Waislam (batamiki) kuisalia dua chadema

Kama kweli cdm wanakosa kwenye hili basi dua itawadhuru lakini kama sio na iwadhuru masheikh watakao omba hiyo dua
 
Ukiijua kweli wala hupati shida na mikesha ya ibilisi,....Neno la Mungu linasema.....
Isaiah 54: 17
no weapon forged against you will prevail, and you will refute every tongue that accuses you. This is the heritage of the servants of the LORD, and this is their vindication from me," declares the LORD

na pia linasema,.......

Romans 8:28-31
If God is for us, who can be against us?"
 
Kama kweli cdm wanakosa kwenye hili basi dua itawadhuru lakini kama sio na iwadhuru masheikh watakao omba hiyo dua

Hakuna kitu hapa, tusidanganyane. Ndugu zangu Waislam kweli kuna haja ya kuwa makini ktk matamko yenu. Mtaifanya imani hii kushakiwa na waumini wenu na hata wenye mapenzi mema na Uislamu. Mi si mwislamu lkn nina mapenzi mema na Uislamu. Ninaanza kupata picha halisi ya kile ambacho sipendi kukisikia kutoka kwa waislamu hasa hili la kutoa tamko za ajabu.

Mungu si Abdallah wala Veronika. Tukumbuke hilo na wala tusijisahau kiasi hicho cha kuendekeza njaa za matumbo na akili zetu. Waislamu ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi pono baada ya huyu mama mnafiki kushughulikiwa na vijana wa CHADEMA. Kama kosa ni kuvulishwa hijabu ambacho kinaelezwa kuwa si hijabu basi mjaribu kutafuta namna mwafaka ya kuuelezea chulizo hilo.

Msipoteze muda wenu kwenye vitisho vya kishenzi, havitasaidia hata kidogo. Ni mara ngapi wanawake wanadhalilishwa na serikali ya CCM? Waislamu mlikuwa mmelala wapi? Na sasa kipi kimewaamsha kutoka usingizini. Imani si siasa na kama mna haja ya siasa basi mkisajili chombo chenu hicho kiwe chama cha siasa.

Ni jambo la ajabu kwa kikundi cha dini kuwashawishi watz na waumini wake kukichagua chama fulani cha siasa. Tz si Iran au Saudia au Vatican ambacho serikali ni ya kidini au karibu raia wote ni watu wa imani fulani. Mnaleta haya Tz mkiwa mnataka kuifanya Tz iwe nchi ya kiislamu? Njaa ni mdudu mbaya sana. Tupelekeni watoto wetu wapate elimu bora ili tuondokane na hizi fikra za kijinga.

Kweli kama CHADEMA nao wataingia kwenye mtego huu mchafu wa kuanza kuomba msamaha kwa hili kundi la watu njaa, wakoram; itakuwa heri kutoswa maana Watz wanaona kinachoendelea na ni kwa kiasi gani kosa limefanyika. Hakuna kosa lolote hapa maana haya ni mazingira ya kisiasa na kila mmoja alikuwa anatimiza wajibu wake wa kisiasa na hata huyu Fatuma naye alikuwa anatumia vibaya wajibu wake wa kisiasa.

Sasa kama haya mambo yametokea ktk mazingira ya kisiasa kwanini mahakama isifanye wajibu wake kama ilivyotafsiriwa ktk katiba ya nchi? Sasa waislamu wanahusika vipi hapa au nikujipendekeza tu ili mradi waonekane wao wana dini babu kubwa. Na kila dini ikianza kufanya kazi ya kutafsiri katiba tutafika wapi?

CHADEMA achaneni kujibizana na vikundi vya kihuni, fanyeni kazi zenu. Ni usaliti wa namna ile ile ambao hata wakati wa ukombozi kuna watz waliokuwa wanapata neema kutoka kwa wakoloni walikuwa wanaona hakuna haja ya kudai uhuru wetu kwa sababu tu watakosa kile chao kidogo wanachokipata kwa kuwa kama matarishi au maboyi ligiligi, wafagizi, wahudumu wa vyoo vya kizungu, wapishi n.k.

Waislamu na Wakristo: Bora tukawekeza kwenye elimu kwa faida ya watoto wetu. Achana na siasa hizi za akina CCM na CDM. Maana hazitasaidia bali zitatupumbaza na tukaonekana mizoba, mitumba, pumba nk.

Chukua tahadhari na watu wa namna hii ni hatari kabisa kwa mukhstakabali wa nchi yetu.

''Ashakum si matusi''
 
Damu ya Yesu inawalinda!
Hakuna hapo cha Damu ya Yesu wala Mwana wa YESU hapo kinachotakiwa ni kuwa chadema kiwaombe Radhi Waislam kwa kosa walilolifanya ama sivyo dua itawahusu na ikipigwa dua ukae ukijuwa kuwa hata kwenye Uchaguzi unaokuja 2015 kwa ajili ya hiyo dua ya waislam chadema itashindwa vibaya kama ilivyoshindwa kwenye Uchaguzi uliopita usicheze na dua ya Waislam chadema nao wasome dua yao ipi itakayokubaliwa? Dua ya Waislam au dua ya chadema?
 
Hakuna kitu hapa, tusidanganyane. Ndugu zangu Waislam kweli kuna haja ya kuwa makini ktk matamko yenu. Mtaifanya imani hii kushakiwa na waumini wenu na hata wenye mapenzi mema na Uislamu. Mi si mwislamu lkn nina mapenzi mema na Uislamu. Ninaanza kupata picha halisi ya kile ambacho sipendi kukisikia kutoka kwa waislamu hasa hili la kutoa tamko za ajabu.

Mungu si Abdallah wala Veronika. Tukumbuke hilo na wala tusijisahau kiasi hicho cha kuendekeza njaa za matumbo na akili zetu. Waislamu ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi pono baada ya huyu mama mnafiki kushughulikiwa na vijana wa CHADEMA. Kama kosa ni kuvulishwa hijabu ambacho kinaelezwa kuwa si hijabu basi mjaribu kutafuta namna mwafaka ya kuuelezea chulizo hilo.

Msipoteze muda wenu kwenye vitisho vya kishenzi, havitasaidia hata kidogo. Ni mara ngapi wanawake wanadhalilishwa na serikali ya CCM? Waislamu mlikuwa mmelala wapi? Na sasa kipi kimewaamsha kutoka usingizini. Imani si siasa na kama mna haja ya siasa basi mkisajili chombo chenu hicho kiwe chama cha siasa.

Ni jambo la ajabu kwa kikundi cha dini kuwashawishi watz na waumini wake kukichagua chama fulani cha siasa. Tz si Iran au Saudia au Vatican ambacho serikali ni ya kidini au karibu raia wote ni watu wa imani fulani. Mnaleta haya Tz mkiwa mnataka kuifanya Tz iwe nchi ya kiislamu? Njaa ni mdudu mbaya sana. Tupelekeni watoto wetu wapate elimu bora ili tuondokane na hizi fikra za kijinga.

Kweli kama CHADEMA nao wataingia kwenye mtego huu mchafu wa kuanza kuomba msamaha kwa hili kundi la watu njaa, wakoram; itakuwa heri kutoswa maana Watz wanaona kinachoendelea na ni kwa kiasi gani kosa limefanyika. Hakuna kosa lolote hapa maana haya ni mazingira ya kisiasa na kila mmoja alikuwa anatimiza wajibu wake wa kisiasa na hata huyu Fatuma naye alikuwa anatumia vibaya wajibu wake wa kisiasa.

Sasa kama haya mambo yametokea ktk mazingira ya kisiasa kwanini mahakama isifanye wajibu wake kama ilivyotafsiriwa ktk katiba ya nchi? Sasa waislamu wanahusika vipi hapa au nikujipendekeza tu ili mradi waonekane wao wana dini babu kubwa. Na kila dini ikianza kufanya kazi ya kutafsiri katiba tutafika wapi?

CHADEMA achaneni kujibizana na vikundi vya kihuni, fanyeni kazi zenu. Ni usaliti wa namna ile ile ambao hata wakati wa ukombozi kuna watz waliokuwa wanapata neema kutoka kwa wakoloni walikuwa wanaona hakuna haja ya kudai uhuru wetu kwa sababu tu watakosa kile chao kidogo wanachokipata kwa kuwa kama matarishi au maboyi ligiligi, wafagizi, wahudumu wa vyoo vya kizungu, wapishi n.k.

Waislamu na Wakristo: Bora tukawekeza kwenye elimu kwa faida ya watoto wetu. Achana na siasa hizi za akina CCM na CDM. Maana hazitasaidia bali zitatupumbaza na tukaonekana mizoba, mitumba, pumba nk.

Chukua tahadhari na watu wa namna hii ni hatari kabisa kwa mukhstakabali wa nchi yetu.

''Ashakum si matusi''
Pamoja na yote uliyoyasema Kumvua Mwanamke wa kiislam kilemba alichovaa yaani ni hijabu ni sawasawa na kumdhalilisha Mwanamke wa kiislam, kinachotakiwa hao viongozi wa chadema waombe msamaha tu kwa waislam. Kwani kuomba Msamaha ndio heshima yako itapotea? Kwa Mfano wewe unatembea njiani na mama yako mzazi ametokea mtu humjuwi amemvua kilemba mama yako kichwani je wewe utafurahi na kitendo hicho alichokifanya huyo Mtu? Waswahili husema mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu ni mchungu waombe Radhi viongozi wa chadema ili yaishe mambo ya kuomba dua.
 
Huyo Mungu wao wa ajaaabu, yaani mungu gani unamuomba amfanyie mwenzio baya? Badala ya kumwomba mungu amsaidi asirudie na aache uovu we unamwombe majanga. Ahh! Kwani uongo kuwa baadhi ya masheikh wanaitetea CCM? Nani asiyejua maovu yao na udini hapa nchini. Wajirekebishe bhana.
Masheikh wataomba kwa Mwenyeezi mungu dua na wewe omba dua yako mungu nae akusikie kwa dua yako.
 
kwa mara ya kwanza ndio napata hasira kutokana masuala ya udini, Nitarudi baadaye maana kichwa kimeanza kuniuma.

kiongozi wa dini - utashi = mdini.
kiongozi mdini
= UDINI.
1. BAADA YA HLI JAMBO, NAONA NGUVU HALISI YA DUA ITAKUWA NEGLIGIBLE.
2. UTATOKEA MTAFARUKU MKUBWA SANA NDANI YA DINI YA KIISLAMU(kana baadhi ya waisilamu pure wataanza kuupinga huu uongozi wa sasa wa waislamu)

Uongozi wa sasa ni waKiislaam, kweli kabisa, maana kwa sasa zinafatwa Sharia!

Sasa tunataka uongozi usio wa Kiislaam, jee unafata nini?
 
Amma kweli, mfamaji haishi kutapatapa, na sasa tunahakikisha wakuja haishiki tena hii nchi. Halafu mkaungane na wooote wanaotuzunguka. Kuna zaidi ya Mkatoliki?

Nyie mnaojidai wakiristo ambao sio wakatoliki, niambieni, ni yupi kati yenu asiye Mkatoliki akashika uongozi wa nchi yoyote kati ya hizi za Afrika Mashariki? Mkisha jibu ntawapa mkasa.
 
Muulize Nyerere, Sophia Kawawa, Mrema.

Watakujuza dua la kuku ni lipi na la mwewe ni lipi? au hujaona? Kinywa wazi?

Mrema is still around having a disease that most men his age have, Nyerere lived to 75 +, we shouldn't use religion to punish hideous desires,

what has happened to Salman Rushdie who wrote satanic verses ?

Huyo Ayatolah(sp) Khomein(sp) passed on before him !

Wakati wako ukifika hakuna atakayezuia, ni mipango ya Mungu na si mipango ya dini

Tufundishwe upendo, mshikamano na umoja, sio visasi matamko , jazba na ubabe hiyo siyo dini safi,

Kama wao ni waovu na sisi tunasali na kumlilia Mungu, yeye Mungu atatenda kwa wakati wake

Yule aliyechora katuni ya kumdhihaki mtume Muhamad, nothing's happened to him...

Mungu hadhihakiwi wala hapewi amri, angamiza huyu katudhihaki...

Ombea adui yako aishi siku nyingi, ili unavyobarikiwa ajionee kwa macho, kama unamuombea adui yako kifo ujue hiyo si vita yako, the battle belongs to the lord!

Amani ya bwana ipitayo akili zote iwe nanyi, sasa na hata milele
 
Kichefuchefu tupu. Hakuna hata chembe ya akili katika onyo hili la waislamu. Mohamed kaleta balaa duniani, ni heri asingezaliwa!

\kweli kabisa, wala hukukosea, kaleta balaa kwa wale wasioamini Mungu mmoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom