Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Sasa hao baadhi wanakuwa zaidi ktk ukweli wa dini yao...Ni vigumu kuingia katika imani yao, lakini pia ni ukweli kwamba japo wanaweza kuwepo baadhi yao ambao waka tayari kupotosha mafundisho ya dini kwa maslahi yao, msimamo mzima wa dini zetu haungi mkono vurugu na uharibifu mkubwa uliofanyika. Nimepata kuwasikia viongozi wa dini ya kiislamu wakinukuu vifungu katika msahafu vinavyokataza kwa wazi vitendo kama hivyo. Sioni kwa hali hiyo ni kwa nini tusiwaamini na kuruhusu uchunguzi huru ufanyike ili watakaobainika kuhusika waadhibiwe sio kama waislamu bali kama wahalifu wa kawaida. Maana, uhalifu haina dini hata kama utafanyika kwa mwanvuli wa dini.
Pia ungechukua Muda kuusoma huo msahafu ungepata vifungu vingine vinavyowasupport hao uamsho....sijui utawakataza vipi kuvitumia hivyo vifungu hatari zaidi?Kwao vyote ni sehemu za ibada..nadhani hao walionukuu vifungu vya makatazo hawana vingi na vyenye Nguvu kuliko vya walifanya uharibifu.
Kwa taarifa yako haohao ukiwabana na kuwapa mistari watakuambia kitu tofauti....kuwa haya hizo ni kwa kazi maalumu na mazingira maalum...cha kujiuliza ni kuwa Hayo hayakuwa mazingira maulumu?Sasa shangaa watakavyowachomoa kwa sababu mbalimbali...kwani Basaleh..kashikwa mara ngapi na polisi kwa uchechezi na bado yupo mitaani anachochea bado?
Km unataka pata watu pious ktk dini yao nadhani mzee Mwinyi atakuwa ktk yao.Ila tazama challenges anazopata kupigwa makofi, km upo ktk meneo ya uswazi basi pitia vijiwe vya magazeti halafu usikie shutuma apatazo kila anapoandikwa akikemea hayo. Si viongozi wengi wanaweza kemea live bila kuogopa kuuwasha moto wa kidini.
Haiwezekani waislam dunia nzima wakafanana hivyo kitabia,hata sehemu walipobanwa na dola, km hakuna kitu kilichomo ktk kiini cha mafundisho yao.Uslam ni Dini, uamaduni, na mfumo wakisiasa(Mfumo mzima wa maisha).So lazima dini ipate power ili ianze kukimbizana na jitihada za kuunda taifa lake.Ni vigumu kuwa na uislam halafu ukainyima dini mamlaka.Maisha hayata kuwa as usual....