Wajameni nakosa raha humu JF

Lizzy bana acha kugonga pentagon live.

Nimecheka (Shemeji yako siku hizi ana vituko kweli eti ananiita Baby nimecheka sana jana na uzee wote huu nimekuwa Baby)

Heheheh nimemgundua!!!Maana wengine ametaja majina tu ila DA akaambiwa mgunduzi ili aulize kisa!!!

( Hahahahhahaah!!!Kweli shem mjanja....ndivyo anavyokudanganya ehhhh???Embu leo muulize ubaby wako ulipo!!! )
 
Usini PM bibie ingekuwa wakati ule naile invatara yako ya zamani hapo ingekuwa sawa laknini sasa naogopa kurudisha uliko toka

Unaona sasa umejileta mwenyewe kwenye kumi na nane nishakujua habari za Arusha wazima wote
 
Heheheh nimemgundua!!!Maana wengine ametaja majina tu ila DA akaambiwa mgunduzi ili aulize kisa!!!

( Hahahahhahaah!!!Kweli shem mjanja....ndivyo anavyokudanganya ehhhh???Embu leo muulize ubaby wako ulipo!!! )


Unajua tena alivyo mjanja. Kweli Kasopa hata mimi nimemshitukia aisee
 
we mkaree

umenikumbusha rapa wa FM academia aisee
wapi mama switii
wapi ndama mutoto ya ngombe
wapi papa msofe
wapi mutu ya mayi kitokololo

khe khe kheheheeeeeeeeeeeee
Ahaaaaa ahaaaa ahaaaa MTM umegeuka rapa wa bendi ghafla:lol::lol:
 
Kweli hata mimi sijamuona kitambo mama michelle... hopefully yuko sawa au ndo mzee kakamatia hataki hata apumue kwa kuja kupunguza stress jamvini ha ha haaa :lol::lol:!!!
 
Wapi Mamaa Asha baraka, na Kinondoni makaburini
Wapi Manka Mushi, na Mwananyamala!
Wapi PJ, na Buguruni kwa Munyamani!
 
we mkaree

umenikumbusha rapa wa FM academia aisee
wapi mama switii
wapi ndama mutoto ya ngombe
wapi papa msofe
wapi mutu ya mayi kitokololo

khe khe kheheheeeeeeeeeeeee
muzee naona fm academia imekukaa kweli post ya pili naona una rap ki fm fm ngoja nikuongezee
kitokololo muzuri sana fm nambari one
 
Wapi Mamaa Asha baraka, na Kinondoni makaburini
Wapi Manka Mushi, na Mwananyamala!
Wapi PJ, na Buguruni kwa Munyamani!
khe khe heheheeeeeeeeeee

wapi bob minyusi na kati ya sinza
papaa kiduku na ngarenaro
baba dula one pale pongweeee
na mama mariame wa bumbwini zenj

JF weweeeeeeeeeeeeeee
mutu yamekua yanarusha hewani kama papaa kishuzi na kati ya chalinze
 
khe khe heheheeeeeeeeeee

wapi bob minyusi na kati ya sinza
papaa kiduku na ngarenaro
baba dula one pale pongweeee
na mama mariame wa bumbwini zenj

JF weweeeeeeeeeeeeeee
mutu yamekua yanarusha hewani kama papaa kishuzi na kati ya chalinze
:lol::lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom