Waislamu wote kushiriki Sensa - Mufti

Du! Naona mbinu ya kuwaambia kuwa pilau litakuwepo imefanikiwa. Muhimu sasa ni serikali kununua viungo vya pilau kwaajili ya harufu tu inatosha hamna haja ya mchele
 
Du! Naona mbinu ya kuwaambia kuwa pilau litakuwepo imefanikiwa. Muhimu sasa ni serikali kununua viungo vya pilau kwaajili ya harufu tu inatosha hamna haja ya mchele

Ktk watu hamnazo na wajinga wakubwa ni wewe. Watu wanajadili vitu vya maana wewe unaongea utumbo na upuuzi hapa. Unafikiri utapata faida gani kwa kuwatukana na kuwakashifu Waislam? Naheshimu tu wastaarabu humu ndani lkn ningekupa maneno mpaka ujute kwa hayo uliyoyaandika. Mungu akulaani mjinga we.
 
BAKWATA haijatoa kauli hiyo na huu ni UZUSHI! Mufti Simba hajazungumza tena baada ya kuitaka serikali kuweka kipengele cha dini kwenye sensa. Naomba Mod aitoe hii post ya kizushi. JF si mtandao wa wazushi kama mtoa mada hapo. BAKWATA chini ya Muft wametoa waraka ukisainiwa na muft juu ya kugomea sensa.

Habari hii kuwa BAKWATA wamegeuka ni ya kizushi na haina ukweli wowote na haina msingi zaidi ya kutaka kuwagawa waislam Tanzania.

Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!

Acha kukurupuka wewe. Kauli zilizotolewa mwanzo na vyombo vya habari zilipotoasha ukweli. Haikuwa kauli ya BAKWATA kupinga sensa bali ni taasisi za kiislamu inayojumuisha akina KUNDECHA na PONDA.
Hilo ndilo tamko la BAKWATA na limetolewa na muft ambaye ndiye mwenye mamlaka hayo na si mwingine yeyote kama walivyofanya akina Kundecha.
 
hivi huku jamii forum mbona kuna watu wanafiki sana huyu mufti si mulisema anapenda ubwabwa leo munamuoa kasoma sanaaaaa MSIMAMO NI ULE ULE YEYE AMETAMKA KWA MAWAZO YAKE NA AMETUMIA HAKI YAKE YA KIKATIBA KILA MTU ANA HAKI YA KUTOA MAWAZO YAKE
 
UISLAM NA BAKWATA naona sasa vinaanza kuongozwa na PROPAGANDA badala YA MISINGI ya IMANI ZA KIDINI...
kila mtu anakuja na lake siku hizi na mbaya zaidi kila atakayeleta lake anaungwa mkono 100%...hivi ninyi wandugu ni CHAMA CHA SIASA mbona mambo yenu kama ya NAPE NAUYE
 
BAKWATA haijatoa kauli hiyo na huu ni UZUSHI! Mufti Simba hajazungumza tena baada ya kuitaka serikali kuweka kipengele cha dini kwenye sensa. Naomba Mod aitoe hii post ya kizushi. JF si mtandao wa wazushi kama mtoa mada hapo. BAKWATA chini ya Muft wametoa waraka ukisainiwa na muft juu ya kugomea sensa.

Habari hii kuwa BAKWATA wamegeuka ni ya kizushi na haina ukweli wowote na haina msingi zaidi ya kutaka kuwagawa waislam Tanzania.

Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!

Unapingana na ukweli? Ponda na wenzake si walitoa kauli yao wakati Mufti yupo Shinyanga akimzika Mzee Makani (RIP)? Karudi mwenye busara zake na matokeo yake ndiyo hayo!
 
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba ametoa msimamo wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.

Mufti Simba ameonya kile baadhi ya waislam kufanya uchochezi kwa wananchi ili wasishiriki zoezi la sensa na kusema BAKWATA haihusiki.

Akisisitiza umuhimu wa Waislam kujitokeza kuhesabiwa, Mufti Simba alisema, “Mimi kama kiongozi wa Waislamu natoa wito kwa Waislamu wote hapa nchini, kushiriki kwa ukamilifu katika zoezi la Sensa litakalofanyika nchini mwetu.”

Aliongeza: "Katika nchi yetu Sensa zimefanyika nyingi miaka ya nyuma na hazikuhusishwa na dini wala ukabila, ni jambo lililo zoeleka na kukubalika na wote''

Ameonya wale wote wanaochochea waislam kukwamisha juhudi za serikali kwa minajili ya udini.

Source: Mwananchi | Jambo leo | Habari Leo
Kinachofurahisha waislam kwamba harakati za waislam hazifanywi na BAKWATA. BAKWATA ianjihusiha zaidi na skuu na ramadhani. Tunangojea kauli ya taasisi za kiislam zinazoaminika kwa harakati
 
Asante mufti, ila sidhani kama hawa waumini wako watakubaliana na wewe maana kamaa wangekuwa wanafikiri vizuri wasingetishia kugomea sensa in the first place.

Mi nadhani watagawika, baadhi watashiriki na wengine hawatashiriki.Pia kuna kundi dogo litajihusiha na upotoshaji wa takwimu wakati wa sensa
 
Harakati za waislam zinafanywa na tampro. Uamsho, jumuiza za kiisla. Shura ya maiamam na maulamaa. Zikitoa kauli hizo kuhusu kwenda kwenye sensa kweli hapo serekali itafanikiwa.
 
Huyo ni Mufti wa waislam au Mufti wa Bakwata?

Pasi na shaka ametoa tamko Hilo amewaomba wana Bakwata wenzake.
 
Takhibiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CHEZEA MUFTI WEWE TWENDE KAZI KASHAKULA CHAKE......
 
Hakika mufti ni shujaa wa karne hii.Anawalipua magaidi wote wanaotaka kuvuruga amani ya nchi.Twende kazi Mufti wananchi tuko nyuma yako.
 
BAKWATA haijatoa kauli hiyo na huu ni UZUSHI! Mufti Simba hajazungumza tena baada ya kuitaka serikali kuweka kipengele cha dini kwenye sensa. Naomba Mod aitoe hii post ya kizushi. JF si mtandao wa wazushi kama mtoa mada hapo. BAKWATA chini ya Muft wametoa waraka ukisainiwa na muft juu ya kugomea sensa.

Habari hii kuwa BAKWATA wamegeuka ni ya kizushi na haina ukweli wowote na haina msingi zaidi ya kutaka kuwagawa waislam Tanzania.

Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!

Mkuu unaota au umechanganyikiwa baada ya Mufti kutoa tamko rasmi la waislamu nchini?
 
Hakika mufti ni shujaa wa karne hii.Anawalipua magaidi wote wanaotaka kuvuruga amani ya nchi.Twende kazi Mufti wananchi tuko nyuma yako.
hotuba kama hii nimesikia jana Bungeni imetolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Harakati za waislam zinafanywa na tampro. Uamsho, jumuiza za kiisla. Shura ya maiamam na maulamaa. Zikitoa kauli hizo kuhusu kwenda kwenye sensa kweli hapo serekali itafanikiwa.

nani amekwambia watu watafuata kuhesabiwa? mawakala wa sensa wanawafuata watu kwenye makazi yao.

Jifunze maana ya sensa ita kusaidia kuelewa kwa kina na umuhimu wake kwa jamii.
 
Back
Top Bottom