Wajanja tushajua tumechaguliwa wapi na tcu.

**** wewe sasa unataka nisome chuo cha baba ako ivi chuo gani kinatoa wahandisi wazuri zaidi ya Ud. **** kabisa wewe. Yawezekana ulifeli thats why unaichukia Ud.

Ivi kumbe hawa wahandisi wa ki-china wanao pewa hizi "tenda" za ujenzi wa barabara na magorofa nao wamepita CoET pale UD?? ivi lile gorofa lililo poromoka lilikua linajengwa na wahandisi gani vile??
 
from wat i know,tz kuna waandisi mabosi(wasmamizi wa miradi ya halmashauri 2) lkn waandisi labda wakujenga mtaani....huku
 
Ivi kumbe hawa wahandisi wa ki-china wanao pewa hizi "tenda" za ujenzi wa barabara na magorofa nao wamepita CoET pale UD?? ivi lile gorofa lililo poromoka lilikua linajengwa na wahandisi gani vile??

from wat i know,tz kuna waandisi mabosi(wasmamizi wa miradi ya halmashauri 2) lkn waandisi labda wakujenga mtaani....huku.kwanza tz hakuna mwandisi hata 1,,,,
 
**** wewe sasa unataka nisome chuo cha baba ako ivi chuo gani kinatoa wahandisi wazuri zaidi ya Ud. **** kabisa wewe. Yawezekana ulifeli thats why unaichukia Ud.

Mods huyu mfungie, kwenye alama za nyota anaashiria matusi. hafai na huyo ndiye anakwenda kupata mkopo awe mtaalamu na raia mwema. Mods futa kabisa huyo mtoto, anaanza vibaya!
 
Aliyekwambia hayo ni matusi nani? Kama nimetukana hapo nakubali kupigwa ban, lakini kwakua hakuna tusi hapo basi ujue ban haipo. Mods chunguzeni kama kuna tusi hapo na mkumbuke hzo nyota nimeziweka mimi sio system.
 
Ha ha ha.... Acheni wivu bhana, nyie km mlisoma biashara,mapishi,etc.. achen kukashifu taaluma za watu, engineerz wapo na wanapiga mzigo ile mbaya... Et maghorofa yamedondoka, unazungumzia ya mwaka upi?? Af usikariri, engineer sio lazima awe civil eng(waujenzi) wapo engineerz wa aina mbalimbali e.g telecom, mining eng, mechanical eng etc... I do hope hamta kariri tena!
 
biashara umesema??
 
Be straight to the point, please come back again
 
**** wewe sasa unataka nisome chuo cha baba ako ivi chuo gani kinatoa wahandisi wazuri zaidi ya Ud. **** kabisa wewe. Yawezekana ulifeli thats why unaichukia Ud.
nimepiga PCM nina 1.8 ila cjachagua udsm..point yangu hapa ni hii..
UD ni pazuri tena sana ila c pazur kama DIT au MIST!
ud sio chuo pekee kinachotoa engineering hapa tz viko ving tena vizur pia!!
kwa hiyo usitawaliwe nafikra na kuanza kuwa emotional!
kwa hiyo kijana ud ni pazur ila sio ud tu..viko vingine vizur tena wenda zaid ya ud hasa kwenye haya maswala ya engineering!!!
LABDA NIKUPE SWAL NI KWANINI UMESEMA UD NI CHUO KIZURI KUSHINDA VINGINE(KAMA MIST,DIT,ST JOSEPH N.K)??
JE MTU KUFEL NDO KIGEZO CHA KUCHUKIA CHUO?? KAMA NI HIVYO MBONA MIMI NIFAUL AFU UD SIIPI PREFERENCE???
NIJIB TUENDELEE....
 
Jamani,narudia tena kusema kwa msisitizo,kama last week kuna moja ya kozi yako no matter ilikua 1st choice au last choice ilibadilika na kuwa not eligible basi elewa ndio umechaguliwa hapo.kama hakuna changes yoyote iliyotokea,basi get ready for 2nd round of application.asanteni kwa ushirikiano wenu.
NB:Kulikua na system error,badala ya system kuandika neno selected yenyewe ikaandika not eligible,nadhani wote mnajua ni jnsi gani nchi yetu tulivo nyuma kiteknolojia,so neno not eligible lilitumika kama kumark watu waliochaguliwa.
 
Mkuu LORDVILLE 1, course ninayotaka huko MIST na DIT haipo 2, Brother angu kamaliza UD Mining mwaka jana kaniambia pale kwa upande wa vifaa vya practical ni full balaa kuhusu MIST nakuomba usibwabwaje kila mara naenda pale kuna wanangu wanapiga diploma pale wamenipa black and white. Labda DIT. Pia umekubali Ud ni chuo poa sasa sijui unatakaje. Labda anayejua atusaidie
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom