Waislam Tunadhulumiwa na BAKWATA, Sasa Twasema Basi

Nakuunga mkono ,wanachofanya bakwata ni utashi wa kibinadamu wala sio dini kwani wamekurupuka baada ya kuwekwa sawa na ccm.wasifanye waislam wote wajinga hivi sasa watu tume elimika
 
Back
Top Bottom