Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Status
Not open for further replies.
hivi vichwa ngumu ni waislam tu? Mbona chadema kinawakiristo wengi lkn kutwa wanaandamana hadi kutokea viofo huko arusha? Huna hoja wewe kibwegu

haya wewe mwenye hoja jibu hizi hoja.

1. Mnataka nani awe katibu mkuu necta?
2.Tuhakikishie kama madai yenu haya msukumo wa kidini.

3.mmeanza kudhulumiwa mwaka huu au huko nyuma amjawai kudhulumiwa?

4. Tatizo ni ndalichako au dini yake?

5.Tuthibitishie kama unajua utaratibu wa usahihishaji mitihani.
 
hahahah. Ndio unavyojidanganya? Hivi mkufunzi anavyotaka kumadaka mwanafunzi chuo kikuu unadhani hazitumiki number? Kwa hivyo necta hakuna majina kuna number tu. Mbona kwenye matokeo yanatoka majina?

Kama unaamini Waislamu wana felishwa maksudi tupeni evidence hapa. HV mtu anasahihisha mitihani kumfelisha mwiislamu kwa maslahi yepi jamani ?Ufuatiliaji ufanyike kubaini kama wanafunzi waliokuwa wanafanya vizuri darasani katika shule za kiislamu wamefelishwa ktk mtihani wa Taifa.
 
hahahah. Ndio unavyojidanganya? Hivi mkufunzi anavyotaka kumadaka mwanafunzi chuo kikuu unadhani hazitumiki number? Kwa hivyo necta hakuna majina kuna number tu. Mbona kwenye matokeo yanatoka majina?

......so,unahisi hao necta wanawafanyia hivyo ili wenyewe wapate nn?au kuna kitu nyuma ya pazia hapa?manaake nafikiria hata cpati jibu,mantiki ni nn hasa?hizo marks za dini zinawasaidia kuingia vyuoni au kupata ajira?
 
kinachashangaza wakiingia vyuoni wanatia aibu. Div 1 ya ndalichako haina kitu. Wanapitwa hata div 111 za waliohujumiwa. Hii ni aibu kwa ndalichako. Itabidi pawe na mkakati madhubuti wa kuficha aibu hii kwa kuwapeleka vyuo vya st

kaazi kweli kweli!!!!!!!!
 
......so,unahisi hao necta wanawafanyia hivyo ili wenyewe wapate nn?au kuna kitu nyuma ya pazia hapa?manaake nafikiria hata cpati jibu,mantiki ni nn hasa?hizo marks za dini zinawasaidia kuingia vyuoni au kupata ajira?
nini maana ya ajira kwa mtazamo wako? hivi unaweza kutuwambia dk slaa ana phd ya nini? acha jazba na chuki zisizo miguu. Ndalichako ni genge lilojikita pale kuwahujumu waislam
 
nini maana ya ajira kwa mtazamo wako? hivi unaweza kutuwambia dk slaa ana phd ya nini? acha jazba na chuki zisizo miguu. Ndalichako ni genge lilojikita pale kuwahujumu waislam

....sina jazba mkuu,kwa roho safi,nataka kuelewa kuna nn nyuma ya pazia?..na kwnn huyo ndalichako awahujum waislam?
 
Walipaswa kunyamaza tu kwasababu pamoja na marekebisho yaliyo fanywa bado zimejaa FFFFF ....tu. Wakubali yaishe kwamba safari hii mambo hayakuwa mazuri.
 
nini maana ya ajira kwa mtazamo wako? hivi unaweza kutuwambia dk slaa ana phd ya nini? acha jazba na chuki zisizo miguu. Ndalichako ni genge lilojikita pale kuwahujumu waislam

Yaelekea wewe ulizungusha. Sasa hasira unizielekeza NECTA. Lakini uwezo wako wa kujenga point unaonyesha kuwa ulistahili hyo zero.
 
hahahah. Ndio unavyojidanganya? Hivi mkufunzi anavyotaka kumadaka mwanafunzi chuo kikuu unadhani hazitumiki number? Kwa hivyo necta hakuna majina kuna number tu. Mbona kwenye matokeo yanatoka majina?

Majina hutumika mwishoni ndugu,lengo la kutumia namba ni msahihishaji kutokujua anamsahihishia nani,baadaya mitihani yote kusahihishwa anayehusika kurekodi matokeo kwa majina ni mtu mwingine kabisa na sio msahihishaji na wafanyakazi wa NECTA sio wote wakristo
 
acha uzushi wewe. NECTA HAIKO mbinguni ipo Dar. usipindishe mfumo.
 
Yaelekea wewe ulizungusha. Sasa hasira unizielekeza NECTA. Lakini uwezo wako wa kujenga point unaonyesha kuwa ulistahili hyo zero.

hahaha. mimi nilipokutana na div 1 NDALICHAKO za sem ndipo nilipochoka. yaani unagundua wazi kwamba ndani ya NECTA KUNA MADUDU MAKUBWA
 
Umegundua eee!! Haiwezekani ukawa na madai "X" kutoka kwa "B" lakini ukachoma majengo "A" yanayomilikiwa na "Y"

Inafanana na ile ya case ya mgonjwa wa kichwa kupasuliwa mguu na wa mguu kupasuliwa kichwa!
 
kuna wakati huwa najiuliza kama kuna watu kama ndugu yetu hapo juu wanawahujumu waislam humu jf kwa kujifanya wao ni waislam kumbe lengo lao ni kuudhalilisha uislam...lakini kinachosikika kwenye radio imaan/annur/mihadhara ni hichohicho anachokisema madau hapo juu...nadhani waislam wenye busara zao inabidi waingilie kati amasivyo haya matope mashehe wanayoupaka uislam yatakuja kuifanya dini ya kiislam idharaulike kama ya wavuta bangi na wala unga tu...

Pamoja mkuu you have a point !
 
kinachashangaza wakiingia vyuoni wanatia aibu. Div 1 ya ndalichako haina kitu. Wanapitwa hata div 111 za waliohujumiwa. Hii ni aibu kwa ndalichako. Itabidi pawe na mkakati madhubuti wa kuficha aibu hii kwa kuwapeleka vyuo vya st

Umefanya utafiti ktk vyuo vingapi? unataka kutuaminisha kuwa Wakristo hawapati Daraja la kwanza vyuoni?
Acha habari za vijiwe vya kahawa. Mtabaki kulalama wenzenu wanasonga mbele.
 
ndalichako hujui kama katumwa na kanisa? Au unataka alaumiwe nani?

mkuu hebu fikiria kwa makini! Hiyo mitihani ya islamic knowledge si huwa inasahihishwa na wakufunzi waislamu? Ss hapo hujuma inatokea wapi?
Basi nishapata picha kuwa tatizo si kufelishwa bali tatizo ni udini unaosumbua watu, kwann hawataki waziri kawambwa ambaye ni muislamu awajibike na badala yake mnataka huyo mama Grace awajibishwe!
Sometimes nataka kuamini maneno ya karl max kwamba "religion is the opium of the people"
 
kwani limejificha? Mbowe angalihaha. Maana maslahi ya chama chake yangalikuwa hatarini

SAsa unatetea dini au CCM???.
MBONA MMESHINDWA KUANDAMANA?
UMEBAKI KUPIGA DOMO TU, LETE USHAHIDI KAMA WAMEANDAMANA.
CHEZEA POLISI WEWE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom