elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,698
yani tanzania tunapoelekea kubaya sikuwahi sikia mambo kama haya kipindi cha nyuma,
Nachijiuliza hivi tunachohitaji ni flani ni dini gani au flani ana uwezo wa kufanya kazi kiasi gani. Mimi sitojali hata kama baraza lote waislamu au wakristo as long as utendaji wao wa kazi ni safi.
Haya mambo yasipoangaliwa kwa upana yataleta tatizo siku za mbeleni maana sasa imegeuka udini kila sekta wakristo wanasema na waislamu wanasema hivi