Manadamano ya nini?
Hawa jamaa sometimes huwa nawashangaa, huwa hawajali masuala ya jamii nyingine inayowazunguka zaidi ya yale yanayowagusa wao, huwezi wakuta wanazungumzia au kuandamana kuhoji serikali kutotoa huduma muhimu kwa wote, this is simply selfishness.Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi
Mkuu umetua lini bongo kusupport haya maandamano ? au unalipulizia livuvuzela hukohuko Canada?Kwa hali iliyopo sasa hivi maandamano hayo yaahirishwe..haitakuwa vizuri hata kidogo na wala hayataweza kushuhudiwa na wananchi wengi...Tuzike kwanza ndugu zetu kisha mengineyo yatafuata...
Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi
Kwani CDM wakiandamana wanadai maslahi ya imani ipi, nafikiri ungeeleweka vizuri kama ulingesema waislamu wanaandamana kama ambavyo wakristo huwa wanaandamana, CDM wanalinganishwa na CCM na vyama vingine sio waislam.Humu JF CHADEMA kuandamana halali ila Waislam kuandamana kwa maslahi yetu ni haramu eeeh? Hii inanipa rangi halisi ya JF na CHADEMA!
kwanza cijakuelewa hapo maandamano ya waislamu na chadema wanahusianaje mkubwa???? Nlidhani ungesema wakristo ladba kuna uhusiano na tukio pia acha ushamba angalia sababu zinazo fanya chadema waandamane halafu tizama na sababu inayo wafanya wana wa mtume muandamane.humu jf chadema kuandamana halali ila waislam kuandamana kwa maslahi yetu ni haramu eeeh? Hii inanipa rangi halisi ya jf na chadema!
kwanza cijakuelewa hapo maandamano ya waislamu na chadema wanahusianaje mkubwa???? Nlidhani ungesema wakristo ladba kuna uhusiano na tukio pia acha ushamba angalia sababu zinazo fanya chadema waandamane halafu tizama na sababu inayo wafanya wana wa mtume muandamane.
Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi
Manadamano ya nini?