Waislamu, wanawake wapo nyuma kimaendeleo. kwanini tusiwakomboe wote?

Status
Not open for further replies.
kama watz sote ni ndugu, lazima tupendane. ikiwa jirani yako ni amekosa chakula ni viozuri kumgaia na sio kukimwaga chakula jalalani kwake ili akiona. kumsema pembeni si suluhusho hasa ukizingatia ni jirani yako. ndie anaekufaa kwa dhiki, ikiwa bado ni jirani mwenye upendo njia pekee ya kumsaidia.
Tunasikia, tunaona na tunaangalia kwamba kuna mataba mawili makubwa ambayo yapo nyuma kimaendeleo. wanawake na waislam. kwa kuwa wanawake wanapigiwa tarumbeta, wansaidiwa wajikomboe, wanasaidia na wanasiasa kupitishiwa sheria ya kila aina wajikombe tabaka hili la pili ambalo watz wote wanaamini wapo nyuma kimaendeleo kwanini nalo tusilisaidie? tusilijengee mazingira kama jirani mwema? kuna ubaya wote kama watz kuwakomboa kwa mbeleko moja?
lkn linapokuja swala maslahi ya waislam, makanisa na baadhi ya wanasiasa huja juu. kwa mfano swala la uchumi yaani OIC.

Hii mada ni ngumu sana. Let us see
 
tatizo ni vikwazo vya Dini yao
Excuse me kukukosoa but nadhani tatizo ni tafsiri ya wanaume. Uislam hauonei mwanamke, ni tafsiri zetu tu.

Mbona hata huko Iran na Afganistan ambapo uislam umepindukia bado kuna wanawake ma daktari, ma lawyers, waalimu na kadhalika? je hao sio wanawake wa kiislam?

Banazir Butho si ni Mwislam pia?
Inawezekana sana kua mwanamke wa kiislam na kusoma. Tatizo sio islam, tatizo ni waislam (sijui naeleweka?)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom