Waislamu waridhishwa kuhusu Kadhi

Sasa nafahamu sababu kwanini wanchama wa JF wanahamia 'Issa Michuzi blog'.

Nyie endeleeni hivyo tu na mawazo ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini, wakati watanzania wanafahamu dhati kuwa Sheria za kanisa haziwahusu waendao Msikitini. Na hali kadhalika kwa mahakama ya kadhi haitomuhusu mzee wa kanisa. Hilo ndilo la msingi, na kwa wale wataobahatika kutembelea Issa michuzi blog hawataona au kusoma upotoshaji wa maudhui kupitia udini.

Na ukifanikiwa kuingia huko nakuhakikishia kuwa JF utaingia kwa nadra sana. Mkitaka kuuwa Blog endeleeni na mambo kama haya, mimi siwahukumu, ni wakati ndio utawahukumu.

Mkuu ungefafanua kidogo hapo unaposema sheria za kanisa, sijui kama Tanzania tuna kitu kinachoitwa sheria za Kanisa. Najua kuwa makanisa yana taratibu mbalimbali, lakini taratibu hizo sina hakika kama zilipitishwa kwenye ilani ya chama chochote, na sina hakika kama na kama zilipitishwa na serikali au bunge, na kama zipo kwenye katiba ya nchi. Kwa misngi huo sioni kama kuna haja ya mambo ynayohusu waislamu yalipiwe na kodi za watanzania. Kama waislamu wakitaka kuvunja ndoa au wakiwa na matatizo ya ndoa, hawana haja ya kwenda kwenye mahakama nyingine waende tu kwa masheikh hiyo itawasaidia kukwepa mahakimu wakristo na wapagan.

Mkuu kuna mambo mengine yanatia shaka, unataka kusema JF ni blog? is it? it does not look like that to me. Inaonekana kama ni web forum ambayo inaendeshwa semi professionally (sooner to be professionally). Na sijui maana yako nini unaposema ukienda blog ya michuzi hutarudi huku. Do you mean ya michuzi ni ya kiislamu na JF ni ya kikirsto? i can not believe udini unaanza kuonekana hata kwenye blogs, i hope nimeelewa vibaya.
 
Imeandikwa na Mwandishi Wetu;
Tarehe: 29th July 2010

BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita), limesema katika siku 14 lilizotoa kwa CCM na kufanya uchunguzi, limebaini kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na CCM wana dhamira njema ya kuanzisha Mahakama ya Kadhi nchini.

Kutokana na kuwa na imani nao, imewataka Waislamu kuiunga mkono Serikali na CCM kwani ni chama pekee kilichoonesha dhamira ya dhati kwa kuliweka suala la Mahakama hiyo, kwenye Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2005.

Vilevile limewataka Waislamu wakiwamo mashekhe, maimamu na wanaharakati, kuvuta subira katika mchakato wa kumtafuta mtu anayestahili kuwa Kadhi Mkuu.

Akitoa jana Tamko la Baraza kwa waandishi wa habari baada ya kumalizika siku hizo 14, Mkurugenzi wa Baraza hilo, Ustaadhi Chifu Msopa, alisema katika kipindi hicho, walifanya uchunguzi wa kisayansi kujua ukweli halisi wa kuanzishwa Mahakama hiyo na kubaini kuwapo dhamira ya kweli.

Alisema katika siku 14 zilizomalizikakuwauzia hoja ya Kadhi, lakini vyote isipokuwa Tanzania Labour Party (TLP) viliogopa.

1 "TLP walikubali kupitia Mwenyekiti wake, Augustino Mrema, ingawa kwenye Ilani ya TLP hakuna suala la Kadhi," alisema na kuongeza: "Bahakita imeshindwa kuwafanya Waislamu kondoo wa kafara katika uchaguzi mkuu ujao, kwani tumeona tuipe muda Ofisi ya Waziri Mkuu iendelee na vikao vyake na Sekretarieti ya Mashekhe kwani tumepata ufafanuzi wa kina kwa pande zote mbili," alisema.

2 Pamoja na kukubali huko, Baraza lilitoa mapendekezo kwa Mufti kuongeza uwakilishi wa kutosha katika uanzishwaji wa suala la Kadhi.

3. Mazungumzo yanayoendelea kati ya Serikali na mashekhe yalitokana na Waziri Mkuu kukaa pamoja na mashekhe 25 na Mufti na kuunda Sekretarieti ya kutoa mapendekezo ya uanzishwaji wa Mahakama hiyo, na hadi sasa zaidi ya vikao vinane imefanyika kuangalia mfumo wa Mahakama hiyo utakavyokuwa.

jana, Baraza lilifanya mazungumzo na vyama vikubwa vya upinzani nchini kwa lengo la kuwauzia hoja ya Kadhi, lakini vyote isipokuwa Tanzania LabourParty (TLP) viliogopa.

Huu hapa (kwenye blue) ni ujinga aliochanganyika na upumbafu - Vyama vingine vimeogopa nini na nani na kwa nini? Kama vimeogopa katiba ya nchi si mseme! Dhamira waliokuwa nayo CCM ilipotelea wapi? Na imeiibukia wapi tena? Hii ni kampeni mbaya ya CCM. Kwa taarifa yenu na kwa mtu mwenye akili timamu anafahamu fika CCM inawaingiza mjini tena Waislamu - hii ni namna ya kutaka kura za Waislamu ambazo wangezikosa baada ya kuondoa mahakama ya kadhi kwenye ilani yao ya 2010.

Waislamu wengi hawajaenda shule mpaka ngazi za juu hivyo hudanganyika kirahisi mno!!!!!!!!!

1a"TLP walikubali kupitia Mwenyekiti wake, Augustino Mrema, ingawa kwenye Ilani ya TLP hakuna suala la Kadhi," alisema na kuongeza:"Bahakita imeshindwa kuwafanya Waislamu kondoo wa kafara katika uchaguzi mkuu ujao, kwani tumeona tuipe muda Ofisi ya Waziri Mkuu iendelee na vikao vyake na Sekretarieti ya Mashekhe kwani tumepata ufafanuzi wa kina kwa pande zote mbili," alisema.

2aPamoja na kukubali huko, Baraza lilitoa mapendekezo kwa Mufti kuongeza uwakilishi wa kutosha katika uanzishwaji wa suala la Kadhi.

3a Mazungumzo yanayoendelea kati ya Serikali na mashekhe yalitokana na Waziri Mkuu kukaa pamoja na mashekhe 25 na Mufti na kuunda Sekretarieti ya kutoa mapendekezo ya uanzishwaji wa Mahakama hiyo, na hadi sasa zaidi ya vikao vinane vimefanyika kuangalia mfumo wa Mahakama hiyo utakavyokuwa.[/COLOR]

Source: Habari leo

My take: Jamani hii ndo CCM bwana......

Hizi ni kampeni chafu za CCM na matumizi mabaya ya vyombo vya habari. Kwanza habari yenyewe imeandikwa na mwandishi ambaye kama hajaenda shule kwani kuna paragraphs zinajirudia (angalia 1, 1a, 2, 2b)!
 
Maskini ndugu zetu Waislamu! Wanatumika tena kama ngazi ya kupatia kura! Laiti wangefikiria japo kidogo, 2005 walidanganyika, na sasa wanakubali kudanganyika! Labda wana imani hiyo kwa sababu JK ni muislam. Lakini hawaoni wanadhalilika kwa kudanganywa halafu kupigwa danadana mpaka miaka mitano inaisha? Wandugu amkeni, mahakama ya kadhi Tanzania si rahisi kihivyo, CCM wanajua hilo na wanawatumia tu kupatia kura.
CCM ni matapeli, wataliweka kiana aina kwenye ilani yao halafu wanapata kura na kuwapatia tafsri yake tofauti na mlivyodhani. MMesahau awamu hii inayoisha walivyo waambia tafasri msiokuwa manaitegemea? ati "tuliahidi kuliangalia swala la mahakama ya kadahi na sio kuunda mahakama ya kadahi"! Kwenye ilani waliandika hivyo? Hamuoni hiyo tafsri ilitolewa makusudi kukwepa lengo?
Yetu macho, lakni ushauri kwa Waislamu:
1. Acheni kutarajia mambo yenu ya kidini kuingizwa kwenye mfumo wa serikali, nchi hii haigemei dini yeyote.
2. Viongozi wenu ni wahuni, wachuuzi na wanawachuuza ninyi. CCM inawatumia kupitia kwao. Amkeni!

Naipenda Tanzania napenda na watu wake wote, wenye dini na wasio na dini. Mungu ibariki Tanzania.
 
Sasa nafahamu sababu kwanini wanchama wa JF wanahamia 'Issa Michuzi blog'.

Nyie endeleeni hivyo tu na mawazo ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini, wakati watanzania wanafahamu dhati kuwa Sheria za kanisa haziwahusu waendao Msikitini. Na hali kadhalika kwa mahakama ya kadhi haitomuhusu mzee wa kanisa. Hilo ndilo la msingi, na kwa wale wataobahatika kutembelea Issa michuzi blog hawataona au kusoma upotoshaji wa maudhui kupitia udini.

Na ukifanikiwa kuingia huko nakuhakikishia kuwa JF utaingia kwa nadra sana. Mkitaka kuuwa Blog endeleeni na mambo kama haya, mimi siwahukumu, ni wakati ndio utawahukumu.

Comrade unatutisha sasa..usilazimishe mawazo yako kuwa sahihi na ya wengine kuwa c sahihi..Kinachopingwa hapa kikubwa ni kwamba fedha za walipa kodi zisitumike katika kuendesha mahakama ya kadhi..kwani miongoni mwa walipa kodi, wapo watu wa dini nyingine...vilevile kuingiza mahakama ya kadhi katika katiba c sahihi..maana mwisho wa siku katiba hiyo itaji-contradict...usiwe na jazba..ukiwa na hasira wanyime ccm kura...
 
Sasa nafahamu sababu kwanini wanchama wa JF wanahamia 'Issa Michuzi blog'.

Nyie endeleeni hivyo tu na mawazo ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini, wakati watanzania wanafahamu dhati kuwa Sheria za kanisa haziwahusu waendao Msikitini. Na hali kadhalika kwa mahakama ya kadhi haitomuhusu mzee wa kanisa. Hilo ndilo la msingi, na kwa wale wataobahatika kutembelea Issa michuzi blog hawataona au kusoma upotoshaji wa maudhui kupitia udini.

Na ukifanikiwa kuingia huko nakuhakikishia kuwa JF utaingia kwa nadra sana. Mkitaka kuuwa Blog endeleeni na mambo kama haya, mimi siwahukumu, ni wakati ndio utawahukumu.

Uhuru maoni mzee...michuzi, jamiiforum,facebook vyote vijiwe tu mwana, dont worry,,,siunaona umepata japo nafasi (kupitia jamiiforum) ya kusema kuwa wengi wameenda michuzi....
 
Mimi ni Mkristu lakini nawashangaa ndugu zangu Waislamu, kwa nini wameamua hili suala la mahakama ya kadhi liwe jambo nyeti kuliko mengine yaliyo muhimu? Mimi sijui sana lakini hii mahakama ya kadhi itaongeza ajira za wana wa nchi hii? je hii mahakama ya kadhi itaongeza pato la Mtanzania? je hii mahakama ya kazi itakuza uchumi wetu? je hii mahakama ya kadhi itaondoa ujinga, umasikini, maradhi na ufisadi hao maadui wakubwa wa taifa hili? Kwa nini tunataka dini ndiyo iamue mustakabali wa maisha ya mtanzania? Msimamo wangu ni kwamba mama Yangu Tanzania kwanza kisha dini baadaye. Hizi dini tuliletewa tu kutoka nje. Uislamu uliletwa na Waarabu walipowachukua ndugu zetu kwenda utumwani, Ukristu uliletwa na wazungu walipokuja kututawala na kuchukua mali zetu. Sasa kwa nini tuzishabikie sana? Tuiokomboe nchi yetu kwanza kutoka kwa makucha ya mafisadi kisha baadaye tuzungumzie dini zetu.
 
Hujui kitu kimoja Kilichokosekana cha msingi sana katika maendeleo ya Tanzania ni MAADILI. Na hili huanzia katika familia. Familia zimemomonyoka na tumebaki kuwa watu tusio na msimamo.

Kwa upande mmoja tunapinga rushwa na kwa upande mwingine tunalala na kurithi majumba yaliyojengwa na Baba, Mama, wajomba, kaka zetu kwa kipato cha kupokea rushwa. Ndani ya nyumba ni marufuku kukana rushwa, lakini katika JF hakuna anayeishabikia rushwa. Sasa utajiuliza, hivi wala rushwa wanatoka Marekani, uingereza, Italia au Saudi Arabia?

Isitoshe katika Hotuba za viongozi wa serikali katika sherehe za dini (x-mas na Idd) hawaishi kuwaomba viongozi wa dini katika kuisaidia serikali katika kukuza jamii, kuwapa mafundisho mema wafuasi wao ili waitumikie seriikali vizuri. Sasa waislam wamepokea wito huo na kusema katika uislam tabia njema huanzia katika familia. Na ndio nia na madhumuni ya kuanzisha mahakama ya Kadhi.
 
kwahiyo dhehebu fulani likiahidiwa na chama fulani kuwa suala fulani limo kwenye ilani fulani ya uchaguzi fulani basi ndio waanze kushawishi waumini wao woooooooooote wakiunge mkono hicho chama fulani mkono na kukipa kura,,,,,kweli jamani ndo inavyotakiwa kweli,,,astaqafil-laaah
 
Hatuitaji huo upumbavu wao wa mahakama mbona dini zingine zimetulia huo ndiyo ubinafsi ambao hatuutaki kabisaaaa,tena nahisi ndiyo kitakuwa chanzo cha kumwaga damu hapa kwetu kwani hawajasikia baadhi ya nchi wameshaanza kuikataa hiyo mahakama,

Yangu ni kwamba (SIYO KILA UA LAZIMA LINUKIE)
 
Sidhani kama ni sahihi kuuita ni upumbavu, ni kitu muhimu kwenye imani ya dini ya kiislamu,,,ila issue tu ni kuwa kwa kuwemo kwenye ilani ya chama fulani inatosha kweli viongozi wa dini hiyo wawashawishi waumini wao woooooote wakipigie kura chama hicho,,,to me thats not enough, not at all!

But is this not a good reason not to vote for CCM kwakuwa wameanza kuwagawa watanzania kwa kuingiza masuala ya dini kwenye uendeshaji nchi?
 
Ijapokuwa mimi ni mwislam lkn kikwete Hawezi pata kura yangu kwani hata akiianzisha hiyo mahakama ya kadhi haina chochote hatika katika maisha ya kila siku kwani tutaendelea kusota tu na maisha yataendelea kuwa magumu. Ninahisi hapa tayari Bakwata washanunuliwa na habari hii kuna harufu mbaya ya watu kununuliwa. Hivi nikisema kuwa Bakwata ni kibaraka wa serikali ya CCM nitakuwa nakosea ? kwani sitashangaa kwa kuwa hata uongozi wa bakwata huwa unawekwa na CCM kama walivyofanya kumpata muft aliyeko sasa hivi ambaye hakuwa chaguo la waislam. Hivi kweli tamko hili linaweza kutolewa na kiongozi aliyekamilika ambaye haoni watu wanavyoteseka na maisha mabovu? Bakwata hivi hamuoni masheikh wanavyoteseka inafikia kipindi watu kugombea misikiti kwa sababu ya umasikini unaosababishwa na serikali ya CCM? Hivi katika mafundisho ya uislam kuna popote panaposema kuwa uislamu unakubaliana na Ufisadi? kwanini mnaidhalilisha dini yetu wakati nyinyi ni chombo cha kuisimamia F.Y.I serikali haina dini na hilo la mahakama kamwe halitaingizwa kwenye sheria za nchi hii kwani kwa kufanya hivyo itakuwa nikukaribisha matatatizo na ndio maana aya ya za kwanza kabisa zilikuwa ni kuhimizwa kusoma ukishasoma then utaona mabaya na madhuri kweli pamoja na kisomo chenu hamjui mabaya yanayotokea kwa sababu ya serikali iliyoko madarakani Why you cant see? why? why? why Bakwata:flame: why? are you serious???????????????????????????/
nishasema kuwa nitasema kweli
Ukweli kamwe haufi na ukiuwawa na kuzikwa iko siku moja utachipua na kujitokeza tena

Sasa si mjiwekee utaratibu wa kumpata mufti anayekubaliwa na waislam wote. Kwani mwakikishi wa waislam kama si BAKWATA sasa ni nini? Inawezekana kabisa CCM iliona kua waislam wote wamelala na ndio maana ikawapa MUFTI, sasa je utaratibu wenu waislam kumpata mwakilishi upoje? au ni kila msikiti na lake? au shia na lao? na suni na lao pia? Tuambie utaratibu halali ni upi ili kuondoa mapema hali ya chaos mnayopenda kuchochea ili baadaye mpate mwanya kuleta SHARIA baada ya kuiingiza nchi ktk lawlessness kama Somalia.
 
kwahiyo dhehebu fulani likiahidiwa na chama fulani kuwa suala fulani limo kwenye ilani fulani ya uchaguzi fulani basi ndio waanze kushawishi waumini wao woooooooooote wakiunge mkono hicho chama fulani mkono na kukipa kura,,,,,kweli jamani ndo inavyotakiwa kweli,,,astaqafil-laaah

Mimi asili yangu si mnafiki, husema yaliyomo nba yanayotendeka. Kura hutafutwa misikitini na makanisani. Hayo yametokea mwaka 1995, 2000, na hata 2005. Sasa hapa walengwa wakaribu sana ni viongozi. Ni vipi kiongozi atapata utashi wa kuwashawishi wafuasi wake, inategemea na ajenda kubwa kwa waumini hao na viongozi kwa jumla. Kama ni suala la kutotozwa ushuru makonteina yatokayo Italy, marekani na ujerumani yakielekea katiika Parokia fulani au kuanzisha kwa mahakama ya kadhi ni juu ya waumini na viongozi wao.

Napenda nikukumbushe kuwa, wakati JK alipoitwa kuwa ni chaguo la Mungu na kiongozi fulani wa kidini, tamko hilo liliwasomba waumini wake wengi tu. Sasa kwanini yeye alisema hivyo, hatujui walichoahidiwa. Lakini napenda kuwakumbusha tu kuwa serikali imerudi nyuma kwa mambo mengi tu ambayo ilidhamiria kuyafanyia mabadiliko na wakakumbana na upinzani mkubwa tu wa viongozi wa dini.

Hapo ndipo utelewa nini maana ya Political religion. Usishangae kwani imetumiwa na viongozi wote toka Nyerere na kuendelea.
 
Ahh ni upofu tu wa hao voingozi wa dini. Huwa natamani niseme sana kuhusu haya mambo lakini kuna kitu kinaniambia acha tu...ni upofu tu..uchaguzi huu mtaambiwa mahakama, mwingine mtaambiwa makontena, mwingine mtapewa chuo cha tanesco muanzishe chuo kikuu, mwingine mtapewa shule ya mazengo muanzishe chuo kikuu, hivi dunia ingekuwaje bila kuwa na siasa na wanasiasa
 
Differences in religious beliefs has always resulted in social turmoil. That is why the separation of religion from State matters is so important in society. Unfortunately, this concept (the separation of religious matter from state matters, that is) is difficult for ordinary citizens to grasp, especially after being clouded by religious emotions.

It is so because the god of each religion insists (through their divine books) on being exclusive; my way or the highway. And this has always been the killer of social harmony. If you add the legitimacy of "killing in the name of god" then you are bound to have an explosion…A belief in one deity over another is an impediment to human progress and peace.

Ndugu zangu, let's refocus our time and minds into what we can do for ourselves and the next generation. There is no one in the sky to help us but ourselves...
 
Wana JF - tafadhali acheni malumbano ya kidini. Huwa hayana mshindi hata siku moja.
 
Hivi km kweli habari hii ipo kwenye magazeti ya serikali ni kwanini wakati wote kikwete anakaa kimya badala ya kukemea upimbavu huu?.....
Mimi sijawahi kuamini kama kweli kuna wakristo ambao ni wengi hapa nchini.....siamini ni kwa nini wanaendelea kumshangilia huyu kikwete ambaye yupo tayari nchi iingizwe vitani na hawa wakaa vijiwe vya kahawa..........kweli mnaendelea kudanganyi9ka wakristo?
Amani na upendo vinavyohubiriwa ktk dini ya kikristo na viongozi wetu ndiyo inawafanya waumini wawe na moyo wa subira...lakini je hata kwa hatua iliyofikiwa sasa na waislamu kuahidiwa kwa siri na rais kuwa anaiondoa mahakama ya kadhi kwenye ilani ili apate pia kura kutoka kwa wakristo halafu baada ya hapo atatumia nafasi yake kuhakikisha oic na hiyo kadhi vinachukua nafasi.........
Sio tu suala la dini.................kikwete kakosa kabisa sifa za kuwa kiongozi wa nchi yenye matatizo makubwa kama hii......rais wa nchi huwezi kuwasamehe wezi wa mali ya umma kwa kisingizio cha kurejesha pesa huu ni upuuzi.....nchi gani na rais gani mwingine anayeweza kufanya upumbavu km huu..........

Wakristo kuweni makini.............................moyo wenu wa upendo hata km unaonewa kiasi kikubwa hivi ni dhambi kwa mungu..chagueni mtu ambaye hataweka maslahi ya dini yoyote mbele...''''.mtayavuna mabua''''
 
Statistically Waislamu ni wengi hapa chini wakifuatiwa na dini nyenginezo nafasi ya tatu ni wakristo tafadhali rekebisha hii statement!!!!
 
Back
Top Bottom