Wajua? Tunatumia 300bil kukarabati barabara na 200bil kukarabati reli

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Kwa Mwalimu wangu dkt. Mwakyembe, utakumbukwa kwa Jambo moja tu. RELI. ‘make our Railway system work'. Hutakuwa na ‘legacy' nyingine isipokuwa Reli maaana Bandari bila Reli ni sawa na Bure.

Tunatumia zaidi ya tshs 300bn kwa mwaka kukarabati barabara wakati tunahitaji tshs 200bn kukarabati Reli iweze kusafirisha mzigo kwenda Bandarini na kutoka Bandarini.

Source: Zitto

Kumbuka kwa reli ikakarabatiwa uchukua mda kuharibika unlike barabara. Mwakyembe you can see some savings apo ya 100Billions kwa mwaka,bila shaka ushapaona pa kuanzia.

Go Mwakyembe go for it
 
Back
Top Bottom