Waislamu kuandamana nchi nzima kupinga speech ya mh Rais JK

Status
Not open for further replies.
Ili kufupisha yasije yakawa mengine, mtoa mada anaficha ujinga wake waonekane kweli waislam ni hovyo, hao waislam nchi hii wamekaa lini na wapi wakaweza kutuma huo ujumbe. Kama wapo ni kundi ambalo haliwakilishi waislam bali baadhi ya waislam kwa hiyo alitaje hilo kundi au akae kimya tusije tukawaonea wailslam tukawapa vidonge vyao.

acha mbwembwe wewe .... waislamu wote nchini tanzania walikaa lini wakasema mwezi haujaandama na kwamba redio imani inapotosha ....!

ficha upumbavu wako na busara yako itaonekana
 
Wanafiki utawaona na wanajulikana. Wakiwa ktk kundi fulani wanasema tupo nanyi, na wakienda ktk kundi jengine wanasema tupo nanyi.

Hao ndiyo CCM. CCM ni Chama ambacho Kinaendeshwa na Wanafiki.
 
Mnafiki ni wewe na wenzio humu JF walipouwawa ndugu zenu Arusha mlipiga kelele sana humu jamvini ila walipouwawa watanzania wenzetu kule Pemba, Unguja, Mwembechai hamkusema kitu. Tunawajua nyie ni wanafiki na JK kawaingiza kingi jana kwa hotuba yake nyote mmejaa na kujulikana rangi zenu kamili za udini wadini wakubwa!!!!!

wewe kaandamane tuu .... wala usipate shida .... kumbe mmegundua kwmba maandamano ndiyo solution ..... sitaki nataka ..... unafiki ni janga kuu linalokusumbua humu JF ... kila post yako ina udini ... tena unapenda sana IOC .. kwanini usijiunge wewe na familia yako
 
Hawa jamaa nawaunga mkono waandamane. Hoja ya mahakama ya kadhi imo kwenye ilani ya ccm mwaka 2005, walimpa kura Jk ili wapate hiyo mahakama kama amewageuka inabidi wamgeuke. Nimesoma leo gazeti la An-nnur limeandika Jk alitoa ili hutuba kwa kuegemea mawazo ya maasikofu. Naona wamekasirishwa sana na huyu Jk, waandamane tena na tena mpaka Jk awape haki yao. Huyu jamaa amezidi kuwahadaa waislamu wenzake. Vasco unalo!
 
wewe kaandamane tuu .... wala usipate shida .... kumbe mmegundua kwmba maandamano ndiyo solution ..... sitaki nataka ..... unafiki ni janga kuu linalokusumbua humu JF ... kila post yako ina udini ... tena unapenda sana IOC .. kwanini usijiunge wewe na familia yako

Again unanisingizia kuandamana mie sio katika magwanda mnaoamini maandamano ndio solution ya kila kitu. Maandamano ni last resort ikishindikana ila kwa jinsi nilivyoisoma hotuba ya JK sijaona ubaya wowote na shida yeyote as long as mahakama ya kadhi ianzishwe kwanza mambo mengine tutayazungumza mahakama kuu ikifika wakati husika tatizo liko wapi. Ila sijafurahia mtu kuhamasisha dola iwapige watanzania wenzie kisa ni wa dini tofauti huo ni udini na ujinga kama sio upuuzi na upumbavu.
 
Tunataka kadhi,
tunaonewa, nyie mna mou,
na sisi tunataka mou,
turudishiwe shule zetu,
ndiyo, hata yale majengo ya tanesco morogoro,
Ben alijipendekeza tu, hatuyataki, tunataka shule zetu na hispitali zetu tulizonyang'anywa na marehemu nyerere.
Tunataka kadhi ili uchumi wetu ukue, maisha yawe mazuri, bei za bidhaa zishuke, shilingi iimarike, tuwahukumu mafisadi, tunataka mahakama ya kadhi.

Tatizo hamsemi kuwa mnataka MoU, bali mnataka Kadhi! Sasa kama mnaenda ktk majadiliano na 'conclusions' badala ya 'open agenda' mnategemea nini? NO! Mnaonewa na nani? Wakati Kigoma Malima anabagua wakristu katika scholarships mbona hamkusema kitu? Nguruwe kwa mkuki nyie! Mrudishiwe shule zenu, yaweza kuwa sawa. Lakini kwa nini msiseme kwa ukubwa wake kuwa taasisi zote za kidini zilizoporwa shule zirudishiwe zote? Mbona mnapenda kujibagua sana? Mwishowe mtasema mmegewe eneo lenu la waislamu Tanzania. Kamwe itikadi ya kidini haitawapa nguvu za kisiasa; alijaribu Lipumba tangu mwaka 1995 na kukwama hata sasa kaamua kujirekebisha. Wewe ni nani kusema hutaki majengo ya Tanesco? Kama una uwezo huo mrudishie Ben majengo yake na usitupigie kelele hapa na ubaguzi wako. Weka hapa mifano ya jinsi kadhi alivyoimarisha sarafu ya nchi yoyote duniani. Umbumbu wako hujui hata majukumu ya kadhi, hayahusiani na habari za kesi za mafisadi hata kidogo, mwislamu wa wapi wewe? Nahisi ulionja kitimoto kabla ya kuja JF kuchangia hii mada. Chunga sana, tuko makini kuliko unavyofikiri na ndio maana umemsikia mku wa nchi yako akikueleza yale aliyoshindwa kuyasema siku nyingi kwa unafiki wa kiislamu na sasa ameanza kufunguka.....
 
Ccm watu wa fursa wakipata wanachotaka wanakutupa kama dawa ya penzi. Kama vp hiyo mahakama isimamiwe na ccm make ndo waliahidi.
 
Onyesha post niliyoshangilia hata moja humu jamvini hutakuta kwani siwezi kushangilia damu ya mtu ikimwagika dini yangu hainiruhusu hata kidogo na taaluma na elimu niliyonayo hainipi nafasi hiyo. As a liberal person I believe in freedom and fairness siwezi siku moja kushangilia mauaji ya mtu. Ila nyie wadini wakubwa mnashingilia watanzania wenzenu wapigwe mpuuzi na mnafiki we!!!!
Nani asiyekujua wewe na udini wako.
 
Tatizo hamsemi kuwa mnataka MoU, bali mnataka Kadhi! Sasa kama mnaenda ktk majadiliano na 'conclusions' badala ya 'open agenda' mnategemea nini? NO! Mnaonewa na nani? Wakati Kigoma Malima anabagua wakristu katika scholarships mbona hamkusema kitu? Nguruwe kwa mkuki nyie! Mrudishiwe shule zenu, yaweza kuwa sawa. Lakini kwa nini msiseme kwa ukubwa wake kuwa taasisi zote za kidini zilizoporwa shule zirudishiwe zote? Mbona mnapenda kujibagua sana? Mwishowe mtasema mmegewe eneo lenu la waislamu Tanzania. Kamwe itikadi ya kidini haitawapa nguvu za kisiasa; alijaribu Lipumba tangu mwaka 1995 na kukwama hata sasa kaamua kujirekebisha. Wewe ni nani kusema hutaki majengo ya Tanesco? Kama una uwezo huo mrudishie Ben majengo yake na usitupigie kelele hapa na ubaguzi wako. Weka hapa mifano ya jinsi kadhi alivyoimarisha sarafu ya nchi yoyote duniani. Umbumbu wako hujui hata majukumu ya kadhi, hayahusiani na habari za kesi za mafisadi hata kidogo, mwislamu wa wapi wewe? Nahisi ulionja kitimoto kabla ya kuja JF kuchangia hii mada. Chunga sana, tuko makini kuliko unavyofikiri na ndio maana umemsikia mku wa nchi yako akikueleza yale aliyoshindwa kuyasema siku nyingi kwa unafiki wa kiislamu na sasa ameanza kufunguka.....

Wakati umefika wa kujitenga. Mpango maalum unaandaliwa. Uliyoona Sudan, Libya yanakuja TZ.
 
Kusema Waislamu nadhani utakuwa umewasingizia na wengine sema baadhi ya waislamu wenye misimamo tofauti na wenzao...
 
Nani asiyekujua wewe na udini wako.

Wewe ni mpuuzi na mdini mkubwa unafurahia watu wapigwe na dola kisa ni dini tofauti na wewe mjinga kabisa umeniudhi sana utaniita sana mdini lakini mie hunipati again mie ni mtu wa kuamini siasa za fairness and freedom.
 
Kusema Waislamu nadhani utakuwa umewasingizia na wengine sema baadhi ya waislamu wenye misimamo tofauti na wenzao...

Umezungumza point nzuri sana VOR za siku nyingi mkuu. Kuna watu wanapenda kutia fitina tu mie binafsi siungi mkono hichi kitu badala yake nimeridhika na statement ya rais kwani something is better than nothing at all. La muhimu mahakama ianzishwe kusaidia kuondoa backlog ya kesi za mirathi zilizoko katika mahakama zikikosa wa kuhukumu. Masuala mengine tutayazungumza mahakama kuu kunakojadiliwa katiba na kesi zinazogusa katiba. Sasa unapowajumuisha waislamu wote sijui inatokea wapi kwani sio wote wenye msimamo wa kuandamana but kila mtu na ufahamu wake.
 
Nani wa kuigawa waislam milioni tano hakuna wa kuigawa tanzania ni ndoto kupata mnayodai labda muhamie somalia.

Hata kama Waislamu wakiwa 50 tu, Wanaweza kuifanya nchi ikawa kama Somalia ktk dakika chache tu. Halafu utaona kama hao CCM wanaweza kuongoza nchi.
 
Nani wa kuigawa waislam milioni tano hakuna wa kuigawa tanzania ni ndoto kupata mnayodai labda muhamie somalia.

Kwanza waislamu Tanzania wapo 35% ya population compare to christians who are just 30% na subiri sensa ya mwaka 2012 ndio utazimia kabisa. Pili uwaondoe au uwagawe mikoa waliyo waislamu wengi ndio inayochangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa nchi hii hasa miaka 10 ya karibuni nayo ni Dar-es-Salaam, Mtwara, Lindi, Tanga, Morogoro, Kigoma, Tabora, Pwani, Zanzibar.

Mwisho kabisa hata kama wako milioni 5 waislamu wao ni watanzania halisi walioingia mkataba na serikali ya nchi hii kwa kutumia katiba namna ya vp wanataka watawaliwe hivyo sio wewe wala ndugu yako yeyote aliye na uwezo wa kuwafukuza labda uhame wewe na familia yako.
 
Hata kama Waislamu wakiwa 50 tu, Wanaweza kuifanya nchi ikawa kama Somalia ktk dakika chache tu. Halafu utaona kama hao CCM wanaweza kuongoza nchi.

Loh! Naona rangi halisi zinaanza kuonekana sasa!
 
Kwanza waislamu Tanzania wapo 35% ya population compare to christians who are just 30% na subiri sensa ya mwaka 2012 ndio utazimia kabisa. Pili uwaondoe au uwagawe mikoa waliyo waislamu wengi ndio inayochangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa nchi hii hasa miaka 10 ya karibuni nayo ni Dar-es-Salaam, Mtwara, Lindi, Tanga, Morogoro, Kigoma, Tabora, Pwani, Zanzibar.

Mwisho kabisa hata kama wako milioni 5 waislamu wao ni watanzania halisi walioingia mkataba na serikali ya nchi hii kwa kutumia katiba namna ya vp wanataka watawaliwe hivyo sio wewe wala ndugu yako yeyote aliye na uwezo wa kuwafukuza labda uhame wewe na familia yako.

poverty beneath the line
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom