Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

DAUDI alipoimba mavazi yalimtoka makusudi??????????
MIRIAMU alipoimba aliacha matiti wazi???? au NABII/MWAMUZI DEBORAH alikuwa akionesha mapaja yake kwa vimini ili amtukuze BWANA?
NATOA PONGEZA KWA WAMAMA WA E.A.G.T/T.A.G PALE MWIMBAJI KUTOKA AFRIKA KUSINI ALIPOKUJA WALIMPA KANGA AJISITIRI

Ukitaka kuzungumzia mavazi zungumzia mavazi, Nani alikuambia au ni wapi imeandikwa suruali ni nguo ya kiume?

Hakuna ubishi kwamba kuna mavazi kwa ajili ya jinsia ya kike, na mavazi kwa ajili ya jinsia ya kiume. Hii hata hivyo inategemea jamii uliomo inachukulia mavazi ya kike ni yapi na mavazi ya kiume ni yapi. Kwa jamii ya Tanzania, kwa hakika, Suruali ni vazi kwa ajili ya jinsia ya kiume. Katika nchi zingine kwa mfano Burma, Kaptula ni vazi la jinsi ya Kike, Scotland kwa mfano Sketi ni vazi la wanaume, wakati ambapo kwa Tanzania ni vazi la wanawake. Hivyo, katika jamii uliomo, inaeleweka wazi kwa kila mtu kuwa nguo za mwanake ni zipi na za mwananume ni zipi. Wanawake wangi siku hizi huvaa nguo za wanaume, kitu ambacho sio sahihi.

"The Bible principle is: a woman should not wear a man's clothing and a man should not wear women's clothing"

Read: Deutronomy 22:5

5 "A woman shall not wear anything that pertains to a man, nor shall a man put on a woman's garment, for all who do so are an abomination to the LORD your God. (NKJV).

WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!

1. Hakuna mwanadamu anayeweza kuratibu mwenendo na maadili ya mwenzake - KIPIMO hatuna ila Mungu ndie mwenye kipimo - kila MWANADAMU ana udhaifu wake - ila tunamsogelea Mungu kwa NEEMA tupate kutakasika kwa damu ya YESU -

2. Watumishi wa Mungu wanakula madhabahuni na WAIMBAJI WA GOSPEL watakula kwenye madhabahu ya Gospel - wakiimba na kumsifu Mungu

3. Hapo nilipoweka red - ANAYEKUKERA NA MWIMBAJI AU MWIMBO WENYEWE??? NI KWELI IMEKULA KWA SHETANI - kama umeamua kumwacha - sasa ubaya ni upi??? ni huo msamiati au???
Chuki binafsi haifai kwenye mtazamo wa mambo - kama wewe UNAKEREKA wengine WANABARIKIWA

Naomba ukereke na nyimbo za kumsifu shetani na wala sio Gospel songs - zinazomsifu MUNGU

Ni sehemu gani ya biblia imekataza mwanamke kuvaa suruari?

Muziki ni biashara, na wewe ukitaka anza kuimba kaswida kwa magita na vinanda, tena piga kaswida yako kwa mahadhi ya hot funky ndio itabamba kinoma, halafu utaitwa MBUNIFU
Sasa hapa kaswida zinaingiaje???!!!!!!!!! Wakati mwingine kama huna cha kusema ni bora ukakaa kimya kaka/dada.

WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!
Mkuu umenigusa ambapo hata mimi huwa kinanikela sana, kunatamasha la nyimbo za injili niliudhuria duuu nikaona bora hata ningeenda kuangalia twanga pepeta ni aibu kubwa sana. wale watoto wanajiita three sisters yaani niaibu walivaa mavazi ya aibu sana!

WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!
Unauliza kama kwenye biblia kuna sehemu inayoruhusu wanawake kuvaa suruali na mimi nakuuliza kwani kuna sehemu isiyoruhusu????!

Kuna mistari kwenye BIBLE ndio wanayoisimamia kwamba DAUDI alimwimbia MUNGU hadi nguo zikamvuka!! Binafsi siamini sana katika uimbaji wao

Hata kama wanasimamia huo mstari, huoni kuwa wanachemka. Maana yake kama nimekuelewa vizuri mstari unasema Daudi alimwimbia Mungu hadi nguo zikamvuka na sio Daudi alivua nguo ili amwimbie Mungu. Au labda mimi ndio mgumu kuelewa nini??

Hakuna ubishi kwamba kuna mavazi kwa ajili ya jinsia ya kike, na mavazi kwa ajili ya jinsia ya kiume. Hii hata hivyo inategemea jamii uliomo inachukulia mavazi ya kike ni yapi na mavazi ya kiume ni yapi. Kwa jamii ya Tanzania, kwa hakika, Suruali ni vazi kwa ajili ya jinsia ya kiume. Katika nchi zingine kwa mfano Burma, Kaptula ni vazi la jinsi ya Kike, Scotland kwa mfano Sketi ni vazi la wanaume, wakati ambapo kwa Tanzania ni vazi la wanawake. Hivyo, katika jamii uliomo, inaeleweka wazi kwa kila mtu kuwa nguo za mwanake ni zipi na za mwananume ni zipi. Wanawake wangi siku hizi huvaa nguo za wanaume, kitu ambacho sio sahihi.

"The Bible principle is: a woman should not wear a man's clothing and a man should not wear women's clothing"

Read: Deutronomy 22:5

5 "A woman shall not wear anything that pertains to a man, nor shall a man put on a woman's garment, for all who do so are an abomination to the LORD your God. (NKJV).

Asaaaanteeeeee great thinker,Thats y i love Jf,unapata wamwaga upupu na wenye hekima na maarifa kama wewe!! Suruali ni vazi la wanaume,si lazima iandikwe katika lugha ya moja kwa moja,hata kwa akili tu za kawaida!!!

Hata kama wanasimamia huo mstari, huoni kuwa wanachemka. Maana yake kama nimekuelewa vizuri mstari unasema Daudi alimwimbia Mungu hadi nguo zikamvuka na sio Daudi alivua nguo ili amwimbie Mungu. Au labda mimi ndio mgumu kuelewa nini??

upo sawa kaka,Kuvaa mavazi ya kikahaba na unenguji na haina za kicheza music wa injili ni kwa Utukufu wa Shetani!!
Wenyewe utawasikia eti tunaimba na kucheza mbele za Bwana!!!

[/COLOR]

1. Hakuna mwanadamu anayeweza kuratibu mwenendo na maadili ya mwenzake - KIPIMO hatuna ila Mungu ndie mwenye kipimo - kila MWANADAMU ana udhaifu wake - ila tunamsogelea Mungu kwa NEEMA tupate kutakasika kwa damu ya YESU -

2. Watumishi wa Mungu wanakula madhabahuni na WAIMBAJI WA GOSPEL watakula kwenye madhabahu ya Gospel - wakiimba na kumsifu Mungu

3. Hapo nilipoweka red - ANAYEKUKERA NA MWIMBAJI AU MWIMBO WENYEWE??? NI KWELI IMEKULA KWA SHETANI - kama umeamua kumwacha - sasa ubaya ni upi??? ni huo msamiati au???

Chuki binafsi haifai kwenye mtazamo wa mambo - kama wewe UNAKEREKA wengine WANABARIKIWA

Naomba ukereke na nyimbo za kumsifu shetani na wala sio Gospel songs - zinazomsifu MUNGU

I beg to differ Mkuu,sina hakika sana kama unaangalia sana hizi zinazoitwa nyimbo za Injili!!
Kwa Ufahamu wangu mdogo najua kwamba Kuimba ni kuinjilisha kwa njia ya nyimbo na hakuna kusudi la kuburudisha!! Ni kuhubiri kwa njia ya nyimbo,kuburudisha is a secondary purpose ambayo ikitokea basi ni yenyewe tu!!

Ukiangalia Video za nyimbo nyingi za Injili halafu ukakata sauti ukimwambia mtu mwingine akwambie anaona nini atakwambia ni Bendi ya Dansi,Tmk Wanaume,n.k,nimeshashuhudia wanaocheza kama Tmk wanaume vilevile,wapo wanaocheza kama Twanga pepeta,hapa unasema tunaimba na kucheza mbele za Bwana,kwamba tunamtukuza Mungu? Hapana,Wa Kristo hawatakiwi kutengeneza Controversy,Imeandikwa "Ndiyo yenu Iwe ndiyo na Hapana ni hapana zaidi ya hapo yanatoka kwa yule Mwovu",Wanapoandika Nyimbo zao ni lazima wakague kama Maneno ya Nyimbo hiyo yanampa Mungu Utukufu? Ukisema Shetani Imekula kwako ni Uhuni(hapati Mungu Utukufu) ni sawa kusimama kwenye Madhabahu takatifu na kusema Yesu Oyeeeeeee,ni uhuni,tuseme Bwana Yesu asifiwe!!

Kama jinsi watu wa Mungu walivyo na namna yao ya Kuongea pia wana namna yao ya kuimba na kucheza "MBONA HATA KUONGEA KWAKO KUNAKUTAMBULISHA KWAMBA WEWE NI MWANAFUNZI WA YESU?"

Kujibu hoja yako kwamba hatuwezi kupimana si kweli,Tunaweza kupimana na Mtu mwenyewe anaweza kujipima,Neno la Mungu limepigwa Muhuri ndani ya Mioyo yetu ndiyo maana mtu akitenda dhambi kama Kuiba,kufanya Abortion Dhamiri yake huugua hata kama mtu huyo hajasoma andiko lolote linalomfahamisha Kwamba Mambo hayo ni dhambi!! "MTAWAJUA KWA MATENDO YAO" Namna yeyote ya kuweka vionjo vya Uhuni na kupepeta Viuno ni kwa Utukufu wa Shetani hata kama katika ndimi zao anatajwatajwa Yesu hapa na Pale!!

Mfano Mzuri wa Mwimbaji ninayemfahamu Mm ambaye ukiangalia Video yake halafu uka-mute sauti lakini Utapata hisia kwamba ni Nyimbo ya Injili ni Christina Shusho,huyu dada kwanza karibu nyimbo zake nyingi huchukua Mistari katika Biblia na kuiimba kama ilivyo,halafu hakuna unenguaji au kurukaruka kipepo(under the pretext of kucheza mbele za Bwana) purely Christian songs!

Mungu wetu anapenda SIFA na anastahili,Tumwimbie Nyimbo za Kumsifu na Kumwabudu,Tuimbe nyimbo za kufarijiana katika Bwana,Utukufu wake tusiguse!!
Nyimbo za Injili si Nyimbo za Dansi,ziwe za injili na kila kitu katika Nyimbo hizo kimhusu Kristo,kuanzia neno mojamoja hadi uchezaji zaidi ya hapo kazi yote ni kwa Utukufu wa Shetani!! WABADILIKE!!
Namuunga Mkono Mtoa Mada,Its disgusting!!

Ukitaka kuzungumzia mavazi zungumzia mavazi, Nani alikuambia au ni wapi imeandikwa suruali ni nguo ya kiume?

ni vaz lakike.
na imezoeleweka ivo
suruali ni vazi la kike apa tanzania ata ulimwenguni kwa ujumla as common law.

Ukitaka kuzungumzia mavazi zungumzia mavazi, Nani alikuambia au ni wapi imeandikwa suruali ni nguo ya kiume?

classification ya nguo inategemeana na utamaduni wa jamii husika. Unaonaje ukiamka asubuhi umwone mwanaume amevaa sketi na skuna? utaona ni kitu cha kawaida?

Wanafanya kazi zao kulingana na mazingira, dunia inabadilika na kila kitu kinabadilika ili kuendana na mabadiliko hayo, suala la aina ya mavazi ni umamuzi wa watu maana hakuna aliyezaliwa amevaa suruali, sketi au blauzi. Ukienda nchi nyingine watu wanaingia kanisani wamevaa bukta.

Back
Top Bottom