Waislamu waapa kuendelea na maandamano kesho kutwa licha ya mafuriko

Status
Not open for further replies.
chadema=KANISA.

Chagua jibu sahihi
1. Mzee = taahira
2. Mzee = chizi
3. Mzee = zuzu
4. Mzee = utapiamlo
5. Mzee = juha
6. Mzee = kichaa
7. Mzee = ccm
8. Mzee = ukimwi
9. Mzee = maadam speaker
10. Mzee = mzee

Kwa mnaomjua vizuri mzee mnaweza kutupa majibu sahihi
 
ndugu yangu wewe bana. Kwa kupenda kuchanganya habari....

CDM ni chama cha siasa, Waislamu ni 'waumini wa dini ya islam.

Samahan kama ntakuudhi,lakn naweza sema we ni bogus kwa kuwa hujui maana ya dini. Kwa msaada wa kuwasaidia vilaza wote humu JF,dini ni mfumo wa maisha binadamu anaoufuata,hivyo ktk mfumo huo siasa zimo ndani na ndio maana unaona makanisa na viongozi wake wamo kwenye siasa! Kama hujui kusoma basi hata picha huoni? Kanisa mara limetoa waraka,mara linakemea....,na linatumika kufanyia kampeni. Angalia sasa hivi kina Lowasa na Sitta wanalitumia kanisa effectivelly. Dini ni uongozi kwa wanadamu kimwili na kiroho=Siasa ni uongozi kwa wanadamu na falsafa. Mpo hapo msioelewa?
 
Serikali Ina hospitali wilaya? Kama sio za mashirika ya dini kuombwa kuwa DDH, Designated District Hospital. Huenda na wewe ulizaliwa katika hizo hospitali. Jengeni zenu na nyie muombe MOU ni serikali kama alivyosema Sheikh Mkuu wa Dar es salaam au hukumsikia? Au utasema yule ni Padre au Mchungaji aliyezungumza jana TBC News time?

Kilaza Plus+
 
nafikiri kama kuna kikundi cha waislam, hata kama ni waislam wote......japo in this case sio wote, wanataka kuandamana kutoa dukuduku lao ambalo wameona halisikilizwi katika utaratibu wa kawaida, basi na wafanye hivyo, ni haki yao. Kama raia, kama haki wanayodai ni halali, why not bana.
Waingie barabarani, swala la kuwatisha kwamba watapigwa virungu, hilo tuliache, kwani wakipewa kibali virungu vitatoka wapi?

Go guys go.......nendeni mkadai 'haki' yenu.

Hapa naona ukweli umeuona. Haya, bwana pongezi!
 
Bakwata imeshindwa kusimamia mambo ya waislam kama sio unafki wa Bakwata na serikali hili suala la kadhi lingekuwa limeisha na kama sio ukiazi wa Bakwata shule, hospitali na taasisi zingine za kiislam nazo zingetakiwa ziwe included ktk MoU kwan hizo ni kodi zetu wote regardless ya dini zetu. Lingine mi naona huyu sheikh wa mkoa Dar kama sio mbumbumbu njaa inamsumbua yeye kaongea ka nani ndani ya Bakwata? Kwani Bakwata haina katibu, msemaji au uongozi wa juu? Yeye wanaomhusu ni waislamu wa Dar tu! Sio waislamu wa nchi nzima

Bravo, brother!
 
Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi
Sikuwahi hata kuota kuwa kuna viumbe wenye akili ovyo kama hawa katika jamii ya leo iliyostaarabika,Jinga kabisa
 
Chagua jibu sahihi
1. Mzee = taahira
2. Mzee = chizi
3. Mzee = zuzu
4. Mzee = utapiamlo
5. Mzee = juha
6. Mzee = kichaa
7. Mzee = ccm
8. Mzee = ukimwi
9. Mzee = maadam speaker
10. Mzee = mzee

Kwa mnaomjua vizuri mzee mnaweza kutupa majibu sahihi

Hapo #3 hapo
 
Samahan kama ntakuudhi,lakn naweza sema we ni bogus kwa kuwa hujui maana ya dini. Kwa msaada wa kuwasaidia vilaza wote humu JF, UISILAMU ni mfumo wa maisha WAISILAMU Wanaoufuata,hivyo ktk mfumo huo siasa zimo ndani na ndio maana unaona makanisa na viongozi wake wamo kwenye siasa! Kama hujui kusoma basi hata picha huoni? Kanisa mara limetoa waraka,mara linakemea....,na linatumika kufanyia kampeni. Angalia sasa hivi kina Lowasa na Sitta wanalitumia kanisa effectivelly. Dini ni uongozi kwa wanadamu kimwili na kiroho=Siasa ni uongozi kwa wanadamu na falsafa. Mpo hapo msioelewa?

rekebisha on blue

UKRISTO ni imani ya maisha ya kiroho, sio mfumo wa maisha.
 
Waislam wanavyopinga MOU inadhihirisha kuwa wanapenda maendeleo lakini hawawapendi wenye maendeleo.
 
Mimi ninayaunga mkono maandamano haya lakini sio katika kipindi hiki ambacho wenzetu wameaga dunia na wengine wanahitaji msaada kutokana na janga lililoikumba dar es salaam.....timing ya haya maandamano haikuwa timed.....
 
Ni haki yao kuandamana na polisi ni haki yao kuwapiga virugu,mabomu ya machozi na risasi za moto kama watalazimisha maandamano

lakini kumbuka humo ndani ya maandamano kuna wanachama wa CDM na CCM

SASA ungependa wanachama wapi wafanyiwe hicho ukisemacho
 

[B said:
measkron[/B] ;]Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi






kwani tunatibiwa bure? Na hiyo pesa tunayotoa kupata huduma huwa inarudi serikalini?


Nimelipenda sana swali lako hili ! maana ingekuwa serikali inawakopesha hapo sidhani kama wasilamu wangekuwa na mjadala juu ya hili! lakini tatizo WAO HAWAPEWI! na RAis juzi amesema kuwa na wao waombe ! lakini waliomba je wamepewa? nadhani wasikilzwe na haki itendeke kote ! wana haki ya msingi ya kuandamana! namimi nitakuwepo ila kama mvua zitakuwa kubwa nawashauri ndugu zangu wasubiri kwanza maana tusije kupata maafa !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom