Wajasiriali mali maarufu wa Tanzania/A.Mashariki ni wapi?

Jimmy19823

Member
Jun 9, 2009
28
8
Habari zebu wana JF,

Ninaomba msaada wenu, ukiacha wajasiriamali maarufu kama R.A Mengi na Said Salim Bakhresa, ni wajasiriamali wengine wapi maarufu wenye biashara zenye ushindani hapa Tanzania au hata Africa mmashariki kwa ujumla?

nawasilisha
 
Ridhiwani K
Mr & Mrs Benjamin Mkapa
Rostam Aziz
Lowasa
Iddi Simba
Yule mama wa BSS
Mimi
etc
 
Nitakupa vijana ambao hata mie wananivutia. Uwe umewahi kuwasikia au bado; nakuhakikishia ni wajasiriamali haswaaa!

Maxence Melo & McKee Mushi JF
Paul Mashauri EASB, NATOL, 24HRS Media Technologies
Modesta Lilian Mahiga Professional Approach Ltd
Selestine Maleva Hill Blocks/Mineral Bits Ltd
Asifiwe Malila Jamii Farms
Joe Kusaga Clouds Media
 
Back
Top Bottom