Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

Namuonea huruma huyu dada hasa Mumewe as am sure ataishia kuwa kama Vick Kamata
 
Dada mbasha mimi nikiwa kama mmoja kati ya fan wako nimesikitishwa sana na kitendo cha wewe kukubali kuchanganya siasa na dini wakati hata yesu mwenyewe hakupenda vitu ivyo vichanganywe. nakumbuka alisema vya kaisari mpe kaisari na mungu mpe mungu.

how can submerge urself like that sisiter, u have disapointed alot of ur fans and beginning to wonder what will happen next. are u goint to be Pastor Chrispher Mtikila. manake hatima ya kuchanganya mambo haya mawili siku zote inaishiaga kubaya.

CHONDECHONDE

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Mimi hainisumbui yeye kuimba kwenye mikutano ya CCM kinachonisumbua ni upofu wa watanzania hasa inapokuja kwa CCM. Hivi mfano huyu Flora Mbasha angekuwa anaiimbia CHADEMA stori ingekuwaje?, au CUF waimbiwe kaswaida stori ingekuwaje?.
 
No matter we say, the move has negative perception. Nadhani kwenye kampeni hapana, wao wangeendelea kuiombea nchi na wanaogombania nafasi mbalimbali. Mungu atupe viongozi wazuri.
 
Hajui anachokitenda, and I can simply say sana sana ni njaa tu inawasumbua! Kwa caliber yake si mtu wakuungana na wasanii hao CCM kuwashawishi watz kuendelea kuwachagua CCM. Alipaswa awe kanisani kuwaleta kondoo kwa Bwana! Amekuwa mvua samaki wa kisiasa badala ya samaki wa kiroho!
 
Ni njaa yake na all about business. Ingetokea akaimbia Chadema au Cuf tungeambiwa UDINI
 
Dada mbasha mimi nikiwa kama mmoja kati ya fan wako nimesikitishwa sana na kitendo cha wewe kukubali kuchanganya siasa na dini wakati hata yesu mwenyewe hakupenda vitu ivyo vichanganywe. nakumbuka alisema vya kaisari mpe kaisari na mungu mpe mungu.

how can submerge urself like that sisiter, u have disapointed alot of ur fans and beginning to wonder what will happen next. are u goint to be Pastor Chrispher Mtikila. manake hatima ya kuchanganya mambo haya mawili siku zote inaishiaga kubaya.

CHONDECHONDE

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kama angeimbia Chadema ungempongeza kwavile ni chama cha wakatoliki,lakini kaimbia ccm chama cha wajanja unaona soh,huyo anaona ....Mbona padre Slaa an Rev.Mtu-killer wanagombea urais kwani si kuchanganya dini na siasa?Kuweni wakweli na si kushabikia upuuuuziiiiiiiiiiii.Sema ndio palipo ndio na Sio pasipo sio!
 
Watoto kweli wa Bwana Yesu huzitundika gitaa zao na kukataa kuuimba wimbo wa Bwana wao ugenini. Ila kwa mbuzi walioingizwa zizini mwa kondoo bila geuzo la nafsi kwanza wana nia moja tuu nayo ni kuusaka uchumi kwa njia yeyote ila hata kama ni kumuuza Yesu mzima mzima kama alivyofanya Yuda.
Labda mbasha ameunganishiwa hilo deal na Gwiji la uchakachuaji injili nchini mama Rwekatare. Maana huyu ndie aliyejiweka mpatanishi kati ya injili na siasa za ccm.
 
Kama angeimbia Chadema ungempongeza kwavile ni chama cha wakatoliki,lakini kaimbia ccm chama cha wajanja unaona soh,huyo anaona ....Mbona padre Slaa an Rev.Mtu-killer wanagombea urais kwani si kuchanganya dini na siasa?Kuweni wakweli na si kushabikia upuuuuziiiiiiiiiiii.Sema ndio palipo ndio na Sio pasipo sio!

quote_icon.png
Originally Posted by dubo
Mbona kwa Dr. Slaa hamsemi ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu? Hacheni unafiki. kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana., wanafiki wa kubwa nyie.

quote_icon.png
Originally Posted by dubo
kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana, wanafiki wa kubwa nyie

Dr. Slaa alifuata taratibu zote za kutengua daraja lake la upadre na alikubaliwa ndipo akajishughulisha na masuala ya ulei wa kawaida, akaoa na akajishughulisha na siasa kama ambavyo mtu yeyote mwenye wito wa kisiasa anaweza kufanya. Katafuteni fact kwa kanisa katoliki. Huyu ndiye shujaa mwenye maamuzi sahihi kuliko kuwa mdanyanyifu na mkosaji uaminifu!! Mpe Kaisari yaliyo yake Kaisari na mpe Mungu yaliyo yake Mungu, Amua kumtumikia Mungu au Shetani kwa 100% na si kuwa vuguvugu!!

Naomba usome hayo maelezo halafu utuambie nani anashabikia upuuzi
 
Ila huwa kuna tetesi za huyu dada kuwa na mahusiano yasiyo na kimaadili na watu fulani wakubwa,kama ni kweli au uongo ni up to yeye, lakini hakutakiwa kuimba kwenye mikutano ya CCM,ni aibu,laana,dhambi na usaliti kwa maskini wa Kitanzania wanaonunua au kusikiliza nyimbo zake..
 
Kwani ni dhehebu gani huyu na kweli ameokoka? Basi walokole wa siku hizi kiboko!!!

Kuhusu Slaa, yeye amechagua fungu la siasa.
 
Kama angeimbia Chadema ungempongeza kwavile ni chama cha wakatoliki,lakini kaimbia ccm chama cha wajanja unaona soh,huyo anaona ....Mbona padre Slaa an Rev.Mtu-killer wanagombea urais kwani si kuchanganya dini na siasa?Kuweni wakweli na si kushabikia upuuuuziiiiiiiiiiii.Sema ndio palipo ndio na Sio pasipo sio!

Dr. Slaa alifuata taratibu zote za kutengua daraja lake la upadre na alikubaliwa ndipo akajishughulisha na masuala ya ulei wa kawaida, akaoa na akajishughulisha na siasa kama ambavyo mtu yeyote mwenye wito wa kisiasa anaweza kufanya. Katafuteni fact kwa kanisa katoliki. Huyu ndiye shujaa mwenye maamuzi sahihi kuliko kuwa mdanyanyifu na mkosaji uaminifu!! Mpe Kaisari yaliyo yake Kaisari na mpe Mungu yaliyo yake Mungu, Amua kumtumikia Mungu au Shetani kwa 100% na si kuwa vuguvugu!!

Sasa tuambie nani anashabikia upuuziii halafu mix with yours humo humo

Akisha pata fungu hilo la kampeni, ana haja gani ya kudondoleza kwenye nyimbo za injili. Huo ndio mtazamo wake.
 
Kwani ni dhehebu gani huyu na kweli ameokoka? Basi walokole wa siku hizi kiboko!!!

Kuhusu Slaa, yeye amechagua fungu la siasa.

TATIZO HALIPO KWA FLORA MBASHA BALI KWENU MLIO WENGI HAMWELEWI KWAMBA SANAA NI SOMO PANA SANA, FLORA NI MSANII WA NYIMBO ZA INJILI HIVYO NDIO MAANA ANANENGUA NA KUKATA VIUNO MAJUKWANI MAANA YEYE YUPO KWENYE SANAA TU WALA SI AJABU AKAWA HAMAANISHI LOLOTE KTK KUMTII MUNGU WALA KWAMBA AMEMPOKEA YESU KUWA MKOMBOZI WA MAISHA YAKE,HIVYO MTU AINA HIYO MTAKUWA MNAMWONEA MKITAKA AMUISHI KRISTO kama ninyi mlifikiri ni mtumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo POLENI NA WALA MSIMLAUMU FLORA, mmedanganyika wenyewe."HUWEZI KUWATUMIKIA MABWANA WAWILI MUNGU NA DUNIA ( FEDHA )"
 
Flora kaachiwa mikoba na Vick Kamata, kashapewa ujanja, huoni mume wake anampeleka sokoni mwenyeweeeeee tena kwa kucheza, lazima flora awe chakura ya wasee. you just wait:cheer2::kiss:
 
Njaa mbaya, anawakilisha 'group' kubwa sana la Watanzania wajinga, shame on her!!
 
Anatafuta maisha pesa hizi mwacheni sasa amwimbie kikwete!!!
 
Kwani ni dhehebu gani huyu na kweli ameokoka? Basi walokole wa siku hizi kiboko!!!

Kuhusu Slaa, yeye amechagua fungu la siasa.
Ni mjukuu wa Nchungaji Mozes Kulola wa Tanzania Assemblies of GOD muulizeni askofu wake mkuu Dr Barnabas Mtokambali ameridhia hali hiyo?
 
Kwanza jina lake tu linatia wasiwasi, M-Basha.

Mie sinunui nyimbo zake tena. Awauzie hao CCM kama kweli waamini dini.

Kama kweli mtu muanini dini, huyu mama sasa huwezi kumsikiliza. Afadhali kundi lake liwe kama la Komba.
 
Back
Top Bottom