Waislamu kuandamana nchi nzima kupinga speech ya mh Rais JK

Status
Not open for further replies.

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Baada ya mh Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoa speech kwenye baraza la Idd mjini dodoma kwenye msikiti wa Gaddaf. Waislam wametaharuki na kusema kamwe hawakuamini masikio yao kwa nyundo alizoshusha JK na sio kama walivyoahidiwa kwenye kampeni za CCM.

Tayari wameandika barua ya kumuomba kukutana na Rais ili kumshawishi arudie hotuba yake na kama yuko busy watamwandikia nyingine. Timu iliyochaguliwa kumwona Rais iliwasili ikulu leo saa 9 mchana na juhudi za kumpata mh Rais ziligonga mwamba.

Wanadai kama mh Dr. JK hata ridhia mapendekezo yao basi wataandamana nchi nzima kumpinga kwa kuwageuka.

Source. Nguli JF
 
CDM wakiandamana kuwaelimisha wananchi kuhusu hali ngumu ya maisha mnasema waislam tusiandamane ... na maandamano ni kuleta vurugu .... sasa manataka kuandamana nini tena ?
 
CDM wakiandamana kuwaelimisha wananchi kuhusu hali ngumu ya maisha mnasema waislam tusiandamane ... na maandamano ni kuleta vurugu .... sasa manataka kuandamana nini tena ?

Hapo ndio nisivyowaelewa Waislamu, yaani upeo wao unaishia kwenye Mahakama ya Kadhi tuuu! Yaani maisha ni Kadhi tuu hakuna kitu kingine?
 
hawataki kuambiwa ukweli?.mbona jamaa aliwaambia ukweli.ten kwa njia rahisi tu....
 
JK kapata support ya Urais 2010 kupitia mgongo wa Kidini. Katoa ahadi kwa Waislamu; sasa hivi kawatosa. Waislamu wakati umefika kuachana na CCM na JK wao. Time is UP.
 
Arudie hotuba? hawa wana akili kweli?.....wajaribu uchochezi waone kuna virungu toka vichongwe havijatumika.

Walipopigwa chadema kule Arusha wewe ulikuwa ukilalama hapa demokrasia imevunjwa na JK mdini ona sasa unavyojionyesha jinsi gani ulivyo mbaguzi na mdini mkubwa!!!!! Yaani unafurahia watanzania wenzio wapigwe kisa ni waislamu pambafu kabisa.
 
Hapo ndio nisivyowaelewa Waislamu, yaani upeo wao unaishia kwenye Mahakama ya Kadhi tuuu! Yaani maisha ni Kadhi tuu hakuna kitu kingine?

Kweli mkuu. Na nyongeza hapo kwenye red; kwao hoja ni "MASLAHI YA WAISLAM". Yaani ni wabinafsi na wadini ajabu! Sikiliza kwa makini hotuba, barua, risala, makongamano, mihadhara, au hata nyaraka zao mbalimbali - always full "usisi". Hutakaa usikie wakizungumzia maslahi ya umma tofauti na taasisi au dini zingine.

Wapinzani wakiandamana kuishinikiza serikali kuboresha hali za wananchi wote kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kunakosababishwa na sababu mbalimbali tena nyingi zikiwa ndani ya uwezo wa serikali kama ufisadi, Sheikh Mkuu Simba analaani maandamano leo hii yamewakuta wanafikiria kuandamana. Ama kweli wao ni bora kati ya wanadamu.
 
Walipopigwa chadema kule Arusha wewe ulikuwa ukilalama hapa demokrasia imevunjwa na JK mdini ona sasa unavyojionyesha jinsi gani ulivyo mbaguzi na mdini mkubwa!!!!! Yaani unafurahia watanzania wenzio wapigwe kisa ni waislamu pambafu kabisa.

acha unafiki wewe ... muislam aliuwawa kwa unyama wa polisi arusha na jumuiya ya mashekhe walishabikia kwa kumtambua meya na kuilaumu CDM ... nani asiyejua wewe unaongoza kwa udini humu JF
 
Tunataka kadhi,
tunaonewa, nyie mna mou,
na sisi tunataka mou,
turudishiwe shule zetu,
ndiyo, hata yale majengo ya tanesco morogoro,
Ben alijipendekeza tu, hatuyataki, tunataka shule zetu na hispitali zetu tulizonyang'anywa na marehemu nyerere.
Tunataka kadhi ili uchumi wetu ukue, maisha yawe mazuri, bei za bidhaa zishuke, shilingi iimarike, tuwahukumu mafisadi, tunataka mahakama ya kadhi.
 
Walipopigwa chadema kule Arusha wewe ulikuwa ukilalama hapa demokrasia imevunjwa na JK mdini ona sasa unavyojionyesha jinsi gani ulivyo mbaguzi na mdini mkubwa!!!!! Yaani unafurahia watanzania wenzio wapigwe kisa ni waislamu pambafu kabisa.
Walipouwawa waandamanaji kule Arusha ulikuwa ukishangilia piga tena leo unalalamika kwa vile ni waislam acha ubaguzi huo. pambaf zako.
 
acha unafiki wewe ... muislam aliuwawa kwa unyama wa polisi arusha na jumuiya ya mashekhe walishabikia kwa kumtambua meya na kuilaumu CDM ... nani asiyejua wewe unaongoza kwa udini humu JF

Mnafiki ni wewe na wenzio humu JF walipouwawa ndugu zenu Arusha mlipiga kelele sana humu jamvini ila walipouwawa watanzania wenzetu kule Pemba, Unguja, Mwembechai hamkusema kitu. Tunawajua nyie ni wanafiki na JK kawaingiza kingi jana kwa hotuba yake nyote mmejaa na kujulikana rangi zenu kamili za udini wadini wakubwa!!!!!
 
Baada ya mh Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoa speech kwenye baraza la Idd mjini dodoma kwenye msikiti wa Gaddaf. Waislam wametaharuki na kusema kamwe hawakuamini masikio yao kwa nyundo alizoshusha JK na sio kama walivyoahidiwa kwenye kampeni za CCM.

Tayari wameandika barua ya kumuomba kukutana na Rais ili kumshawishi arudie hotuba yake na kama yuko busy watamwandikia nyingine. Timu iliyochaguliwa kumwona Rais iliwasili ikulu leo saa 9 mchana na juhudi za kumpata mh Rais ziligonga mwamba.

Wanadai kama mh Dr. JK hata ridhia mapendekezo yao basi wataandamana nchi nzima kumpinga kwa kuwageuka.

Source. Nguli JF

Inachanganyaaa!! ... Sawa!... Hivi ili kuwa Rais uliyekamilika kabisa .. jambo kama hili unalitatuaje?
 
Kampeni/ njia zinaanza za kuindoa CCM madarakani. Tupo ktk process ya kuanzisha Chama type ya Tea Party kuiondoa CCM, kwa njia ya Mapinduzi.

I'm done with CCM and JK.

hukujua JK is a big lair and a beautiful pretender

for your info .... you have been betrayed
 
Ili kufupisha yasije yakawa mengine, mtoa mada anaficha ujinga wake waonekane kweli waislam ni hovyo, hao waislam nchi hii wamekaa lini na wapi wakaweza kutuma huo ujumbe. Kama wapo ni kundi ambalo haliwakilishi waislam bali baadhi ya waislam kwa hiyo alitaje hilo kundi au akae kimya tusije tukawaonea wailslam tukawapa vidonge vyao.
 
Walipouwawa waandamanaji kule Arusha ulikuwa ukishangilia piga tena leo unalalamika kwa vile ni waislam acha ubaguzi huo. pambaf zako.

Onyesha post niliyoshangilia hata moja humu jamvini hutakuta kwani siwezi kushangilia damu ya mtu ikimwagika dini yangu hainiruhusu hata kidogo na taaluma na elimu niliyonayo hainipi nafasi hiyo. As a liberal person I believe in freedom and fairness siwezi siku moja kushangilia mauaji ya mtu. Ila nyie wadini wakubwa mnashingilia watanzania wenzenu wapigwe mpuuzi na mnafiki we!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom