Waisrael Kulikoni jamani?

What can we do now?
Je hao Jewish ni wachoyo wa siri ya mafanikio yao?
Je mtu afanyenini kibinafsi ili aweze hata kukaribia mambo wanayofanya?

ThinkPad,
Hawa jamaa akili zao ni natural (baraka toka kwa MUNGU)na wanaongoza duniani. Na hili Wamarekani wanalifahamu ndo maana wanawatumia sana katika mambo yao, iwe jeshini na katika teknolojia mbalimbali. Jamaa ni genius kupita kawaida. Hakuna nchi yenye jeshi la anga lililo powerfull kama Israel. Kumbuka issue ya "90 minutes to Entebbe" ingawa walipoteza mtu wao mmoja aliyekuwa Hospitalini wengine wote waliokolewa na Nduli Iddi Amini dada akabaki mdomo wazi. Kuna mchangiaji mmoja amesema kula ngano ni mojawapo ya chanzo cha kuwa na akili. Hii ina ukweli ndani yake hata wazungu wanakula sana mikate, ndo chakula chao kikuu na tunaona mambo makubwa wanayoyafanya sisi tukibaki tumeduwaa tu. Inasemekana kuwa wakoloni walipokuja hapa TZ walifanya juu chini tusile sana ngano ili tubaki kuwa watumwa wao.
 
Hawa ni vichwa, kwanini wanamatizo mara hawapendwi. Nk

Hawapendwi na Waislamu tu, wengine wote wanawapenda. Na matatizo mengi yanayowakabili ni Biblical. Na MUNGU alisha-decree "Atakayeibariki Israel atabarikiwa na atakayeilaani atalaaniwa"
 
Hawa ni vichwa, kwanini wanamatizo mara hawapendwi. Nk

Genesis 12
The Call of Abram
1 The LORD had said to Abram, "Leave your country, your people and your father's household and go to the land I will show you.
2 "I will make you into a great nation
and I will bless you;
I will make your name great,
and you will be a blessing.

3 I will bless those who bless you,
and whoever curses you I will curse;
and all peoples on earth
will be blessed through you."
 
Thanks kwa kutujuza umefanya vyema. Hapo umeprove kuhusu Mungu kuwabarikia haya tumekuelewa nia ni sisi tufanye vp atleast tuweze kujiendesha wenyewe ? Je shule zao zina contribute vp hawa jamaa mpaka wawe vichwa. Nia ni kwamba nimegundua kuwa akili ndio azina kubwa duniani vingine ni wizi mtupu tu mfano: migodi ya dhahab,almas,coal ,lakes,ocean nk all these I have seen they are nothing without brain.
 
ThinkPad,
Hawa jamaa akili zao ni natural (baraka toka kwa MUNGU)na wanaongoza duniani. Na hili Wamarekani wanalifahamu ndo maana wanawatumia sana katika mambo yao, iwe jeshini na katika teknolojia mbalimbali. Jamaa ni genius kupita kawaida. Hakuna nchi yenye jeshi la anga lililo powerfull kama Israel. Kumbuka issue ya "90 minutes to Entebbe" ingawa walipoteza mtu wao mmoja aliyekuwa Hospitalini wengine wote waliokolewa na Nduli Iddi Amini dada akabaki mdomo wazi. Kuna mchangiaji mmoja amesema kula ngano ni mojawapo ya chanzo cha kuwa na akili. Hii ina ukweli ndani yake hata wazungu wanakula sana mikate, ndo chakula chao kikuu na tunaona mambo makubwa wanayoyafanya sisi tukibaki tumeduwaa tu. Inasemekana kuwa wakoloni walipokuja hapa TZ walifanya juu chini tusile sana ngano ili tubaki kuwa watumwa wao.
KWA TAARIFA TU...Askari wa Israel aliyefariki kwenye operation Entebbe alikuwa ni Luteni Kanali Yoni Netanyahu ambaye ni kaka wa Waziri Mkuu wa sasa Benyamin Netanyahu.
 
KWA TAARIFA TU...Askari wa Israel aliyefariki kwenye operation Entebbe alikuwa ni Luteni Kanali Yoni Netanyahu ambaye ni kaka wa Waziri Mkuu wa sasa Benyamin Netanyahu.

Hii operation ilikuwa kali sana kwanza pirot alikuwa akienda na kisha kuland blindly, wakawa na unifom za jeshi la uganda magari nk. Kwa muda mdogo tu wakawa wameokoa watu wote waliokuwa pale. Na hii ilitokea miaka mingi iliyopita. Kutoka Israel mpaka Africa ilimlazimu pirot apite karibu na surface ya bahari maana wamezungukwa na maadui huku hakiwa kazi radio na taa. Unaweza kufikilia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom