Waislam (batamiki) kuisalia dua chadema

Crap...

Amma kweli, mfamaji haishi kutapatapa, na sasa tunahakikisha wakuja haishiki tena hii nchi. Halafu mkaungane na wooote wanaotuzunguka. Kuna zaidi ya Mkatoliki?

Nyie mnaojidai wakiristo ambao sio wakatoliki, niambieni, ni yupi kati yenu asiye Mkatoliki akashika uongozi wa nchi yoyote kati ya hizi za Afrika Mashariki? Mkisha jibu ntawapa mkasa.
 
Hivi tunahesabu kuwa rais ni mkatoliki au tunachagua kutokana na sera? Faiza Nyerere ruled for 25yrs na hakuna mkatoliki au muislamu au mlutheri au asiye na dini mwingine atakayeongoza kwa kipindi kirefu kama hicbo tena, lest they change constitution which is unlikely....

So please accept that and live
 
Amma kweli, mfamaji haishi kutapatapa, na sasa tunahakikisha wakuja haishiki tena hii nchi. Halafu mkaungane na wooote wanaotuzunguka. Kuna zaidi ya Mkatoliki?

Nyie mnaojidai wakiristo ambao sio wakatoliki, niambieni, ni yupi kati yenu asiye Mkatoliki akashika uongozi wa nchi yoyote kati ya hizi za Afrika Mashariki? Mkisha jibu ntawapa mkasa.

duh, dada upo? Aise nilikumic mno. Sikujua kuwa umerudi! Hebu tupe mkasa dada yangu.
 
Jamani wenzetu waislamu tuwaombee mazuri wakati wao wanajiandaa kuiombea CHADEMA mabaya.Lakini nitoe angalizo kwamba hakuna Mungu wa hivyo wawe wazi tu kwamba wanajiandaa kuloga-kufanya uchawi.
Hivi kweli kuvuliwa ushungi kwa mhalifu imefikia huko?kuna waislamu nawaheshimu na ni marafiki zangu,ngoja niulize wana JF.
WAISLAMU:wanaingia baa wamevaa vibalagshee(sijui kuandika sahii mniwie radhi) na wanakunywa pombe,wanaingia baa wamevaa baibui na wanakunywa pombe,wanavaa baibui plus hijjab wanaenda nyumba ndongo,wengine wengi tu tunagonga nao Kitimoto tena wengine walishawahi kuwa ma-imam na wanaijua quran.lakini vipi viongozi wa CCM ambao ni waislamu lakini ni mafisadi wa kutupwa na wanasababisha kina mama waja wazito na watoto kufa kwa kukosa dawa,Mwigulu Nchemba aliefumaniwa na mke wa ustaadhi,watu wengine tumekuwa tukinywa nao pombe wakiwa wamevaa kanzu,jamani ni mengi mno Je hayo yote hayaudhalilishi uislam?au muislam ni mpaka awe DC tu ndo mseme?au mwislamu ni mwana CCM tu?Niliwahi kusema hapa janvini,vipi kuhusu ulaghai mliofanyiwa kuhusu mahakama ya kadhi?mbona hamjipangi kusoma dua?
Hata hivyo haya ni mambo ya kitoto,hivi kweli waislamu wa Tanzania ndio wenye uchungu sana na uislamu tena umechochewa leo kwa kitendo cha mhalifu DC wa Igunga ambaye alikuwa anafanya kitendo cha uvunjifu wa amani.
Hao waarabu ambako ndiko dini hii ilikoanzia hawajui kuomba dua?au wameshaomba hiyo dua kiasi kwamba Marekani imefilisika kuliko TZ,mbona hamujipangi kuiombea dua Marekani?si inawachapa kila siku,achani vitisho,hiyo sio dua semeni uchawi,lakini kwa faida yenu kila mtu amezaliwa siku moja na atakufa siku moja,na kila mwanadamu ana-generation yake hivyo hamjui hao viongozi wa CHADEMA walitoka wapi.
Na hilo mnalotumwa na CCM litawaponza mtakuja kulijutia na magamba mnayoyasifia na kuyasaidia.kama hao CCM wenu ni wema na wanaitendea haki nchi hii kuna haja gani wote wamehamia Igunga?
Bwana ee nyie logeni tena naona mnachelewa kwanini mnasubiri J4
 
Masheikh wataomba kwa Mwenyeezi mungu dua na wewe omba dua yako mungu nae akusikie kwa dua yako.

Mungu wangu ni mtakatifu, na hapokea dua za ajabu ajabu. Wewe utamuombaje Mungu amshushie majanga adui yako? Muombe Mungu amsaidie awe na tabia njema na afuate mafundisho ya Mungu, hapo ndio utakuwa umemsaidia na sio kumkomoa. Mimi sioni tofauti kati ya hiyo dua watakayoomba na UCHAWI! Maana wachawi ndio wanaowatakia wenzio mabaya.
 
Jamani wenzetu waislamu tuwaombee mazuri wakati wao wanajiandaa kuiombea CHADEMA mabaya.Lakini nitoe angalizo kwamba hakuna Mungu wa hivyo wawe wazi tu kwamba wanajiandaa kuloga-kufanya uchawi.
Hivi kweli kuvuliwa ushungi kwa mhalifu imefikia huko?kuna waislamu nawaheshimu na ni marafiki zangu,ngoja niulize wana JF.
WAISLAMU:wanaingia baa wamevaa vibalagshee(sijui kuandika sahii mniwie radhi) na wanakunywa pombe,wanaingia baa wamevaa baibui na wanakunywa pombe,wanavaa baibui plus hijjab wanaenda nyumba ndongo,wengine wengi tu tunagonga nao Kitimoto tena wengine walishawahi kuwa ma-imam na wanaijua quran.lakini vipi viongozi wa CCM ambao ni waislamu lakini ni mafisadi wa kutupwa na wanasababisha kina mama waja wazito na watoto kufa kwa kukosa dawa,Mwigulu Nchemba aliefumaniwa na mke wa ustaadhi,watu wengine tumekuwa tukinywa nao pombe wakiwa wamevaa kanzu,jamani ni mengi mno Je hayo yote hayaudhalilishi uislam?au muislam ni mpaka awe DC tu ndo mseme?au mwislamu ni mwana CCM tu?Niliwahi kusema hapa janvini,vipi kuhusu ulaghai mliofanyiwa kuhusu mahakama ya kadhi?mbona hamjipangi kusoma dua?
Hata hivyo haya ni mambo ya kitoto,hivi kweli waislamu wa Tanzania ndio wenye uchungu sana na uislamu tena umechochewa leo kwa kitendo cha mhalifu DC wa Igunga ambaye alikuwa anafanya kitendo cha uvunjifu wa amani.
Hao waarabu ambako ndiko dini hii ilikoanzia hawajui kuomba dua?au wameshaomba hiyo dua kiasi kwamba Marekani imefilisika kuliko TZ,mbona hamujipangi kuiombea dua Marekani?si inawachapa kila siku,achani vitisho,hiyo sio dua semeni uchawi,lakini kwa faida yenu kila mtu amezaliwa siku moja na atakufa siku moja,na kila mwanadamu ana-generation yake hivyo hamjui hao viongozi wa CHADEMA walitoka wapi.
Na hilo mnalotumwa na CCM litawaponza mtakuja kulijutia na magamba mnayoyasifia na kuyasaidia.kama hao CCM wenu ni wema na wanaitendea haki nchi hii kuna haja gani wote wamehamia Igunga?
Bwana ee nyie logeni tena naona mnachelewa kwanini mnasubiri J4

heheheeee. Hapo umewagusa.
 
Hakuna haja ya kuwaomba msamaa,haya ni mabo ya kitoto.Hata walete masheh kutoka uarabuni hakuna kibaya kitakachowapata viongozi wa CHADEMA,kwani wao wanalindwa na mungu wa kweli!!
 
Uongozi wa sasa ni waKiislaam, kweli kabisa, maana kwa sasa zinafatwa Sharia!

Sasa tunataka uongozi usio wa Kiislaam, jee unafata nini?

hahaa haaa Kikwete ni Mwislamu??? kama kweli yeye ni mwislamu wa kweli ipo siku papa wa vatican atatokea jamaica...
Uongzi usio wa Kiislamu unafuata Sheria sio hiyo Sharia
 
Pamoja na yote uliyoyasema Kumvua Mwanamke wa kiislam kilemba alichovaa yaani ni hijabu ni sawasawa na kumdhalilisha Mwanamke wa kiislam, kinachotakiwa hao viongozi wa chadema waombe msamaha tu kwa waislam. Kwani kuomba Msamaha ndio heshima yako itapotea? Kwa Mfano wewe unatembea njiani na mama yako mzazi ametokea mtu humjuwi amemvua kilemba mama yako kichwani je wewe utafurahi na kitendo hicho alichokifanya huyo Mtu? Waswahili husema mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu ni mchungu waombe Radhi viongozi wa chadema ili yaishe mambo ya kuomba dua.

Yaani na wewe kumbe hua una pumba kiasi hiki?
bora ningeendelea kukusoma JF Doctor tu,...

Nambie sheria za kiislam zinasemaje kuhusu mwanamke wa kiislamu
aliye olewa na mwanamke
 
Hawa ni wapuuzi kama kweli wana uwezo huo basi wasome dua iliMahakama ya Kadhi iwepo na kesho Tanzania iingie OIC waache njaa zao hapa .Hawana kazi these are jobless wanatakiwa kuwa jela hawa muda huu wanatumia vibaya funds za waislam wenzao .CCM imeona hakuna vyama vya msimu sasa wameanza mambo hayo hahahaha.Bado sana .

Kuombea Chadema sijui ujinga gani means kila mwanachama wa Chadema na mpenzi wake atakuwa kama waatakavyo au wameona moto mkali kwa viongozi hawa hongeki wala kubabaika ndiyo wameingia msituni ?

Waislam bwana ndiyo maana nakubaliana na George Bush sometimes .Hawa wantakiwa wakae kwenye sayari yao wenyewe si kukaa na sisi watu Duniani .

Wanakera mno for sure .

Sema mkuu, mimi huwa napata hasira nikisikia upupu wa hawa jamaa.......!
 
Dua ,khaaaa
Kama dua kweli zipo mungesha iharibu usa na marais wake wote wanaowachapa waislam kila kukicha
Lakini wapo wanakula bata tu na kichapo kama kawa kwa gia ya ugaidi na haki za binadamu
leo ndio muwaombee dua mbaya watu walikuwa kisiasa zaidi hata bila kujua wanazalilisha huo uislam

Tofauti kubwa kati ya uislam na ukiristo ni kwamba
Ukristo una sisitiza amani na upendo,
Uislamu bana jino kwa jino, kata mkono, ponda mawe,kuomba Alah adhibu watu, yaaani tabu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom