Waislamu wanasemaje kuhusu tunisia,egypt,yemen.....

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Ni hapo juzi tu waislamu kwa mbwembwe na kwa kutumwa na kikwete na ccm walipowataka maaskofu na chadema kutii mamlaka iliyopo kisheria kwani hakuna mamlaka isiyotika kwa mungu............najiuliza mao waislamu na masheikh wao uchwara pamoja na ccm wangewaambia kauli km hiyo ya kishenzi watunisia,wamisri,wayemen na kwingineko wangefanywa nini?
Maoni tafadhari!
 
Maaskofu walikuwa wamekosea sana!

Uwezo wao wa kufikiri ni mdogo..umechanganyika na chuki za kidini
 
Mbona waislamu hata kabla ya uchaguzi waliishinikiza ccm na kikwete kushughulikia mambo yao ya kadhi na waliapa kutochakgua kikwete na ccm ila wangechagua cuf (ccm-b).......hapo walichanganya siasa na nini?
 
Mbona waislamu hao hao wahasemi chochote kuhusu nchi nilizozitaja hapo juu ambazo ni za kiislamu?......waislamu wa hapa tz wanasoma quran gani ambayo haiwasaidii wenzao?........................
Huo udini waislamu wanaeneza propaganda za maneno mbona kwa vitendo waislammu ndiyo wadini kwa kuchanganya siasa na dini kwa kutaka masuala yao kushughulikiwa kisiasa ingali wanajua siasa na dini havichanganywi?.......kwa nini kushirikisha wanasiasa ktk maamuzi ya mambo yenu ya kihuni ya mahakama ya kadhi?
 
hii dhambi ya udini mm hua naikwepa sana.......mmmmmmmh
 
Tusikwepe ukweli tujadili tuwekane sawa ili tuepushe umma kupotoshwa kirahisi na propaganda za kiislamu wakati wao na viongozi wa juu ambao ni waislamu ndiyo wanatuletea udini kwa vitendo.............tuseme hapana tusiogope kujadili

hii dhambi ya udini mm hua naikwepa sana.......mmmmmmmh
 
Back
Top Bottom