Waislamu huku ni kupotosha jamii

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Wana JF jana nikiwa ktk mkutano wa dini wa kiislamu uku shehe akitoa mafundisho ya dini ila kilichonipelekea mpaka kuleta hoja hii ni mashehe wanampinga vikali yule babu wa Loliondo uku wakimkashifu kwa dini yake ya kikristo wakisema waislamu wasiende uko uku leo asubuhi nikisikiliza radio IMANI ikisema uyo babu ni FREEMASON kwa iyo waislamu wasiende uko.
Kwa kauli iyo je ndugu zangu waislamu ni sahihi?
NAWASILISHA HOJA
 
Mkuu hivi Cardinal Pengo aliposema Kikwete ni chaguo la Mungu, Wakirstu walikuwa wanapotosha Jamii??
 
ni mtazamo wa huyo shee na ilikua mtazamo wa Pengo wala c wa Wakristo!! Napia huyo mchungaji huko Loliondo hamlazmishi mtu,anaeona inafaa kwa imani yake aende mwenye kupuuza akae kmya na asiende wenye uhitaji wataenda!
 
Hebu fikiria maelfu ya watu walioweka fikra zao na imani zao kwa magonjwa yaliyowasumbua kwa mda mrefu alafu anasikia ivyo tena maneno ya kukejeli unategemea nini kitatokea baada ya hao maelfu ya watu kupona? Cha muhimu kila m2 aachiwe na imani kitu anachokiamini na sio kumkatisha tamaa ama kumkejeli.
 
Aneende pale Sheikh Amri Abed akashuhudia watu wanavyo gombania magari yanayoenda kwa huyo babu na kwa taarifa yake tu nauli imefikia laki moja (100,000) na watu bado wanaenda kwa wingi mpaka wanakosa magari.
 
ni mtazamo wa huyo shee na ilikua mtazamo wa Pengo wala c wa Wakristo!! Napia huyo mchungaji huko Loliondo hamlazmishi mtu,anaeona inafaa kwa imani yake aende mwenye kupuuza akae kmya na asiende wenye uhitaji wataenda!

Mbona akili zetu zinashidwa kumtitle kwa kazi yake? suala la uchungaji aliliacha long time, akaanza uganga, kwahiyo sema mganga wa kienyeji wa loliondo. Katika itikadi yako kuna sehemu umepata kusikia mtume unayemfuata kuwa alimuona mungu? iweje huyo mganga amuone? Huyo mganga anatumia majini na ninasikitika sana kuwa elimu ya majini baadhi ya dini huwa hazifundishi, ili wakapata kujua vitimbwi vya majini.

wewe unayedhani shehe kapotosha haupo sawa, kwani hajaongea kwa matwaka yake kaongea kwa kurejea mafundisho sahihi ya dini, labda wewe dini yako haijitosherezi ndio maana hujaambiwa na viongozi wako wazee wa upako. Shehe siku zote lazima atoe tahadhari kwa waumini wake, sasa wewe ukiasi na yakakupata ya kukupata wewe ndiye utakaye jibu kwa muumba wa mbingu na aridhi.
 
Aneende pale Sheikh Amri Abed akashuhudia watu wanavyo gombania magari yanayoenda kwa huyo babu na kwa taarifa yake tu nauli imefikia laki moja (100,000) na watu bado wanaenda kwa wingi mpaka wanakosa magari.

kama hatumii nguvu za giza kwanini asipitishwe katima mahospital yoye nchini kwa ndege? Huyo babu ana nguvu za giza sio bure ndio maana anasema dawa mpaka aiombee yeye.
 
Mkuu hivi Cardinal Pengo aliposema Kikwete ni chaguo la Mungu, Wakirstu walikuwa wanapotosha Jamii??

Cardinal Pengo hajawahi toa kauli kama hiyo labda umepoteza kumbukumbu hebu rekebisha kwanza kauli yako.
 
Aneende pale Sheikh Amri Abed akashuhudia watu wanavyo gombania magari yanayoenda kwa huyo babu na kwa taarifa yake tu nauli imefikia laki moja (100,000) na watu bado wanaenda kwa wingi mpaka wanakosa magari.

Crashwise sasa hivi kuna hadi helicopter zinakwenda Loliondo kupeleka wanaohitaji hiyo dawa.
 
kama hatumii nguvu za giza kwanini asipitishwe katima mahospital yoye nchini kwa ndege? Huyo babu ana nguvu za giza sio bure ndio maana anasema dawa mpaka aiombee yeye.
unataka kumpangia masharti unayo taka wewe...kwanini hataki kupokea pesa zaidi ya 500 na kwanini ukipeleka zawadi anakwambia peleka ukatoe sadaka kwa watoto yatima, makanisani nk...kwanini asikwambiekatambike
 
Mkuu hivi Cardinal Pengo aliposema Kikwete ni chaguo la Mungu, Wakirstu walikuwa wanapotosha Jamii??

Aliyesema Kikwete ni chaguo la Mungu Si Cardinal Pengo bali ni askofu Kilaini ambaye ni personal friend wa JK na alikuwa mwanamtandao. uliza yuko wapi...
 
Mr. Mak, tunajua mnafundishwa ilimu ya majini.
Wakristo wanafundishwa kumjua mungu kumtumikia na mwisho waweze kufika kwake mbinguni.
Nyie mnafundishwa ilimu ya majini ili iweje?
Kumbuka shehe yahaya ni profesa wa ilimu ya majini.
 
na pia isitoshe wakristo wanafundishwa mambo ya nuruni sio gizani....wafundishwe majini yanasaidia nini........ili iweje?.....wakristo hawahitaji kujifunza mambo ya uchawi, kutengeneza majini wala elimu ya nyota.......wanajifunza mambo ya roho mtakatifu ili waijue kweli wawe huru.......
 
usiropoke wakati hujui ukweli anaejifunza uchawi, elimu ya majin, nyote etc ni kwa maslahi yake binafsi na ushetani wake, watabiri wa nyote wote ni waislamu? Mbona kwenye mitandao ya internet kuna watu wengi na wenye kusoma na kuamini nyota zetu ni waislamu??? Kama mnaamini yesu tu mbona mnahaika kutazama horoscope and u believe in it??? Mbona mnaogopa uchawi kama yesu anawasaidia msingeuogopa:)
 
unataka kumpangia masharti unayo taka wewe...kwanini hataki kupokea pesa zaidi ya 500 na kwanini ukipeleka zawadi anakwambia peleka ukatoe sadaka kwa watoto yatima, makanisani nk...kwanini asikwambiekatambike

wewe unaupeo mdogo sana kuelewa elimu ya majini.Tafuta mtu akusomeshe elimu hiyo ili ujue majini ni nini, yanafanya nini,aina zake etc ili upate kujua visa vyao vizuri, ukisha jua wala hutoshangaa kinachofanywa na huyo babu.
 
Mr. Mak, tunajua mnafundishwa ilimu ya majini.
Wakristo wanafundishwa kumjua mungu kumtumikia na mwisho waweze kufika kwake mbinguni.
Nyie mnafundishwa ilimu ya majini ili iweje?
Kumbuka shehe yahaya ni profesa wa ilimu ya majini.

hujareply kama msomi, ila kama bubusa ambaye hajui dini yake. Dini ya kweli lazima ikufundishe +ve and -ve( +ve =elimu ya Mungu na -ve = elimu ya shetani) ili ujue njia sahihi ni ipi. sasa kama dini yako haikufundishi kumjua shetani ni nani haijitosherezi na kuwamakini na huyo mchungaji wako atakuwa anakusanya sadaka tu na kuwapotezea time. Una changamoto ya kujifunza dini, na usiifate kama mkumbo
 
usiropoke wakati hujui ukweli anaejifunza uchawi, elimu ya majin, nyote etc ni kwa maslahi yake binafsi na ushetani wake, watabiri wa nyote wote ni waislamu? Mbona kwenye mitandao ya internet kuna watu wengi na wenye kusoma na kuamini nyota zetu ni waislamu??? Kama mnaamini yesu tu mbona mnahaika kutazama horoscope and u believe in it??? Mbona mnaogopa uchawi kama yesu anawasaidia msingeuogopa:)

Na wasiwasi na elimu yako na upeo wako wa kusikia jambo ukalitafakari na kulitolea jibu sahihi. si kwamba kila mkristo ni muumini na wala si kila muislamu ni muumini. wewe kama akili yako ipo fiti katika kupambanua mambo ulikuwa uulize shehe yahaya anafanya ile kazi je uislamu unasemaje? au wewe kama ni mkrito RC ungeuliza je lile tendo la slaa kuiba mke wa mtu je RC inaruhusu?

Kama unataka kuuliza au kujua jambo katika dini fulani usichukue udhaifu wa mtu halafu ukataka kuufanya ndio msimamo wa dini yake, uliza kwanza. Hilo ni tatizo la kudesa sana kiasi kwamba hata bible yako huisomi unadesa kwa mchungaji, hiyo noma
 
na pia isitoshe wakristo wanafundishwa mambo ya nuruni sio gizani....wafundishwe majini yanasaidia nini........ili iweje?.....wakristo hawahitaji kujifunza mambo ya uchawi, kutengeneza majini wala elimu ya nyota.......wanajifunza mambo ya roho mtakatifu ili waijue kweli wawe huru.......

Yeah right wale manabii wa kila leo na maaskofu wanaozuka na wenye misafara wamefundishwa pia nuruni mbona hamuwaendeikwenye maombi yao, nao pia wanadai ni nguvu za roho mtakatifu au wa kwao ni tofauti na wenu????
 
Back
Top Bottom