Waisraeli wameanza kupata hofu juu ya kuondolewa kwa Hosni Mubarak..KWANINI?

Societa Jesuit

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
200
5
Hali imeanza kuwa tete ncini Israeli baada ya maandamano kuendelea nchini Misri na wananchi wengi wakiendelea kumshinikiza Hosni Mubarak kuachia ngazi bila kusubiri kipindi cha kuachia madaraka bila kusubiri muda wa uchaguzi wakiahidi ijumaa ya wiki hii ni mwisho wa kuendelea kuwepo kwa rais huyo madarakakani.

Jambo linalonishangaza wanajamiiF wananchi nchini Israeli wameanza kukaa katika vikundi vikundi na katika tv mbalimbali wakiwa na hofu juu ya kuondolewa kwa Hosni Mubarak je, hawa waisraeli wana jambo gani na hosni mubarak? na hawa wamisri wanaopingana na wamisri wanaotaka kumwondoa Hosni Mubaraki je, ni wamisri kweli?
 
Wa-Israeli wana hofu kwa sababu wanaelewa Mubarak akiondoka, waislamu wenye itikadi kali kama hao muslim brotherhood wanaweza wakachukua serikali ya Misri na security headache ya Israel itaongezeka sababu Misri ni immediate neighbour wao na sasa hao brotherhood wataungana na hizbollah in Lebanon and Syria wakipata msaada kutoka kwa Ahmehidinajad wa Iran. It's a very precarious situation for Israel.
 
Ni kweli kabisa.

Mubarak ni mtu wa kati na alikuwa na nguvu kwa mataifa yanayoizunguka Israel, kuna Palestine, kuna Syria, kuna Lebanon ambazo ni maadui wakubwa wa israel. Bali al-qaeda watasambaa mno na wapalestina watajipanga kutokea egypt na kuanza kuiwinda Israel, ndio maana wapo kwenye tension kubwa hao waisrael.
Kuna Hamas, kuna Islamic Jihad, kuna Aqsa brigades, kuna hizbullah etc...wote hawa wanaiwinda Israel.
 
So Israel watafanya kila linalowezekana ili Mubarak aendelee kuwepo madarakani?
Lakini USA ambaye ni swahiba wa Israel mbona anaonekana kama anataka Mubarak aondoke, je hajui madahara yatakayowapata Waisrael?
 
Sidhani kama serikali ya obama is that much friendship to Israel. Nafikiri vitu vingi anafanya kwa pressure ya raia wa US. Obama is traagedy to Israel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom