Waingereza wanamwonaje Kikwete

nafurai kwasababu kinachosemwa ni ukweli mtupu. just bear in your mind 1996 rwanda walikuwa kwenye genocide leo hii wamekuwa ni mfano wakuigwa kwa perfomence nzuri ya uchumi sisi tumekuwa niwakusemwa tuu.

nandomaana unaona kwenye hiyo makala apo juu kuna mahali jamaa anasema wakulaumiwa ni sisi watanzania wenyewe kwa kukumbatia serikali ya ccm ambayo imeshidwa kuwawajibisha hao walarushwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom