zile wanaita foundation powder? Sasa wewe mshtukize kwao asubuhi hajaoga na kuanza kupaka hiyo lukaria yake ndipo hutamtambua kabisa. Sana sana utabaki kusema namtafuta fulani, kumbe yeye ndiye fulani mwenyewe!!! Natural is always the case!!! Articial hizo ni temporary and are damaging, they are skin aging agent!!! Mwishowe unaanza tena kupambana na akina Loreal anti-aging creams!! Yote ya nini?
Sasa huyo Omotola je???! nilisoma habari zake kama miaka 5 imepita alikuwa na 40 hivi.Lakin ukimuona bado binti kabisa halafu sahizi ndo amepungua zaidi.
Yani wakitembea na Cheusi mangala,cheusi anaamkiwa na yule anapewa mambo anti!
hahaa nimeisikia shosti,wifi yako mchokozi!yaani bestlady anaonekana mbichi kabisa.....
all in all hawa wadada wanajua kuigiza bana....na wana fit chaacters mabali mbali
hahaaaa Cheusi umesikia hiyo....???
ni kweli wanapendeza na kuvutia hasa!
Hapo mkuu Sikonge sijakubaliana nawewe.Wanaija wanajituma sana kwenye vitu vingi.Huwezi fananisha elimu ya kibongo na naijeria.Tena nasikia ni wachapakazi sana hata wakiwa nje ya nchi.Na huko marekani nasikia ni matajiri sana ukifananisha na waafrika wengine.Hizi elimu za Nigeria, ni kama kumaliza secondary za Lowassa.
My bratha, can u boro mi a buket ohh!!!!!
Elimu ya chuo kikuu, mhh!!!!!!!
Ila kuna wengine wameshiba hao? Sijui wamechanganya na ka Uzungu?
Sasa huyo Omotola je???! nilisoma habari zake kama miaka 5 imepita alikuwa na 40 hivi.Lakin ukimuona bado binti kabisa halafu sahizi ndo amepungua zaidi.
Yani wakitembea na Cheusi mangala,cheusi anaamkiwa na yule anapewa mambo anti!
Dont you know Charity?Mbona wakati mwingine wanaact kama hausigelis na wanaonekana bomba tu? ni miili yao tu bana.Kwenye sifa hebu tuwape sifa zao.
Hizi elimu za Nigeria, ni kama kumaliza secondary za Lowassa.
My bratha, can u boro mi a buket ohh!!!!!
Elimu ya chuo kikuu, mhh!!!!!!!
Ila kuna wengine wameshiba hao? Sijui wamechanganya na ka Uzungu?
Ni kweli Charity hawa wadada ni warembo na wanaenda na wakati kila postions wanayowekwa inafiti kabisaMbona wakati mwingine wanaact kama hausigelis na wanaonekana bomba tu? ni miili yao tu bana.Kwenye sifa hebu tuwape sifa zao.
Hapo mkuu Sikonge sijakubaliana nawewe.Wanaija wanajituma sana kwenye vitu vingi.Huwezi fananisha elimu ya kibongo na naijeria.Tena nasikia ni wachapakazi sana hata wakiwa nje ya nchi.Na huko marekani nasikia ni matajiri sana ukifananisha na waafrika wengine.
Lafudhi yao sio kigezo cha elimu duni.
kwanza watapigwa danadana na mapedeshee mpaka basi,yaani hawa wanaigiza ili apate soko basi hakuna lingine.hawa wa kwetu mama wengi wao wakishatokea katika gazeti la uwazi mara 2 tu basi wanajiona wameshafika kileleni hawataki tena maswala ya elimu!
Nipeni na profile ya Mr.Ibu.....
Ok.Na kuhusu elimu je? nayo ya kuungaunga kama TZ?Hahaaa, wanajituma ni sawa. Wachapa kazi nayo ni sawa. Ila kazi gani inawapa utajiri, hapo ndiyo kasheshe inaanza.
Kila Mnigeria hujisifu alivyo tajiri. Atakuambia jinsi jumba lake Nigeria lilivyokubwa kama Ikulu ya Tanzania. Atakuambia gari analotembelea. Atakuambia hiki na kile. Ikipita siku mbili tatu unasikia walimdaka huko Uholanzi.
Wengi wao ni Pusher na Minyororo yao shingoni na kutembelea magari ya bei mbaya. Ukikutana na Mnigeria, basi kengele ya JIHADHARI kichwani lazima ianze kufanya kazi. Kuna wachapa kazi kweli na waaminifu. Ila Hao matajiri, wengi ukiwaambia wakupe karatasi za kodi kuonyesha walipofikia hapo walipanda vipi, basi utashangaa akisema anaenda 9geria kuchukua mapepa, asirudi tena.
shem jamani si lafudhi yao tu hiyoo
ila ni kweli elimu yao ya juu huwa ina utata...wafoji sana vyeti i hear (hearsay tu)
bottom line ni kwamba sanaa yao iko poa......
huyu nae ana uzuri gani???id rather vote for you FL 1