Waislam walalamika Wakristo kujaa kwenye baraza la mawaziri!

Status
Not open for further replies.
Source: Radio Imaan FM, kipindi cha mwangaza kwa jamii.
 
ndo maana watanzania hawaendelei...
Kutwa kuendekeza udini.....
Mbona rais ni mwislamu? Makamu mwislamu, unataka wakristu walalamike?

Watanzania Badala ya kutafuta njia ya kuendelea mnahangaikia dini......

Ama kweli aliyewaletea dini kawapata!!!!!!!!
 
Kwenye tume ya Katiba mbona waislamu wengi kuliko wakristo.
 
mbona ambao hawana dini hamjawaweka ?, Hindu Je ?..

Acheni hizo dini pelekeni misikitini na makanisani kwenye issue za nchi sidhani kama unatakiwa kujua mistari ya Quran au Biblia.., katiba tu na utendaji kazi wako ndio unatakiwa
 
Ngoja waje hapa akina Ribosome, Tume ya Katiba, Rejao, Ritz ...
 
sipendi kweli mimi haya mambo!! hii ilianza tume ya katiba na tamko la mzee mtei .. JF watu wakaanzisha thread badala ya thread kumtetea mzee mtei kwamba hajateleza...!!

sasa wenzetu nao wamedai hili... !!
 
Kila asemalo kichaa, mwendawazimu au mtu asiyetakia mema nchi sio lazima tuli-report au kuliongelea.., sababu tutakuwa tunaendelea kutema sumu na kuchafua hali ya hewa
 
waislam wengi wameonekana hawawezi, shule tatizo, na kufanya mambo kiimani zaidi kuliko uhalisia...hata hivyo amewahurumia kuwaweka hao, kwasababu hata hao waliopo, hawawezi kazi kabisa...
 
Tufanye kazi tuachane na hayo mambo ya udini na ukabila,baraza lilivunjwa walikuwepo wangapi na walifanya nini?
 
Thats aout of EMOTIONAL and myopic thinking. Kila jambo linalotokea wanaliangalia kwa jicho la UDINI. Hata sijui presenters wa hiyo radio/ tv wamesomea vyuo gani. Lazima itakuwa ni madrass tu!!!!
 
Likiongelewa na kina Mtei ni ushauri nasaha, lakini likitoka kwingine ni udini, na likiwa chungu kabisa lawama zote zinatupiwa CCM
 
Mawaziri Wakristo 21, Waislam 9. Manaibu Wakristo 17, Waislam 8.

Nao wanajiunga group la Mtei. Wanataka kusema watanzania lazima wapewe kazi kwa kuangalia rangi au dini zao hata kama hawana uwezo wa kufanya kazi hizo. Hoja haina mashiko....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom