Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

Hilo ndilo Taifa Teule la Mungu hoyeeeeeeeeeeeeee Wa ISRAIL Fukuza Watu weusi wanao jipendekeza kwako. Ubaki wewe na Adui yako Waarabu wa Wa KiPalestina.
 
Kwa hiyo Mmarekani mweusi habaguliwi? Majibu mengine unaishia kucheka tuu !

kame umefuatilia vizuri wanasema waafrika weusi hawakusema watu tu bali ni waafrika kumbuka kuna waafrika weusi ambao wametoka nchi za kiislam hapa africa ambao kwa waisrael wanaona ni adui zao...
 
IGWE hapo kwenye RED si kweli .... Mafunzo ya dini yetu waislam yanasema mbora kati yetu ni yule mwenye kutenda mambo mema na kukataza maovu!.... haikuwapa special priority watu wa aina flani au ngozi flani...

Mkuu_njiwa nafikiri hakuna dini yoyote inayompa special priority mtu ama race yoyote,...hii yote ina kutokana na udhaifu wetu wa kutaka kujikomba kwa wayahudi na waarabu tukifikiri ndio tutapata huruma ya Mungu wao...maake wao ndio hasa wenye hizi dini,...ni sawa na watu wengine wanavyojilipua wakisingizia quran imewaaruhusu kuua wengine.
 
Wewe usituchanganye sisi Waislaam na watu wengine, ndo maana tumekupa mpaka 'aya' !
"Hujuraat :13." ngoja nikupe aya nyingine ili ukome kabisa kutuchanganya sisi Waislaam na watu wengine.
" Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutofautiana ndimi zenu (lugha) na rangi zenu (kabila). Hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi. Q: Ar Rumi:22.
Hatujipendekezi kwa Mwarabu,
 
Bora kunyonga kuliko kuchinja eeeh ! Daaaaah......... ! Ukiishiwa hoja bana !
narudia tena-bora hawa wanaondamana kuliko waarabu wanaowachukua na kuwatesa zaid ya wanyama na kuwaua,waarabu kama kawaida yao ni wanafiki-hawasemi kuwa hawawataki waafrioca-ila wanawaacha mnajipeleka wenyewe then wanawatesa-ABOve hata wale waafrica wanaokwenda makkah huwa wanaface discrimination nyingi tu-kama wwe ni alhaji utakuwa shuhuda wa hili-kama unabisha nenda makkah utajionea
 
.....................tumekusoma Alhaj Edward Teller, mara ya mwisho ulienda hija ya mwaka gani !? Umra umeshafanya ??
 
Wewe usituchanganye sisi Waislaam na watu wengine, ndo maana tumekupa mpaka 'aya' !
"Hujuraat :13." ngoja nikupe aya nyingine ili ukome kabisa kutuchanganya sisi Waislaam na watu wengine.
" Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutofautiana ndimi zenu (lugha) na rangi zenu (kabila). Hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi. Q: Ar Rumi:22.
Hatujipendekezi kwa Mwarabu,[/QUOTE]

Na huu ndio unafiki wa mwaka,...ukikataa kwamba hamjikombi kwa waarabu ni upuuzi na ujinga,..hakuna mwislam na hasa wa afrika na wenye mitazamo pogo kama ya kwako asiyejipendekeza kwa waarabu......by the way nakujua ulivyo mtata bila logic.
 
wewe usituchanganye sisi waislaam na watu wengine, ndo maana tumekupa mpaka 'aya' !
"hujuraat :13." ngoja nikupe aya nyingine ili ukome kabisa kutuchanganya sisi waislaam na watu wengine.
" na katika ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutofautiana ndimi zenu (lugha) na rangi zenu (kabila). Hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi. Q: Ar rumi:22.
hatujipendekezi kwa mwarabu,[/quote]
Na huu ndio unafiki wa mwaka,...ukikataa kwamba hamjikombi kwa waarabu ni upuuzi na ujinga,..hakuna mwislam na hasa wa afrika na wenye mitazamo pogo kama ya kwako asiyejipendekeza kwa waarabu......by the way nakujua ulivyo mtata bila logic.
IGWE !
Wewe kalia huo ujinga, kwakuwa wewe ni Kafiri huwezi kuona uzito wa hiyo aya, kipofu, kiziwi na moyo wako umeshapigwa muhuri ! Kuna logic gani zaidi ya aya ???
 
Hilo ndilo Taifa Teule la Mungu hoyeeeeeeeeeeeeee Wa ISRAIL Fukuza Watu weusi wanao jipendekeza kwako. Ubaki wewe na Adui yako Waarabu wa Wa KiPalestina.

thousands of migrants from Eritrea and South Sudan came to Israel, saying they wanted to escape the poverty and political instability at home. Most of them are headed for Europe, but are unable to use their traditional path through Libya because of the ongoing post-civil war strife in the country. Once in Israel, they are looked after by local NGOs and the UN High Commission for Refugees. Most of them settle in Tel Aviv.
 
@ZionTZ Ubaguzi wa Rangi umetokea Middle East kwa waarabu na wayahudi ndio umekuja kwetu east africa waache wanavyofanya hivyo wao wakianza na sisi wa Africa tutamaliza kuwafukuza hao Wayahudi.
 
.....................tumekusoma Alhaj Edward Teller, mara ya mwisho ulienda hija ya mwaka gani !? Umra umeshafanya ??
tena mate chini ally-..nitaenda maka kufanya nini?kama si kupoteza muda wangu-ni bora nicheze game kuliko kwenda hio safari
 
hayo mambo ya discrimination during hajj huko Makkah ni uongo tu umetunga eeeh ??! Kafiri hana aibu!

naona hutaki kusikia mabaya ya ndugu zako waarabu-we endelea kufuga mandevu huku unakataa uweli-mimi nina evidences ndo maana nasema hivyo-nenda maka uone-AU MPAKA BI HADIJA AKWAMBIE UKUBALI NDO UTAKUBALI HUU UKWELI?
 
Sukari sasa imefikia 2200, Mchele hapa Upanga ni 2800.. Kesho Sijui nini kitapanda nawasihi wasipandishe bei ya Chumvi,

Nyie mnaoandamana Na kutusiana mna heri kwelikweli.. Kama yana faida hayo endeleeni nayo
 
Ni sunna kwa mwanaume ! Hata Yesu alifuga midevu. Wewe zikate halafu uvae kipuli/hereni, nitamwambia Camerun akupe mwaliko.
 
kumbe unamawasiliano na camerun-nilikuwa sijui-siwezi kuwa kama wewe bwana-hio kitu kwenu ni sunna-alshafanya yule jamaa wako na wewe mfwata upepo lazima unafanye-ngoja nisikupotezee muda-endelea na camerun wako hapo
 
Back
Top Bottom