Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,934
Preta nimekapenda hako kabinti hapo kwenye avatar yako, ni wewe? Mashekhe wengi ni wachawi, wabishi, wanynysaji wa haki za binadamu, wana wivu sana, walalamikaji, wavivu, wajuaji............... kwa hiyo si ajabu kupandkiza chuki kama hizo kwa wenzao, bahati nzuri waislamu wengi siku hizi wameelimika na wanajua pumba ni zipi na mchele ni upi so waendelee tu na mambo yao:blah: