Mkirua JF-Expert Member Sep 9, 2010 5,647 2,498 Mar 14, 2012 #21 Katavi said: Yupo kikazi zaidi, atakuwa alidai.......wewe usingedai?? Click to expand... Yataka moyo mkuu maana unawezajikuta unasamehe.....lo...
Katavi said: Yupo kikazi zaidi, atakuwa alidai.......wewe usingedai?? Click to expand... Yataka moyo mkuu maana unawezajikuta unasamehe.....lo...
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Mar 14, 2012 Thread starter #22 MadameX said: Ukiisha msimu kazi kwishney watu wanarudi gheto. Sasa inakuwaje kwa kibonge kama mimi? Click to expand... Unabebwa tu, mbele ya wabebaji wewe sio bonge..
MadameX said: Ukiisha msimu kazi kwishney watu wanarudi gheto. Sasa inakuwaje kwa kibonge kama mimi? Click to expand... Unabebwa tu, mbele ya wabebaji wewe sio bonge..
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Jan 2, 2012 883 167 Mar 14, 2012 #23 kazi hii inafaa sehem zenye mvua sana kwa jua hili la bongo utalala na njaa
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Mar 14, 2012 #24 Sasa mbona kamfunua funua hivyo?