Waislam walalamika Wakristo kujaa kwenye baraza la mawaziri!

Status
Not open for further replies.
Thats aout of EMOTIONAL and myopic thinking. Kila jambo linalotokea wanaliangalia kwa jicho la UDINI. Hata sijui presenters wa hiyo radio/ tv wamesomea vyuo gani. Lazima itakuwa ni madrass tu!!!!

Nimesoma naye Madrassatul Al hamidiya Kibada, ambapo juzi Ustaadhi kampiga kipara mwanafunzi.
 
Uzuri aliyewateua ni muislam, makamu wa Rais muislam, waziri mkuu mkristo so sidhani km wanamtendea haki mwenzao. Yeye hajaangalia DINI kaangalia uwezo wa mtu
 
Hata kama JF Where we dare to talk Openly lakini si kwa hoja za kipumbavu kama hizi,huu ni uchafu,

Muda si mrefu na mashetani nayo yataanza kulalamika mbona ni wakristo na waislam peke yao?
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom