WAJALUO kulala na wakweze, kwanini? siri yake ni nini jamani?

Naomba niwasaidie kuhusu hii mada kwani mimi ni mjaluo!

Kabla sijaendelea naomba kutoa angalizo;
Watz wengi hawako makini na hawapendi kufanya tafiti kuhusu mambo ya msingi!

Huyu bwana aliyeandika hii thread hawajui vizuri wajaluo!
Kwa mila na desturi za wajaluo si rahisi hata kwa baba mkwe kufikiria kumtongoza mkwewe! Kwa mila za wajaluo watu hawa hueshimiana hata kufikia hatua za kuogopana!

Na pia wajaluo huwa hawakeketi wanawake,hiyo ni mila ya WAKURYA ila sishangai kwa sababu inteligencia ya watanzania walio wengi ni ndogo sana utakuta mtu mzima tena anajiita msomi wa University lakini anataja mikoa atataja mkoa wa MUSOMA,au atafikiri kuwa watu wote wanaotokea Mara ni KABILA la WAKURYA!

Ni aibu mtu kukurupuka na topic usiyoielewa vizuri!
Aliye toa thread hii inaonekana ni MBEAAAA,kwani haiwezekani mtu umelala ndani kumbe unapiga chabo kupitia masikio yake .

Kingine inaonekana huyo demu aliyeenda kijijini ni WARU WARU,tatizo la kuokota mademu CORNER BAR mnapeleka vijijini kuwatambulisha kwa wazazi!
Hawawezi kutofautisha kati ya BABA na MTOTO! wako kibiashara zaidi!

KUWENI MAKINI ,FANYENI UTAFITI

Nimeuliza wajalu rafiki zangu wa karibu sana wanaozidi 10 ( Jaluos both from Kenya & Tz) wote wamekiri hii habari ya baba na mwana ni kweli kabisaaa.
Usitusingizie eti Wa-Tz wengi intelligence yetu ni ndogo. May be wewe hapo!
Kuhusu mtu kuwa na university degree na akasema Musoma ni mkoa sio big deal kwani hata ukienda Harvard waliowengi wanasema Africa ni nchi na wengine wanasema Alaska iko Asia!!
Punguza jazba na kubali ukweli
 
:) jaluo they are very proud,utasikia jaluo anajisifu, Mimi ni Jhaluo wa Asili na Tabia :)
ni watani zangu
 
Wahaya ndio wenye tabia ya baba mkwe kumtafuna mke wa mwanae na ndio maana UKIMWI ulikuwa ukiingia ndani ya familia unaia nyumba nzima!
 
mkuu nambie mambo niaje DJ Babu? tumemiss midundo yako mkuuuuuuuuuuuuu

nambie mjita wangu magulumangu
aaah huyu mjita sijui katoka wapi nahizi issue za kikuda
kama alishawahi kuona wakwe waliobanduana hao watakuwa na minyegelesho yao
sasa huyu msela wangu humu anajumlisha majita wote wa kijaluo.
sio kivile kabisa yaani!
 
Si dhani kama jaluo wanakeketa, mi sijaona., PILI: wakurya wako proud na kukeketa na siyo kweli kuwa hawajisikii kufanya tendo la ndoa- mbona wako kibao wanatoka nje ya ndoa?.
 
mtoa mada unapotosha sana. kwanza wajaluo kimila hawatahiri wala kukeketa, hapo umesema uwongo. Maadilli yamemomonyoka kila sehemu so kukuta baba mmoja asiyekuwa na maadili kamtaka mkwe wake usijeanza kusema kabila fulani lina tabia hizo. Kingine acha kutega antena kwenye mazungumzo ya wanawake hizo sio tabia za kiume kabisa.
 
jamani, naomba kutoboa jibu, samahani kwa wajaluo walioko humu ndani.

Ninaye rafiki wa kike ambaye niko karibu sana naye, na ameolewa kwa mjaluo. Mwaka jana alienda kusalimia wakwe, babamkwe wake akamwambia kuwa "kiuno chake kizuri", yeye alipomwambia mmewe, jamaa akasema awe makini wazee wa huko huwa hawajatulia...kwasababu yeye ni msukuma, alipata shida kidogo itakuwaje babamkwe akamwambia neno hilo...sitanii, hii story ni ya kweli. Ikabidi uchunguzi ufanyike, akagundua kuwa, kume kabila hilo babamkwe huwa wanalala na wake za watoto wao walau mara moja ati ili kuunganisha kwenye ukoo.

Alimpressure jamaa akarudi haraka dar. Aliponiambia (don't ask me kwanini yuko karibu nami na kwanini ananiambia), mimi sikuamini. Nikamwambia uyo mzee alilewa labda au hana akili timamu.

Jana, nimekaa sikwenda kazini, nikalala. Mama jirani mkurya na mkewangu wakawa wamekaa nje bila yeye kujua niko ndani nimelala...wakawa wanapiga story, bahati mbaya alijiachia nikawanasikiliza story zao zote...ilikuwa hivi...

Alijieleza kuwa yeye mkurya, lazima kwao wakekete, wife kamwuliza kwahiyo hata wewe umekeketwa, akasema ndiyo! Akamwambia hivi hamu mnajisikiaje? Akasema, sijisikii hamu, naweza kukaa muda mrefu sana bila kufanya hilo tendo kwanza mi nawashangaa hata wanawake malaya...mimi huwa sijisikii sana...hata nikingiliwa, huwa sifurahii sana. Wife kamwambia duh,

walipofika kwenye issue ya wajaluo, mama kasisitiza kuwa, mwanamke wa kijaluo lazima akeketwe, ndio maana huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe kwasababu huwa tunaona aibu kwa makabila mengine, na pia, hata kama mwanaume ataoa kabila lingine, akipata mimba akaenda kijijini, wanapomzalisha huwa wanafyeka kisimii bila yeye kujua...akafika kwenye issue sasa, halafu wajaluo wachafu sana, baba mkwe lazima alale na mke wa mtoto wake, kama hatafanya hivyo atamchukia sana mtoto wake wa kiume...hata mke/mkwe huwa anaweka mazingira ya binti kulalwa na mmewe/mkwe....
1. Wanakeketa
2. Kama hujakeketwa wa kabila lingine, watademand ukiw ana mimba
ukajifungulie kwao, ukienda tu, wakati wa kujifungua
wanafyeka kisimii....utakujastuka una kidonda.
3. Wakwe wanalala na wake za watoto wao.
4. Kaka akisafiri, mdogo anaweza kuhamia kwa mke wa kaka hadi arudi..its normal
5. Wanaoana wao kwa wao.
6. Wanaoana wanawake kwa wanawake, wanachagua dume la mbegu alafu anamzalisha yule mdada, wakurya pia...
issue inayodisturb hapa ni, kulala na wakwe, kwanini wanafanya hivyo?



sorry mr or madam whatever u are,,,,, unaongelea wajaluo au wakurya?

bcoz unaongelea tabia za wakurya halafu unasema wajaluo.....

first of all hakuna kabila linaitwa wajaluo ni mazoea ambayo baadaye yamezaa hilo jina,,,, kabila linaitwa waluo... Hiyo ja ni jinsi ambavo waluo wanaitwa watu wa sehemu fulani kama mhaya wao wanasema jahaya,,,,, mkurya wao wanasema jakoria.... Kwa ushahidi tosha search google uone luo tribe ilivyotoka sudan mpaka kuenea sehemu zingine za africa,,,, and yawezekana waluo ndo kabila pekee duniani linalopatikana karibu nchi 6 .



kwanza katika kabila la waluo

1. Kitu ukeketaji au TOHARA ya aina yoyote hakuna kwani hata hao wanaume miaka ya zamani na hata baadhi yao sasa hawatahiriwi
waluo wao wanang`oa meno ya chini tu.

2. We unasema wanaoana wenyewe kwa wenyewe,,,, hili si tabia ya waluo tu ni makabila mengi ambayo wanafanya hivo lakini sasa inapotea baada ya watu kuanza kusambaa.

3. Kwanza tabia ya kujifungulia nyumbani kwa waluo hakuna,,,, mwanamke kama akiolewa nyumbani ni kusalimia.. Na wengine wanazaa mashambani wa kilima,,, si watu wa kwenda kujiangalia nyumbani.

4. Wakwe kulala na wake za watoto zao,,,,,, hiyo ni tabia ya watu wachahche ambayo haiwezi kuwa ndo mila ya kabila fulani,,,,,,maana hata wachaga nao wale wanaoacha wake zao vijijini kwenda kutafuta chapaa mijini ilisemwa sana kuwa wanasaidiwa na wazee wao waliobaki nyumbani kulala na wake zao, kitu ambacho si kweli kwani tabia ya mtu mmopja si mila ya kabila.

5. Mambo ya kaka akisafiri mambo ya kutunga ila kitu kilichopo ni kurithi mke, mila ambayo makabila mengi ya wafugaji wanayo ambayo nayo inapotea.

6.ndiyo wanaoana wao kwa wao si tatizo,,,, ila tabia hii imeshapotea kwani waluo wengi wameoa na kuolewa na makabila mengine.......

7. Tabia ya kuoana wanawake kwa wanawake ipo kwa wakurya ambayo inaitwa nyumba ntobu kwa waluo kitu hicho hakuna,,,,,
 
Jamani, naomba kutoboa jibu, samahani kwa wajaluo walioko humu ndani.

ninaye rafiki wa kike ambaye niko karibu sana naye, na ameolewa kwa mjaluo. mwaka jana alienda kusalimia wakwe, babamkwe wake akamwambia kuwa "kiuno chake kizuri", yeye alipomwambia mmewe, jamaa akasema awe makini wazee wa huko huwa hawajatulia...kwasababu yeye ni msukuma, alipata shida kidogo itakuwaje babamkwe akamwambia neno hilo...sitanii, hii story ni ya kweli. ikabidi uchunguzi ufanyike, akagundua kuwa, kume kabila hilo babamkwe huwa wanalala na wake za watoto wao walau mara moja ati ili kuunganisha kwenye ukoo.

alimpressure jamaa akarudi haraka Dar. aliponiambia (don't ask me kwanini yuko karibu nami na kwanini ananiambia), mimi sikuamini. nikamwambia uyo mzee alilewa labda au hana akili timamu.

jana, nimekaa sikwenda kazini, nikalala. mama jirani mkurya na mkewangu wakawa wamekaa nje bila yeye kujua niko ndani nimelala...wakawa wanapiga story, bahati mbaya alijiachia nikawanasikiliza story zao zote...ilikuwa hivi...

alijieleza kuwa yeye mkurya, lazima kwao wakekete, wife kamwuliza kwahiyo hata wewe umekeketwa, akasema ndiyo! akamwambia hivi hamu mnajisikiaje? akasema, sijisikii hamu, naweza kukaa muda mrefu sana bila kufanya hilo tendo kwanza mi nawashangaa hata wanawake malaya...mimi huwa sijisikii sana...hata nikingiliwa, huwa sifurahii sana. wife kamwambia duh,

walipofika kwenye issue ya wajaluo, mama kasisitiza kuwa, mwanamke wa kijaluo lazima akeketwe, ndio maana huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe kwasababu huwa tunaona aibu kwa makabila mengine, na pia, hata kama mwanaume ataoa kabila lingine, akipata mimba akaenda kijijini, wanapomzalisha huwa wanafyeka kisimii bila yeye kujua...akafika kwenye issue sasa, halafu wajaluo wachafu sana, baba mkwe lazima alale na mke wa mtoto wake, kama hatafanya hivyo atamchukia sana mtoto wake wa kiume...hata mke/mkwe huwa anaweka mazingira ya binti kulalwa na mmewe/mkwe....
1. wanakeketa
2. kama hujakeketwa wa kabila lingine, watademand ukiw ana mimba
ukajifungulie kwao, ukienda tu, wakati wa kujifungua
wanafyeka kisimii....utakujastuka una kidonda.
3. wakwe wanalala na wake za watoto wao.
4. kaka akisafiri, mdogo anaweza kuhamia kwa mke wa kaka hadi arudi..its normal
5. wanaoana wao kwa wao
.
6. wanaoana wanawake kwa wanawake, wanachagua dume la mbegu alafu anamzalisha yule mdada, wakurya pia...
issue inayodisturb hapa ni, kulala na wakwe, kwanini wanafanya hivyo?[/QUOT
kama ningelikuwa msimamizi wako wa reseach uliyoifanya nafsi yangu ingenisuta kama ningekupatia zero kwa sababu alama zako stahili ni less than zero... kwanza kabisa kama akili yako inafanya kazi vizuri tuombe radhi mara 2 cc wakurya na jirani zetu waleluo mbele ya wana jf.
kuoana kwa wanawake wa kikurya unakosema sio sahihi hata kidogo.. huyo anakuwa ni bibi kizee ambaye hukujaliwa kupata mtoto na hawezi kuzaa tena, sasa kama hana mtoto akifikia hatua ya kutoweza kutoka nje mwenyewe nani amsaidie, anatafuta binti ambaye yuko radhi kuishi, anaishi nae kama mama yake kwa maana kwamba anamheshimu, unaposema kuoana una maana wanakuwa malesbian, huyo mama ana stress hakuzaa, hata nyege za kufanya ngono hana atapata wapi muda wa kuwa lesbian???
 
nimeuliza wajalu rafiki zangu wa karibu sana wanaozidi 10 ( jaluos both from kenya & tz) wote wamekiri hii habari ya baba na mwana ni kweli kabisaaa.
Usitusingizie eti wa-tz wengi intelligence yetu ni ndogo. May be wewe hapo!
Kuhusu mtu kuwa na university degree na akasema musoma ni mkoa sio big deal kwani hata ukienda harvard waliowengi wanasema africa ni nchi na wengine wanasema alaska iko asia!!
Punguza jazba na kubali ukweli


we talk with facts in our hands,,,, rafiki zako wanaozidi 10????????
 
Kwa kifupi mtoa maada huyaitendea haki thread hii maana inaonekana unajambo limekusibu.
Mimi ni mluo original ingawa sikung'oa meno kwa kuwa utammaduni huo unapotea kwa sasa. Sijawahi kusikia hayo uloyaandika kuwa ni utamaduni wa kiluo mbali na kung'a meno ya mbele.

Inasikitisha sana unapo generalize issue ulosikia kwa watu wasiozidi 10 na kuifanya ya kikabila. Jaribu kufanya utafiti ili ujue vema tamaduni za hayo makabila ambayo umekuwa na interest nayo (kama siyo mhaya)

Siku nyingine ukisikia tetesi usikurupuke nazo moja kwa moja hadi jamvini bila kuwa na uhakika nazo.

Kama ndo research basi njia ulotumia kukusanya data siyo reliable na findings zako siyo significant.
 
Back
Top Bottom