Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Miaka ya sabini waingereza walikuwa na kijitabia cha kuwachunguza wanawake wa kihindi wahamiaji nchini kwao kama bado wana bikira zao huku wakisingizia walikuwa wanapima uja uzito......................................
sasa familia zaidi ya 80 zinataka ziombwe msamaha......na ukishatoa msamaha kwa wenzetu jiandae kitita cha fidia..........kupunguza makali....na usumbufu........na udhalilishaji wa kijinsia............................masuala kebekebe hujitokeza.............