Waislam msiende liliondo- redio kheir

:shock: du wewe kiboko kwa hiyo waislam wa huko kwenu temeke ndio unafanya Reference, Waislam ndio wanaongoza?
 
SeanJr,kny kuelimishana usiwe mtu wa jazba sana punguza munkari. Wapi yesu anasema mie Bwana(Mungu)?? Zaidi anasema yeye ni Mjumbe tu km Muhammad(S.A.W). Soma vzr Yohana 17:3-4, pia soma Luka18:18 apo ana maana Mungu mmoja ambaye alimtuma km walivyotumwa wengine akina Musa. Soma vzr acha ushabiki wa dini.[/QUO
TE]<br />
<br />
Ndugu,usidonoedonoe tu vifungu vya biblia ambavyo unaona vinaweza kukusaidia kujenga hoja zako. Biblia haisomwi hivyo. Omba Mungu akusaidie kuielewa Biblia na vitabu vyake vyote kwani maelezo yake yanategemeana na yanahitaji utulivu wa roho,akili na mwili kuweza kuyaelewa. Kwa msaada mdogo naoweza kukupa,ukitaka kufahamu Mungu ni nani na Yesu ni nani na wana tofauti gani kama ipo,soma injili ya Yohana Mtakatifu Sura ya Kwanza,Aya ya kwanza mpaka ya therasini na nne-YOH 1:1-34.utapata mwanga.
 
maneno ya busara yanasema 'usiangalie ulipoangukia bali pale ulipojikwaa' wanachofanya waislamu ni retaliation kutokana na kuhujumiwa na wabeba misalaba wakiongozwa na marekani. Iraq ilikuwa ni nchi salama wakati wa sadam, palestina ilikuwa nchi salama kabla ya kuvamiwa na mayahudi, afghanistani ilikuwa ni nchi salama kabla ya kuvamiwa na marekani. Haingii akilini mtu aje nyumbani kwako auwe familia yako na abake mkeo na binti zako halafu umkenulie meno huo utakuwa ni ukhanithi.
wakitaka amani ktk nchi za kiislamu waache kuingilia mambo ya waislamu na kuacha kuropokaropoka kama watoto wa kike eti ooh wanamiliki silaha za maangamizi(wakati wao ndio watumiaji wa silaha hizo ktk vita), ooh wanaoa wake wanne(lakini wao hawaoni tabu kumiliki vimada ishirini), ooh wana wivu sana, ooh wanatuzuia kuona miili ya dada zao(lakini hawaoni mavazi ya watumishi wao makanisani), ooh wanatuzuia kuzini kwa kutuchapa bakora miamoja (wakati kuna watu wanawakata nyeti wagoni wao na hawachukuliwi hatua yoyote), ooh wakimkamata mwizi wanamkata mkono (wakati wengine wanawachoma moto na kuwapiga risasi ingawa hawalaumiwi), ooh inatuuma sana kwanini nchi zao zina utajiri wa mafuta, ooh sijui nini na nini.
Sasa ili amani ipatikane acheni kuchonga midomo yenu na kuingilia mambo yasiyowahusu.

Kama chuki za waislamu dhidi ya wasio waislamu zingeanza pale Marekani ilipovamia Iraq, Afghanistan, nk ningekuelewa! Lakini Muhammad, mtume wenu alichinja mtu yeyote aliyetofautiana naye! Huo hasa ndio mzizi wa chuki iliyopo katika dini ya Kiislamu! Hayo ya Marekani ni kisingizio tu maana isipokuwepo Marekani mtaanza kulipuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa Iraq vs Iran, Iraq vs Kuwait, nk!
 
Ukinipa verses from Qur-an zinazosema
JIHAD=TERRORISM basi mie ndo wa kwanza kuiacha dini ya kiislamu leo hii.
Nipe aya zinazosema Jihad=ugaidi=kuuwa non muslim innocent km zipo. Hutapata ata aya 1. Haya nasubiria ushahidi wako. Huwa sipendi kuongea bila evidence.

Haaa haaaa! Wewe unafikiri wanaojilipua "kwa njia ya Allah" wanatoa wapi aya? Kamuulize sheikh wako atakupatia aya ya Quran!
 
Duh kazi ipo apa ila ndo kazi yangu kuelimisha umma ili kutoa ujumbe abt Islam. Hayo yote yanayozungumzwa ni propaganda against Islam na kiongozi wao U.S. Nani anao ushahidi kuwa Uislamu ndo umepanga matukio uliotaja wewe likiwemo la Sept11,2001?? U need to be aware na western Media pamoja na propaganda zao. Media inayo uwezo wa kusema lolote baya na wenye akili fupi wakaamini bila kufanya research. Turudi kny mada madai yako sasa, Nini maana ya Terrorism/terrorist? Jibu utapata anayeuwa kuanzia watu 2 innocent na kuendelea tutamuita Terrorist. Kama leo utaulizwa nani Gaidi wa 1 dunian jibu ni George Bush na majeshi ya U.S ingeneral. Kauwa watu innocent Afghan,Iraq etc. Huku akisingizia anapambana na ugaidi+silaha za maangamizi Iraq(hamna ata silaha moja mpk leo) na Tony Blair yuko kikaangoni U.K kwa kuingia mkenge wa vita visivyo na sababu. Shame on U.S kwa mauaji. Kny tukio la Sept11 kwa yeyote aliyehusika UISLAM hauruhusu mauaji ya innocent popote pale kny ardhi hii. Qur- an imekataza kuuwa asiye na hatia,kufanya hivyo ni sawa umeuwa dunia nzima. Swali je Bush na washirika wake wameuwa watu wasio na hatia wangapi mpk sasa?? Uislamu hautetei mauaji ya aina yeyote kwa wasio na hatia. Naomba uelewe hivyo ndugu. Nakushauri usiwe mtu wa kuamini sana western media hutapata ukweli hata siku moja. Nakupa mfano mdogo tu,unapoangalia CNN au BBC wakionyesha Africa/TNz utaona sehem chafu chafu au kijijin na hautaona sehem zenye mandhari mazuri. Na hii inatoa taswira kwa watu wao kuwa africa ni sehem ya mabalah tu jambo ambalo si kweli. Hizo ndo western Media.
So inapotokea mtu mwenye jina la kiislamu akafanya ovu utaona Heading kuubwa Muslims are..... Kosa la mtu mmoja tu. Nakuuliza swali dogo tu, Adolf HITLER(mkristo) aliuwa Mayahudi 6,000,000 je wakristo wote wauwaji(magaidi)??? Kisa mkristo mmoja(Hitler) kateleza? Kaa chini then utafakari ukiwa muungwana utapata majibu sahihi na hizi propaganda.

A

"uislam haurusu kuuwa innocent people" kwa hiyo inarusu kuuwa bt not innocent people" then its killing.
 
km kunamtu alisikiliza clouds fm ijumaa iliyopita usiku MUrry B alifanya mahojiano na dada mmja aliye jitambulisha kwa jina la Kuruthumu Juma alisibitisha kupona kisukari baada ya kunya dawa ya babu, wange mtafuta ili awape somo.

mdogo wangu ngoma ckuizi ni kisukari" maana yake kapona ngoma.
 
"uislam haurusu kuuwa innocent people" kwa hiyo inarusu kuuwa bt not innocent people" then its killing.
Hata sheria km za apa dunian zinasema mtu akiuwa kwa kusudi naye auwawe limeona hilo unategemea Islam dini isione
Kifungu kidogo km icho? Kwa yeyote aliyeuwa kusudi uislam unaruhusu nae auwawe. Hiyo ndo maana ya kutouwa wasio na hatia na kuuwa wenye hatia(wauaji). Usikurupuke kijana think 1st.
 
huyu babu mchungaji hana tofauti na wale maaskofu wanao dai kuponyesha vilema, vipofu na viziwi pale jangwani ilhali kuna waumini wao wengi tu wenye ulemavu.
Na hapa ndipo ninapo tilia shaka juu ya uwezo wenu wa kujudge viongozi wenu kwa kauli zao ktk jina la maono.
Naamini kama siku askofu akiota njozi zake na kudai atakae leta mali yake yote na kujitia kitanzi atauona ufalme wa mungu, bila shaka kesho yake tutazika maiti nyingi zilizo acha ufukara ktk familia zao.
Kwani hili lilithibitika kwa wafuasi wa kibwetere.

Mbona Alqaida Hujilipua ili wapate thawab
 
Kama chuki za waislamu dhidi ya wasio waislamu zingeanza pale Marekani ilipovamia Iraq, Afghanistan, nk ningekuelewa! Lakini Muhammad, mtume wenu alichinja mtu yeyote aliyetofautiana naye! Huo hasa ndio mzizi wa chuki iliyopo katika dini ya Kiislamu! Hayo ya Marekani ni kisingizio tu maana isipokuwepo Marekani mtaanza kulipuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa Iraq vs Iran, Iraq vs Kuwait, nk!
Shia vs Sunni
 
SeanJr,kny kuelimishana usiwe mtu wa jazba sana punguza munkari. Wapi yesu anasema mie Bwana(Mungu)?? Zaidi anasema yeye ni Mjumbe tu km Muhammad(S.A.W). Soma vzr Yohana 17:3-4, pia soma Luka18:18 apo ana maana Mungu mmoja ambaye alimtuma km walivyotumwa wengine akina Musa. Soma vzr acha ushabiki wa dini.[/QUO
TE]<br />
<br />
Ndugu,usidonoedonoe tu vifungu vya biblia ambavyo unaona vinaweza kukusaidia kujenga hoja zako. Biblia haisomwi hivyo. Omba Mungu akusaidie kuielewa Biblia na vitabu vyake vyote kwani maelezo yake yanategemeana na yanahitaji utulivu wa roho,akili na mwili kuweza kuyaelewa. Kwa msaada mdogo naoweza kukupa,ukitaka kufahamu Mungu ni nani na Yesu ni nani na wana tofauti gani kama ipo,soma injili ya Yohana Mtakatifu Sura ya Kwanza,Aya ya kwanza mpaka ya therasini na nne-YOH 1:1-34.utapata mwanga.
Yani kadri navyosoma Biblia nazidi kuona yesu akithibitisha mengi kuwa yeye mtume. Nimesoma unayosema hamna sehem point na huu uzushi anapinga mwenyewe Yesu soma hapa from YOHANA 5: 30-47. Anauliza kama msipomuamini Musa mtawezaje kumuamini yeye yesu? Nani asiyejua Musa alikuwa Nabii km Yesu au Muhammad tu? Na kupigilia msumari bado Yesu anasema hapa kaja kutimiza Taurati ya Musa, soma MATHAYO 5: 17-20.
Dah nyie wakristo mnakwama wapi? Someni biblia msifatishe maneno ya wachungaji wanaokimbia vifungu km ivyo.
 
Mbona Alqaida Hujilipua ili wapate thawab
Lete facts. No research no talk. Wapi Qur-an imesema ukijiuwa unapata thawabu??
Na je km Alqaida wanafanya ivyo wao ndo
Waliotunga Qur-an na waanzilishi wa dini ya kiislamu mpaka wawe reference? Ok, Adolf Hitler na akina Musolin waliuwa watu wengi je Wakristo wote tuwachukulie reference from Hitler kuwa wauwaji? Refer Hitler alipouwa Mayahudi 6,000,000. Je mkristo wewe ndo km Hitler kitabia? Nitashukuru ukinipatia majibu ya maswali marahisi km hayo.
 
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI

Kwa hiyo, Waislamu walioenda wakapona itawezekanaje kuwarudishia ugonjwa wao wa awali ili wawe kama hawajapona na hawajaenda Loliondo kulingana na hiyo Radio Kheri? Wifi wa mke wangu yuko Mwanza na ni Mwislamu mzuri sana na anapanga kwenda kumwona huyo "babu" kwa vile amekuwa akisumbuka sana na tatizo lake bila kupona na mwezi Desemba alikuja hapa Dar es Salaam akaelekezwa kuna sheikh mmoja anaweza kumsaidia, akaenda lakini hakupata nafuu yoyote. Binafsi naona inategemea imani ya mtu na siyo kuamrishwa na mtu, ambaye hata hachangii huduma yoyote ya tiba ya mhusika. Kama Radio Kheri wanatoa msaada wa tiba kwa Waislamu wenye magonjwa sugu na wanapona, wanaweza kuwakataza. Lakini kama ni maneno tu, hawaoni ndani!
 
Yani kadri navyosoma Biblia nazidi kuona yesu akithibitisha mengi kuwa yeye mtume. Nimesoma unayosema hamna sehem point na huu uzushi anapinga mwenyewe Yesu soma hapa from YOHANA 5: 30-47. Anauliza kama msipomuamini Musa mtawezaje kumuamini yeye yesu? Nani asiyejua Musa alikuwa Nabii km Yesu au Muhammad tu? Na kupigilia msumari bado Yesu anasema hapa kaja kutimiza Taurati ya Musa, soma MATHAYO 5: 17-20.
Dah nyie wakristo mnakwama wapi? Someni biblia msifatishe maneno ya wachungaji wanaokimbia vifungu km ivyo.

Ulichokifanya ni kusoma biblia na kukariri (memorise) vifungu fulanifulani. Lakini Biblia haisomwi hivyo. Lazima usome kwa kutafakari na ukisoma kwa kutafakari utapata fundisho fulani na siyo kuishia kukariri maneno au mpangilio wa sentenso. Kuna msemo ambao huwa napenda kuutumia kuonesha tofauti na kukariri. Nao ni huu: "The camel is the ship of the desert". Kwa mtu anayesoma na kukariri maneno atasema: Ngamia ni meli inayopita jangwani, ambako kuna bahari. Anayesoma kwa kutafakari atasema: kama meli ilivyo chombo cha usafiri baharini/ziwani, vivyo hivyo na ngamia jangwani. Kwa hiyo, ngamia siyo meli bali inafaninishwa tu na meli kutokana na ustahimilivu wake jangwani kama ilivyo meli baharini. Biblia nayo inabidi isomwe hivyo. Kwa hiyo, kama umasoma narrative fulani lazima ujiulize narrative hiyo inafundisha nini? Context yake ni nini? Primary addressees wake ni akina nani? Secondary addressees wake ni akina nani? Na pia fundisho lake ni nini? Ukifanya hivyo, ndipo huwa umesoma biblia kwa namna inayotakiwa! Kwa upande mwingine, kama umesoma na hupati fundisho lolote (hujaguswa kutafakari zaidi ulichokisoma) ni sawa na mtu, ambaye hajwahi kuisoma kabisa!
 
Lete facts. No research no talk. Wapi Qur-an imesema ukijiuwa unapata thawabu??
Na je km Alqaida wanafanya ivyo wao ndo
Waliotunga Qur-an na waanzilishi wa dini ya kiislamu mpaka wawe reference? Ok, Adolf Hitler na akina Musolin waliuwa watu wengi je Wakristo wote tuwachukulie reference from Hitler kuwa wauwaji? Refer Hitler alipouwa Mayahudi 6,000,000. Je mkristo wewe ndo km Hitler kitabia? Nitashukuru ukinipatia majibu ya maswali marahisi km hayo.

Nadhani ungejibu kwanza swali lake vizuri tu bila hasira na kumwelimisha na kisha na wewe kumwuliza ili akuelimishe kuhusu Hiter na Mussolini. Lakini ulivyojibu, unaonesha kama Hitler na Mussolini walikuwa wauaji na walikuwa Wakristo (kama unavyodai), basi hata Alqaida kujilipua ni ruksa kwa vile ni Waislamu. Pili did Hitler and Mussolini kill in the name of their religious belief or political motives as Alqaida claim they are doing it in the name of Allah? Do, you get the point?
 
PUMBA, ongea kwa mifano nshakuelezea juu ila unataka kuwapotezea watu muda.
Ndo nawe upo kny kundi la Greatthinker?? Go back and Thinktwice kny izo propaganda. Km Uislamu ndo ugaidi mbn tangu Sept11 itokea waUSA wengi walitaka kujua ukweli na ndo hao wanaosilimu kila kukicha? Soma mzee usiwe mtu wa kuchota maneno ya vijiweni na fix za kny Bar wkt mshalewa.
Kaka usisumbuke bure huyo jamaa jela imemuharibu nina wasi wasi wamemchakachuwa alipokuwa jela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom